Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila Putin anaye amelegeza msimamo.

Aliweka masharti ya kuanza kwa mazungumzo - mojawapo Zelensky aondoe ile amri yake.
 


Vladimir Medinsky, ambaye ni mkuu wa wajumbe wa Urusi katika mazungumzo ya amani ya Ukraine, alirejelea Vita vya Kaskazini Mkuu (1700–1721), ambapo Urusi ilipigana na Uswidi kwa miaka 21, ili kuonyesha utayari wa Moscow kwa vita vya muda mrefu ikiwa ni lazima, akisisitiza uimara wa kihistoria wa Urusi katika vita vya muda mrefu.

Kauli hiyo inaonyesha msimamo wa kimkakati wa Urusi katika mazungumzo ya 2025, ambayo yalianza tena baada ya mkutano wa kilele wa Marekani na Urusi na ushiriki wa Trump, huku Saudi Arabia ikiandaa mazungumzo, katikati ya historia ya mazungumzo yaliyoshindwa tangu 2022 huko Belarus na Uturuki. Kauli ya Medinsky inatofautiana na msimamo wa Zelenskyy, ambaye, kama inavyoonekana katika picha ya Kyiv Post, anasisitiza kumudu Putin ili kukomesha vita, akifichua mgawanyiko mkubwa kati ya pande mbili licha ya juhudi mpya za kidiplomasia.
 

Sawa tuseme kuna third party inatumia huo mwanya kufanya matukio yanayotokea katika siku za karibuni......

Lakini ni wazi kuwa vyombo vyote vya dola vipo chini ya CCM na serikali yake,so ni jukumu la serikali kupitia vyombo vyake vya dola kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wote wanaofanya hayo matukio


Je wameweza kufanya hivyo mpaka sasa?je matukio yamekoma mpaka sasa?.....jibu ni HAPANA


Kwakuwa jukumu la kwanza la serikali yoyote makini ni ULINZI na USALAMA wa raia wake,na kwa kuangaalia yanayoendelea,ni wazi kuwa jukumu hilo limewashinda,


Kwanini bado wanang'ang'a nia kuwa madarakani?waachie ngazi ili waje wengine wenye kumudu kufanya hivyo


Kwahiyo mkuu,hoja ya third-party kufanya matukio haina mashiko


Kumradhi kwa kuandika mambo yasiyohusiana na uzi huu
 
Kwakuwa jukumu la kwanza la serikali yoyote makini ni ULINZI na USALAMA wa raia wake,na kwa kuangaalia yanayoendelea,ni wazi kuwa jukumu hilo limewashinda,
Mkuu, nitajie nchi hata moja dunia ambayo haina matukio ya namna hiyo.

Jambazi akiiba benki na kutokomea kusikojulikana, haina maana kwamba hawezi kukamatika kesho na keshokutwa!

Profesa Kabudi alisema juzi tuliache jeshi lifanye kazi zake kwa weledi, na wala siyo kwa shinikizo la kukamilisha ratiba tu.
 
‼️Russia and Ukraine exchanged bodies of soldiers — 34 for 909 (!)

▪️Ukraine received the bodies of 909 dead soldiers, the Ukrainian coordination headquarters for prisoners of war confirmed the fact of the exchange.
▪️They were eliminated by Russian soldiers in the Kurakhovsky, Pokrovsky, Artemovsky, ⁠Ugledarsky, Zaporizhzhya, Sumy, Kharkov directions and in the LPR. Some were returned from morgues in Russia. Earlier, Russia and Ukraine exchanged the bodies of dead soldiers:
▪️On April 18, the bodies of 41 Russian soldiers were exchanged for 909 Ukrainians.
▪️March 28 43 on 909.
▪️February 14 45 on 757.
▪️January 24 — 49 on 757.
▪️December 20 — 42 on 503.

▪️November 29 — 52 on 502;
▪️November 8 — 37 on 563.

In total over 7 exchanges Russia had received 343 dead soldiers
Ukraine has received 5809 dead soldier.
 
A quote attributed to the head of the Russian delegation: “Perhaps some of those sitting at this table will lose more of their loved ones. Russia is ready to fight forever,” writes a reporter from The Economist.

“We don’t want war, but we are ready to fight for a year, two, three — as long as it takes. We fought Sweden for 21 years. How long are you ready to fight?”
 
NATO wamefikia hatua ya kukata tamaa na kutaka vita viishe ili wajipange upya alfu Urusi inajifanya kuwasikiliza na kujifanya nao wapo tayari kumbe kwa ndani zaidi warusi wanajifunza kwa vitendo kwamba hawa NATO ni mabingwa wa kununua muda wa mapumziko ili wajipange.
Kinachonifurahisha Urusi anawaacha wanapiga kelele weee, mwisho anapeleka masharti magumu zaidi mezani.

Marekani na ulaya watakapojua Urusi mejiandaa kwa vita vya kuchosha vya muda mrefu watamtoa zelensky sadaka alafu wakiendelea kupigizana kelele na Urusi watajikuta jeshi la Urusi likiwa kwenye mipaka ya Poland.

Naamini watashtuka mapema waache kupigana vita na Urusi kwa kutumia mgongo wa Ukraine....

Kwa kifupi kambi ya magharibi haina chaguzi zaidi ya kukubali kilichosemwa mwanzoni mwa vita na wafalme wapya wa mashariki kwamba ni lazima kambi ya magharibi ipokonywe mamlaka ya ulimwengu.

Wafalme hawa wapya wa dunia wamegawana majukumu kipindi hiki cha rasharasha kwamba mmoja atapigana kijeshi na mwingine atapigana kiuchumi ila hali ikiwa mbaya wataunganisha nguvu kwa lolote ilimradi kubadili mfumo mzima.

Usalama wa dunia unataka kambi ya magharibi ikubali uongozi wa pande nyingi duniani au kambi ya mashariki ikubali kuwa chini ya kambi ya magharibi!
Je, kuna upande uko tayari? Kwa sasa hamna hivyo itabidi mwenye nguvu ndio ale nyama.

Kwa tathmini yangu mashariki wana nafasi ya ushindi kwa sababu kiwanda cha dunia kipo mikononi mwa mfalme wa mashariki
 
The most battle proven aircraft world wide f16 falcon is now falling like apples.
 
Duh kumbe hata Saint Petersburg ni ya Sweden kiasili?
 
Duh ina maana hao Ukraine wanarundikana sana au?
 
Itaangushiwa jumba bovu au imeshindwa kufanya kazi yake ipaswavyo?
 
Hakuna cha third party uovu wote unatendwa na ccm kwa maslahi ya ccm, they are terrorist acha kumung'unya maneno, na kuzunhuka zunguka.
 
I see kumbe ukreni wanakufa wengi hivyo
 

Russia launches 'heaviest drone attack' on Ukraine since start of war​


A total of 273 exploding drones were fired across the Kyiv, Dnipropetrovsk and Donetsk regions between Saturday night and Sunday morning, the Ukrainian air force says.

​

Sunday 18 May 2025 11:04, UK​

​

​

Russia launches war's largest drone attack after peace talks, Ukraine says​


May 18, 2025

 
🇷🇺💥 What hits the Russian economy the hardest?

The Russian economy is being hit not only by sanctions, but also by falling oil prices. Experts estimate that 60% of the damage comes from sanctions, and 40% from cheaper oil. If prices continue to decline, oil could account for up to 80% of the pressure.

Urals crude prices are dropping, forcing Russia to sell at record discounts. The state budget is missing billions. Exports of gas, coal, and metals are also restricted. Meanwhile, Russia is cut off from modern tech and credit. Survival relies on dwindling reserves.

A truly critical point will come if oil drops to $50 or below — slashing the budget and forcing cuts to war spending. Key players here: Saudi Arabia, China (Russia’s biggest buyer), and the G7, who can tighten the sanction grip.

🇷🇺💥 Cosa colpisce più duramente l'economia russa?

L'economia russa è colpita non solo dalle sanzioni, ma anche dal calo dei prezzi del petrolio. Gli esperti stimano che il 60% del danno derivi dalle sanzioni e il 40% dal petrolio più economico. Se i prezzi continuano a scendere, il petrolio potrebbe rappresentare fino all'80% della pressione.

I prezzi del greggio degli Urali stanno calando, costringendo la Russia a vendere a prezzi record. Il bilancio statale manca di miliardi. Anche le esportazioni di gas, carbone e metalli sono limitate. Nel frattempo, la Russia è tagliata fuori dalla tecnologia moderna e dal credito. La sopravvivenza dipende dalle riserve in diminuzione.

Un punto davvero critico si verificherà se il petrolio scenderà a 50 dollari o meno, con tagli al bilancio e tagli alle spese per la guerra. Attori chiave in questo caso: Arabia Saudita, Cina (il principale acquirente della Russia) e il G7, che può rafforzare la morsa delle sanzioni.

Ulmus Rubra Ulmus Nigra Ulmus Marginata Mario Visconti Giuseppe Frau
 
🇺🇸Joe Biden has been diagnosed with prostate cancer, the former US president's office reported.

The politician's team said that Biden was examined by doctors last week due to problems with urination, and on Friday he was diagnosed with bone metastases and cancer.

"While this represents a more aggressive form of the disease, the cancer appears to be hormone-sensitive, allowing for effective treatment. The president and his family are reviewing treatment options with their doctors," the former president's representatives said.

🔴 @DDGeopolitics | Socials | Donate | Advertising
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…