Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Askari wa Russia waendelea kupukutika kama Kumbikumbi huko Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦
 

Attachments

  • IMG_0260.mp4
    30 MB
Acha kujipa moyo na Kujifariji kwa kisingizio cha ID
 
Acha kujipa moyo na Kujifariji kwa kisingizio cha ID
What is amygdala hijack?

The amygdala is the part of the brain responsible for this reaction.

When a person feels stressed or afraid, the amygdala releases stress hormones that prepare the body to fight the threat or flee from the danger.

Common emotions that trigger this response include fear, anger, anxiety, and aggression.

 
Bodyguards wa Putin sio poa, ni umeme mkali...
Hio speed na hizo shabaha anapiga si kawaida....


View attachment 3441673

Huyo jamaa kwenye video ndiye huyo amevaa tai rangi ya maroon...
Unahangaika na maigizo ambayo hayasaidii chochote unashindwa kujiuliza kwa nini Russsia the so-called Super Power ameshindwa kuiteka Ukraine ??? na hata alipofika Kiev alifurushwa kama Mbwa-koko!!

Hata kwenye maeneo anayoyakalia anapigwa kama Ngoma na askari wake kuuwawa kama kumbikumbi na sasa mwaka wa 4 bado anahangaika na Ukraine tu ni aibu kwa Russia!!
 
Usiku kucha, ndege zisizo na rubani zilipiga shabaha nchini Urusi.

Idhaa za Telegram za Urusi zinaripoti kwamba huko Syzran, mkoa wa Samara, moto ulizuka karibu na kiwanda cha kusafisha mafuta kufuatia shambulio hilo.

Huko Kursk, makazi ya juu yalipigwa. Mamlaka ya eneo hilo inasema watu kumi walijeruhiwa na mtu mmoja aliuawa.

πŸͺ SLAVA UKRAINE πŸ‡ΊπŸ‡¦!!!
 

Attachments

  • IMG_3885.jpeg
    214.6 KB · Views: 21
  • ΠšΡƒΡ€ΡΡŒΠΊ 15 сСрпня.mp4
    3.5 MB
  • Π‘ΠΈΠ·Ρ€Π°Π½ΡŒ 15.08.mp4
    6.2 MB
Yenakiieve, eneo la Donetsk linalokaliwa na Russia vituo vya kijeshi vya Russia kwenye eneo hilo vimeshambuliwa kwanguvu kubwa sana na Russia kupoteza askari na vifaa-vita vingi

πŸͺ SLAVA UKRAINE πŸ‡ΊπŸ‡¦!!!
 

Attachments

  • IMG_6482.mp4
    7 MB
  • IMG_6481.mp4
    938.9 KB
NATO lazima itashinda hii vita maana wamekamata maeneo mengi sana ya Russia...
 
NATO lazima itashinda hii vita maana wamekamata maeneo mengi sana ya Russia...
Endelea kujitoa ufahamu wakati askari wa Russia wanapukutika mwaka wa 4 sasa So-Called superpower anahangaika tu na maeneo yake kushambuliwa kila siku.
 
Huko Alaska watu wameandamana kuonesha mshikamano na Ukraine huku mikutano Kati ya wababe wawili ikiendelea
 
Unajisumbua bure na updates zako uchwara, masuala ya Israel yamekushinda umehamia huku, Israel amepigwa kipigo cha mbwa koko sasa upo huku kujifariji..
Sasa huku anajifariji Nini wakati ndio mateso zaidi... ProNato wenzake wote weficha vichwa mchangani... Ni aibu sana ...nyie muacheni tu atapotea kama wenzake wengi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…