Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwastaili hii watazidi kumponza mwenzio maana Russia anasiraha nyingi zisizozuilika je hyo no fly zone ya mchongo itamsaidia nn zaidi ya kumtia hasira zaidi PutinNo Fly Zone maana yake unamlazimisha adui yako asiweze kutumia anga, ili uweze kuweka No fly zone basi hapo inabidi uwe na SAM(surface to air missile) za kueleweka na pia uwe na AAM(air to air missile) zinazorushwa na ndege.
Sasa hapo ukishaweka No Fly Zone basi ujiandae kwa battle na Fighter air za Mrusi(MIG na SU). Kama F-16 imechemka basi hapo labda uweke No fly zone kwa kutegemea miujiza ya Yesu.
No fly zine inafanya kazi huku shitole country na sio nchi amabazo ni second kwenye militaryNo fly zone Kwa Russia haitamsaidia lolote, SI hayo ma ADS yote wanayoyaamini wamepewa na wanabondwa, au hyo no fly zone inafanya Kaz vp?
Bas watamponzaNo fly zine inafanya kazi huku shitole country na sio nchi amabazo ni second kwenye military
Ni kweli kabisaNo fly zine inafanya kazi huku shitole country na sio nchi amabazo ni second kwenye military
Game change imeondoka na Silaha nyingi sana.kikubwa tu ifadhi ya maneno ni jambo zuri sanaTaurus missiles gamechanger
Kaka Hilo dongo kavu kwa pro Nato wazee wa f 16 game changerGame change imeondoka na Silaha nyingi sana.kikubwa tu ifadhi ya maneno ni jambo zuri sana
Hizo Ni gamechanger wakiwa wanapiga wafugaji WAARABUKaka Hilo dongo kavu kwa pro Nato wazee wa f 16 game changer
HIMARS game changer
IRIS T gamechanger
Javelin gamechanger
Stryker game change
Tiger gamechanger
Leopard gamechanger
Abrams gamechanger
Patriot gamechanger..
Ongezea gamechanger hapo..
Ghost of kiev 🤣🤣🤣Kaka Hilo dongo kavu kwa pro Nato wazee wa f 16 game changer
HIMARS game changer
IRIS T gamechanger
Javelin gamechanger
Stryker game change
Tiger gamechanger
Leopard gamechanger
Abrams gamechanger
Patriot gamechanger..
Ongezea gamechanger hapo..