Huyu mwamba ndio alisema vita itasimama ndani ya muda mfupi sana akipata Uraisi..... Muda mfupi umegoma kufika.
Una Akili fupi🤔🤔Supa-pawa bado anapambana kuishinda Ukraine mpaka keshokutwa,mtondo na mtondogoo.
Hana lolote kivipi kashajichukulia maeneo yenye utajiri huku Ukraine bila msaada haina nguvu tena.Putin kubwa jingaa... Miaka minne bado hana lolote dah
Putin kubwa jingaa... Miaka minne bado hana lolote dah