Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unachekesha Sana. Mbona Syria walikuepo na aliingia Rais wetu Putin
Kaka amka kidogo na ujiandae. NATO haikuwepo Syria. Marekani iliingia kwa vikosi vichache kuwinda Dola la Kiislamu DAESH na kusaidia wanamigambo Wakurdi (ambao iliwalisaliti baadaye).
Putin rais yako? Hongera sana!! Sasa ukimbie ujitolee, omba bunduki nenda Urusi.
 
Roho ya kibinadamu na huruma imeniingia, kwanini upigane vita ambavyo utashindwa? Iko wazi utapoteza.
Wanasiasa wanawaponza vijana kutoka familia za Chini.
Leo hii barracks kwenye mji wa Nikolaev.
wanaokota viungo tu, baada ya kombora kupigwa kwenye barracks.
Mfano kama huyo chini, kaganda kwenye jengo hapo hapo.
Inakadiriwa zaidi ya wanajeshi 120 walikuwemo kwenye barracks.
 
HUNA AKILI
 

Humo sindo walikua wanajificha
 
Humo sindo walikua wanajificha
Mkuu umetazama picha lakini? Aloo ni unyama wa hali ya juu.
Yanini yote haya wakati ilikuwa inawezekana kumeet demand kirahisi.
Disband Azov battalion.
Usijiunge Nato.
Yatambue majimbo yaliyopo eneo la Donbass, basi ingekuwa imeisha.
Kutafuta sifa duniani kwa speech kila siku kuhutubia mataifa ya magharibi, Ona sasa.
Asa hata marekani akileta stingers anakuja kutumia nani? Zitakaa wapi zisionekane.....
Atatumia nani wanajeshi wamepoteza ari kabisa.

Cheki kama hawa chini inaonekana walikuwa kwenye kitanda sijui. Aseeeee.....dah!
 
Ngoja wakitoka hapo wataanza kusema tunawashinda na kuwauwa kama kuku warusi.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Alafu na wenyewe maboya kweli yaani mnajua nchi iko vitani alafu mnajikisanya sehemu moja kama kumbi kumbi nasikia zaidi ya wanajeshi 50 na wenda idadi ikaongezeka.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Alafu na wenyewe maboya kweli yaani mnajua nchi iko vitani alafu mnajikisanya sehemu moja kama kumbi kumbi nasikia zaidi ya wanajeshi 50 na wenda idadi ikaongezeka.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Watakaa wapi sasa mkuu?
Kwenye mashimo?
Kwa uelewa wangu Mdogo kama Air superioty mmeshazidiwa.
Hiyo vita ni 60% mmepoteza.
 
Hapo wanasema URUSI anapigwa.
 
Mmmmh hii inasikitisha, inaonekana Warusi ni roho mbaya sana. Hao wanajeshi ni wengi sana, afu wameuawa kwa pamoja. Hapo lazima uchanganyikiwe hata ufanye nn
 
We jamaa bhana ati jamaa anawindwa kama lulu ...sijui kichwa kukatwa blah ..blah blahh....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we akiuliwa huyo hii dunia itabaki salama ...fikiri mara mbili mbili...kwanza ndo uje kutapika hap[emoji1785][emoji1785][emoji1785][emoji34][emoji34][emoji34]View attachment 2155952View attachment 2155951
 
Kabisa mkuu hata mmi nawaza hivo hivo.....hizi zinaitwa fagia fagia .....zikigongwa ulaya na marekani ....panakuwa safiiii......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…