Je wewe ni chizi mento?Sijawahi kuona mjinga na mpumbavu kama wewe unayeshawishi watu wenye simu zao,Bundle zao,Akili zao na Tashi zao unawashawishi wasitumie uhuru wao wa mawazo hata watakao kusikiliza ni Wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!
Na ulivyo mjinga unaona eti unanikomoa mimi!! Kwa taarifa yako unajisumbua tu mimi Niko hapa kuweka sawa mambo ambayo Wafuga Midevu na Majini walikuwa wanaaminisha watu uongo!!!!
Kwa hiyo wewe endelea kubwabwaja tu mimi nipo tu wala sitoki kwa njia yoyote ile!!
Yaan Mpaka useme⚡Zelensky:
Russian strikes today proves Russia’s goals haven’t changed.
They want war — hitting not just our people and cities, but everyone seeking peace.
It’s an attack on Ukraine, on Europe, on President Trump and global leaders.
⚡Zelensky:

Urusi piga hao mbwa⚡Zelensky:
Russian strikes today proves Russia’s goals haven’t changed.
They want war — hitting not just our people and cities, but everyone seeking peace.
It’s an attack on Ukraine, on Europe, on President Trump and global leaders.
Ulivyo mjinga na Mpumbavu unawazuia wengine wasijibizane na mimi cha ajabu wewe unajibizana na Mimi!!! Nimeshakuambia Wajinga na Wapumbavu kama wewe ndiyo wanakubliana na UHARO wako huu!!!!Je wewe ni chizi mento?
NATO wamenyoosha mikono juu hadi wamempa putin jina la Wizard of the Kremlin, ila kuna vipumbavu vipo humu vinapingana na mabwana zao 😊2
28 Aug, 14:50
Putin is successful leader, 'filming movie about him is natural' — Kremlin
Dmitry Peskov added that the Russian president is one of the most experienced and successful leaders in the world
MOSCOW, August 28. /TASS/. Russian President Vladimir Putin is one of the most successful world leaders, therefore the filming of a movie about him is quite natural and should be treated with understanding, Russian Presidential Spokesman Dmitry Peskov said on Thursday.
At a news briefing, Peskov was asked to comment on the Kremlin’s view of the upcoming film "The Wizard of the Kremlin," produced jointly by France, the United States, and the United Kingdom.
"It should be treated normally, with understanding. Putin is one of the most experienced and successful leaders in the world," he said.
"He is a world leader whose influence on world affairs cannot be overestimated," the Kremlin spokesman continued. "This is why, the interest in him in various countries around the globe is quite natural."
"The Wizard of the Kremlin" movie will be premiered at the 82nd Venice International Film Festival, which opened on Wednesday, August 27, on the Island of the Lido in the Venice Lagoon.
On Wednesday, the Hollywood-based Variety Magazine unveiled the first official still shot from "The Wizard of the Kremlin," showing famous British actor Jude Law depicting Russian President Putin.
The movie is based on a 2022 novel by Italian-Swiss writer Giuliano da Empoli.
Variety reported last year that renowned actors Jude Law, Paul Dano, Zach Galifianakis and Tom Sturridge teamed up with French film director Olivier Assayas on the political thriller "The Wizard of the Kremlin."
⚡Zelensky:
Russian strikes today proves Russia’s goals haven’t changed.
They want war — hitting not just our people and cities, but everyone seeking peace.
It’s an attack on Ukraine, on Europe, on President Trump and global leaders.
Asante sana kwa ufafanuzi makiniLakini ukweli safari hii wamekutana na wapenda vita kuliko wao.
Hiyo ya Nne ina umuhimu gani????Certainly, the demands of Russia remain consistent and unwavering.
- Demilitarisation,
- Prohibition of NATO's presence in Ukraine,
- Neutral status, and
- Official recognition of the Russian language.
Kwa taarifa yako tu Mimi ni kama MAJI usipoyanywa Utayaoga tu!!!!!! Hiyo kampeni yako ilishashindwa kabla hata hujaianza!!Nazidi kusisitiza wakuu acheni kujibizana na mento hapo juu
Nuclear baba! Nuclear baba 🙌 weka mbali na watoto. Unafikiri upinde hawajipendi mzee baba?🤣🤣🤣Katika historia hakuna nyakati ambapo Dunia imeshuhudia jinsi Mataifa ya Magharibi yanavyodhalilishwa na Urusi kama wakati huu.
Dunia ilikua inajua Magharibi ni untarchable,
Dunia ilikua inajua kijeshi na kiuchuni ni hakuna kama USA, NATO,UK na EU.
Ilijulikana kua Hawa wakitaka jambo lao hakuna wa kuwazuia.
Hawa wanauwezo wa kukuwekea vikwazo,kukupiga na kukuwekea no fly zone.
Hata kukuzushia TU jambo ili wakupige,lakini ajabu na kweli
wamekwama kwa Urusi.
siku za nyuma Kuna kombora la Urusi lilipiga Poland na Poland ikaitaarifu NATO kua imepigwa,
Juzi kiwanda Cha USA nchini Ukraine kimepigwa,
Leo Tena ofisi za EU ndani ya ukraine zimepigwa na Urusi,
Leo hii ofisi za British council ya Uingereza nchini Ukraine zimepigwa na Urusi.
Haya Tena hii nimeipata Sasa hivi kua, kiwanda Cha Uturuki Cha kuzalisha drone kilichotakiwa kuzalisha droni ndani ya Ukraine kikesambaratishwa na urusi.
Turkey's Bayraktar plant, which was supposed to start production in August 2025 in Kiev, was destroyed by Russian missiles.
Haya matukio yote hakuna majibu yaoja Kwa moja ya kijeshi kutoka USA,NATO,UK,wala EU.
Lakini amini nakuambia kwa matukio haya kama angekua ameyafanya Iran,Iraq au Libya, nadhani ilikua ni sababu tosha ya ama USA, ,EU, UK au NATO kuingia kijeshi moja Kwa moja.
Lakini ukweli safari hii wamekutana na wapenda vita kuliko wao.
Ni sawa mkuu Urusi sio sawa na Iran ila hata Iran ingekua nafasi ya Urusi ingefanya.Watu wengi wanadhaniqga Urusi ni sawa na Iran.
Sasa jengo hilo ni la EU limepigwa,
Na juzi hapa kiwanda Cha USA kimepigwa,
Hatyjasikia fyoko wala Nini toka kwa USA ,Sasa nasubiri nione majibu ya EU.
Isome vzuri historia ya Ukraine na Russia, utaelewa nikwanini Russia iliivamia Ukraine na sio FinlandHiyo ya Nne ina umuhimu gani????
Kama hizo ndio sababu za Russia kuvamia Ukraine ,then I was asking my self
Kama Ukraine akkakubali zote, Je atakubali kurudisha maneno aliyo chukua????
Inshort hawezi kubali. If that soo
Kwa ninavyo ona, apart from hizo demand za Russia kuwa zina msingi, ila Russia ilikuwa na motive ya Siri ya kumega maeneo ya Ukraine hasa Donbas regions plus maeneo around black sea
Hiyo demand ya no NATO member ship, mbona kuna nchi zinapakana na Russia na zimekuwa member WA NATO, like Finland je hii sio threat Kwa Russia??? Mbona hajavamia
Hii vita kuisha ni ngumu.....