Kuwa wewe wajua kuliko ZerenskyHawawezi, wanachotaka kusikia ni protest dhidi ya Putin, hapo ndipo Us na allies wake wanachemsha.
Walichomuweza Russia ni kumbana economically, nalo hili lina walakini maana mpaka sasa Europe wanaagiza nishati Russia, hawajafunga benk zote kwenye mfumo wa swift. Ukweli mchungu ni kua kuna nchi za ulaya hazipendelei kinachoendelea ila US anawabana modomo.
Baada ya ww1 na ww2 ulaya hawataki kusikia tena mambo ya vita, lakini USA vita ni uchumi, viwanda vya silaha vina nguvu kwenye serikali. Hyo misaada na silaha zinazoenda Ukraine zitaifanya nchi hyo kuingia kwenye madeni makubwa sana kwa Us.
Ukifikiria kwa ndani sana, utaona USA ana 'prolong' hii vita isiishe mapema, wanamjaza Zelensky wa watu. Trust me, siku US na Russia wakikaa vita inaisha hapo hapo.
Damu zinamwagika na kuna watu (Waafrika) wanashangilia!!Bado damu zinamwagika daah
Sikiliza US hana justifications ya kurusha kombora la nuclear, ila Russia yupo kama paka aliyebanwa ndani.
Maswali konki maswali ya muhim... Niruhusu niitafsiri kwa faida ya wengi [emoji18][emoji18][emoji18]Why has Europe become a battlefield and Ukraine become a pawn? Spokesman dares West media to answer
AFP: The US Secretary of State Antony Blinken yesterday repeated President Biden’s assertion that Russian forces are committing war crimes in Ukraine by deliberately targeting civilians. You just spoke about China’s awareness of the scale of damage and civilian casualties in Ukraine. But I’d like to ask whether China has any concerns at all that these civilian casualties have been caused by Russian forces? If it’s possible, could we avoid talking about previous US actions that may have caused civilian casualties in previous conflicts?
Zhao Lijian: I have answered many questions about civilians in recent days. Of course China is saddened by civilian casualties.
There is no point in badgering us on this question. I also have a question for you. As a journalist working with a mainstream media and news agency in Europe, you need to think about the following questions. As the culprit of the Ukraine crisis, why does the US keep smearing China instead of reflecting on the security predicament in Europe caused by the eastward expansion of US-led NATO? Why doesn’t the US listen to the observation by Dr. Kissinger and other experts that Ukraine must not be either side’s outpost against the other? Why doesn’t the US reflect on its hypocritical move of watching the fire from across the river after fanning the flames? I am not sure if it occurred to the Europeans that the US was fully capable of pushing for NATO’s eastward expansion but sent no troops to support the Ukrainian people. Did you forget that the US was among the first to evacuate civilians and diplomatic personnel from Ukraine? Have you ever imagined that the US would never send a single soldier to fight and die for Ukraine? You are associated with a major media outlet from Europe. Did you ever think about why has Europe become a battlefield and a wrestling ground of major-country rivalry? Why has Ukraine become a pawn to be sacrificed in major-country rivalry? Maybe our friends from major European media outlets should also raise these questions to the US.
The least thing the US should do is to sling mud at China which is not a party directly concerned. The despicable move of the US only serves to reveal its guilty conscience and true intention to shift the blame and profit from the Ukraine crisis.
Karibu rafiki.Maswali konki maswali ya muhim... Niruhusu niitafsiri kwa faida ya wengi [emoji18][emoji18][emoji18]
Russia kuwauzia Ulaya mafuta na gesi si kama anapenda inabidi auze huko maana pesa anazihitaji tena sana so hana namna kwa jinsi alivobanwa kiuchumi na western Putin angekuwa ameshagoma kuuza gesi na mafuta Ulaya lakini uchumi wake unategemea kuuza gesi na mafuta ili kuendesha serikali. Russia 43% of total exports ni oil na gesi.Hawawezi, wanachotaka kusikia ni protest dhidi ya Putin, hapo ndipo Us na allies wake wanachemsha.
Walichomuweza Russia ni kumbana economically, nalo hili lina walakini maana mpaka sasa Europe wanaagiza nishati Russia, hawajafunga benk zote kwenye mfumo wa swift. Ukweli mchungu ni kua kuna nchi za ulaya hazipendelei kinachoendelea ila US anawabana modomo.
Baada ya ww1 na ww2 ulaya hawataki kusikia tena mambo ya vita, lakini USA vita ni uchumi, viwanda vya silaha vina nguvu kwenye serikali. Hyo misaada na silaha zinazoenda Ukraine zitaifanya nchi hyo kuingia kwenye madeni makubwa sana kwa Us.
Ukifikiria kwa ndani sana, utaona USA ana 'prolong' hii vita isiishe mapema, wanamjaza Zelensky wa watu. Trust me, siku US na Russia wakikaa vita inaisha hapo hapo.
Mariupol kwa sasa ni ngumu kutoka maana sehemu waliyobaki nayo majeshi ya ukraine ni sehemu ndogo sana ya mji na njia zote zipo kwenye mikono ya Warusi.njia pekee iliyobaki ni baharini tu, tena usiwe na boti bali upige mbizi ili patrol boat za Warusi zisikuone[emoji635][emoji1255][emoji298] The commander of the medical service of the Nazi regiment "Azov" who was captured while trying to leave Mariupol along the humanitarian corridor.
View attachment 2155591
View attachment 2155592
[emoji635][emoji1255][emoji298] Kamanda wa huduma ya matibabu ya Kikosi cha Nazi "Azov" ambaye amekamatwa wakati akijaribu kuondoka Mariupol along the humanitarian corridor.
Huyu mother kakamatwa akiwa anajaribu kutoroka... Mwanzo alijipost twitter kumbe wakamkariri sura [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]