Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Eeh bwana eh, hayo kayasema Trump huyu huyu ambaye juzi alitia sahii ya kuidhinisha kumpelekea Zelensky/Ukraine offensive weapons/missile za kwenda masafa marefu ndani ya Taifa la Urusi ili kushambulia viwanda airbases na vitu vingine mihimu kwa Taifa la Urusi, sasa leo tena Trump kaingiliwa na nini au ni kitu gani kilicho mfanya akosane kwa mara nyingine na Zelensky na sio na Putin?Trump kamtishia Zelensky, asipokubali matakwa ya kumaliza vita atamuwekea vikwazo
Mvamizi alitumia miaka 20 na mwisho wa siku akakimbia kwa aibu.kaondoka kwa kuwakimbia Taliban wakiwa wameshachukua miji yote.leo hii anaomba arudishiwe silaha zake na Taliban ila kambiwa asahau kuhusu ilo.Wajinga wenzako ndiyo watakuunga mkono!! Hoja yangu ni kuwa kama Russia Supapawa wa ukweli kwa nini sasa ni mwaka wa 4 anahangaika na Ukraine tu?
Huwezi kulinganisha na Marekani huko Afghanistan ambako alikaa kama mtawala na aliweza kuwaweka marais Hamid Karzai na Ashraf Ghani na hata alipoondoka huko aliondoka na wananchi wengi wa huko na aliwaachia silaha za aina mbalimbali zikiwemo helicopter.
Kwa lugha rahisi Marekani alikuwa Afghanistan kama mtawala ndiyo maana hata alipoondoka aliondoka kama Mfalme!!!
Angalia na wewe zuzu unakuja hapa na ujinga usiłują kitu Marekani haijaondoka Afghastan kwa kukimbia wameondoka kwa hatari yao baada ya ku angalia na wakiona hakuna haja ya majeshi yao kukaa huko waliondoka kwa utaratibu wao wala si kwa kukimbia kama unavyobwabwaja ovyo hapa!!!Mvamizi alitumia miaka 20 na mwisho wa siku akakimbia kwa aibu.kaondoka kwa kuwakimbia Taliban wakiwa wameshachukua miji yote.leo hii anaomba arudishiwe silaha zake na Taliban ila kambiwa asahau kuhusu ilo.
Boss usibishane na chizi mento tafadhali. Heshima Yako itashukaMvamizi alitumia miaka 20 na mwisho wa siku akakimbia kwa aibu.kaondoka kwa kuwakimbia Taliban wakiwa wameshachukua miji yote.leo hii anaomba arudishiwe silaha zake na Taliban ila kambiwa asahau kuhusu ilo.
Nakuhakikishia kampeni yako itashindwa tu maana najua humu wajinga na wapumbavu kama wewe ni wachache sana!!Jamani nina kampeni yangu ya MENTO APUUZWE
Boss usibishane na chizi mento tafadhali. Heshima Yako itashuka
Shukrani sana mkuu kwa ushauri wako, once again thanks a lot.Inaonekana ukipishana na kichaa njiani unapiga nae stori mkuu 🤣🤣
Shtuka basi unawatia aibu watu wenye akili timamu
Zuzu likitoa shukrani kwa zezeta!!Shukrani sana mkuu kwa ushauri wako, once again thanks a lot.
Ni chizi ajui hata anachongea kabisaJamani nina kampeni yangu ya MENTO APUUZWE
Boss usibishane na chizi mento tafadhali. Heshima Yako itashuka
Wangeondoka kwa utaratibu basi wangeondoka na vifaa vyao ila waliondoka kwa presha baada ya Taliban kuingia mji mkuu.Ndo maana hakukuwa na chaguo jingine zaidi ya kufanya mawasiliano na Taliban ili wakabidhi kambi zao kwa amani wao wakiwa washaondoka Afghanistan.Angalia na wewe zuzu unakuja hapa na ujinga usiłują kitu Marekani haijaondoka Afghastan kwa kukimbia wameondoka kwa hatari yao baada ya ku angalia na wakiona hakuna haja ya majeshi yao kukaa huko waliondoka kwa utaratibu wao wala si kwa kukimbia kama unavyobwabwaja ovyo hapa!!!
Hizo silaha waliwaachia kwa moyo mmoja maana walikuwa na uwezo wa kuondoka nao au kuziteketeza kwa hiyo wewe endelea kudanganya waarabu-koko wenzako ambao hawajui kitu!!!
Hii inadhibitisha wazi kuwa kumbe Wafuga Midevu na Majini akili zenu wengi wenu haziwatoshi mmekalia kufuga Midevu na Majini tuWangeondoka kwa utaratibu basi wangeondoka na vifaa vyao ila waliondoka kwa presha baada ya Taliban kuingia mji mkuu.Ndo maana hakukuwa na chaguo jingine zaidi ya kufanya mawasiliano na Taliban ili wakabidhi kambi zao kwa amani wao wakiwa washaondoka Afghanistan.
Ni chizi tu ndo atakubali ujinga wako unaosema, yani silaha ya zaidi ya matilioni yatelekezwe kiwepesi tu. Au unajua silaha ni kama pipi
Si EU au Russia, hakuna anayejali madhra ya kiuchumi kwa nchi yake.Mkuu, hawakati tamaa jamaa hawa wanaweza hata kuwashinikiza Poland au Romania ili kurusiwa wafungue second war front ya kuishambulia Urusi!!
Nimesoma sehemu inasema hali ya uchumi huko Uingereza ni tete sana Serikali ina mpango wa kwenda kupatia mkopo kutoka IMF na Ujerumani hivyo hivyo, kumbuka Ujerumani ndilo taifa lililo kuwa Linaongoza barani Ulaya kuwa na uchumi imara lakini hivi sasa mambo yanawaendea vibaya mno kiuchumi, cha ajabu mataifa hayo mawili ndio vinara wanao shabikia patokee vita baina ya EU nations na Urusi!!
Hawajali hasara na madhala mengine ya kiuchumi yanayo weza kusabishwa na vita hii ya kipumbavu.
Marekani na vikwazo mbona ndio kila kitu?Trump kamtishia Zelensky, asipokubali matakwa ya kumaliza vita atamuwekea vikwazo
We kweli bwege ujielewi sasa iyo ndo nini.iyo august 11 Talibani walikuwa washachukua mikoa mingi na walikuwa wanakaribia mji mkuu maana iyo taa nyekundu ilikuwa inawaka mbwa wewe.unategemea wakwambie kuwa wanawakimbia Taliban?Hii inadhibitisha wazi kuwa kumbe Wafuga Midevu na Majini akili zenu wengi wenu haziwatoshi mmekalia kufuga Midevu na Majini tu
View: https://x.com/kaitlancollins/status/1382428121270485000?t=h233AztnouhE8hsh7o5Fzw&s=19
Safari ya kueleka Kiev inaanza sasaUkraine admits Russia has entered key region of Dnipropetrovsk
Ukraine admits Russia has entered key region of Dnipropetrovsk
Military says Russian advance "is the first attack of such a large scale" in industrial province.www.bbc.com