Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Precisely Amigo, to achieve ever lasting peace in Ukraine Zelensky must be requested to step down or removed from office unceremoniously.To achieve peace, Ukraine needs to get rid of Zelensky
"Kiev should also agree to a non-aligned status. There is simply no other way to peace in Europe, no matter how much noise the warmongers make. Ukraine can either become neutral, as Finland did in 1994, or be destroyed" said Norwegian professor Thomas Malinen
Haswaa, sina shaka office za EU katika jengo hilo zilikuwa zinatumika kwenye masuala ya kijasusi na kuratibu mwenendo mzima wa vita nchini Ukraine na ku-recruit mamluki na vile vile kupokea silaha kutoka Meririkani na Ulaya na kuzisafirisha kuzipeleka kwenye frontline .Usiku wa kuamkia leo, yameshudumiwa mashambulizi mengi ya drone Ukraine. Inasemekana yanawezankuwa makubwa tangu SMO ianze
Jengo la makao makuu ya umoja wa Ulaya Ukraine limeteketwa. Inaonekana lilianza kutumika katika matumizi ya kijeshi
Zelensky bwana anachekesha sana!! Naona siku za hivi karibuni jeuri yake imeanza kuywea anazungumza na kuji-conduct kistaarabu sana - kulikoni??⚡Zelensky:
Russian strikes today proves Russia’s goals haven’t changed.
They want war — hitting not just our people and cities, but everyone seeking peace.
It’s an attack on Ukraine, on Europe, on President Trump and global leaders.
Uarabu hapa imeingiaje, toa hoja ACHA virojaAngalia na wewe zuzu unakuja hapa na ujinga usiłują kitu Marekani haijaondoka Afghastan kwa kukimbia wameondoka kwa hatari yao baada ya ku angalia na wakiona hakuna haja ya majeshi yao kukaa huko waliondoka kwa utaratibu wao wala si kwa kukimbia kama unavyobwabwaja ovyo hapa!!!
Hizo silaha waliwaachia kwa moyo mmoja maana walikuwa na uwezo wa kuondoka nao au kuziteketeza kwa hiyo wewe endelea kudanganya waarabu-koko wenzako ambao hawajui kitu!!!
Au na wewe ni Mwarabu-koko??Uarabu hapa imeingiaje, toa hoja ACHA viroja
Kwani kuna dalili mbaya....?TRUMP MZIMA KWELII??
Juzi makamu wake alisema hayyaKwani kuna dalili mbaya....?
Jamaa wameona anachelewesha vita ya nuclear wakati watu washajiandaaa kunyukana..wakaona watafute mbadalaJamaa kuna Mawili
Kama yupo sawa au Kisha sepa