Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Relevant Parties to Bio-Labs in Ukraine Should Reply to Doubts Raised by International Community​


Any clues of biological military activities should arouse great attention and concern from the international community and the relevant parties should make timely respond to the doubts raised by the international community, Zhang Jun, Permanent Representative of China to the United Nations (U.N.) , said on Friday.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajomba wahuni sana... Hyo taarifa haina ata nusu saa comments zishafika buku jero...

Ona na hii nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]

The chief of police in Mariupol calls on Zelensky to provide Ukrainian military with real air defense systems and not “tiny little rockets which do not work against russian aircraft” referring to Stingers and other MANPADS provided by NATO. He says they are useless against the Russian Aerospace Forces whom he calls “monster” & begs him to not let them die there without real defences.



Mkuu wa polisi huko Mariupol anatoa wito kwa Zelensky kuwapa wanajeshi wa Ukraine mifumo halisi ya ulinzi wa anga na sio "roketi ndogo ndogo ambazo hazifanyi kazi dhidi ya ndege za Urusi" akimaanisha Stingers na MANPADS zingine zinazotolewa na NATO. Anasema ni bure dhidi ya Vikosi vya Wanaanga vya Urusi ambao anawaita "kinyama" na anamsihi asiwaache wafe huko bila ulinzi wa kweli.

Kuna video yake ipo hapo sema siezi kui'upload uku...

Upande wa comments sasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
🇱🇻🧂The authorities of Latvia decided to explain to the inhabitants of the country the advantages of life without sanctioned salt.

Andris Skride, head of the Saeima Labor Commission, said that consuming a lot of salt is actually harmful, and 3.2 million people die from it every year in the world.

Therefore, according to him, it is time for the inhabitants of Latvia to eat less salty, or completely switch to a salt-free diet.

📌Earlier, there was a shortage of salt in Latvian stores due to the cessation of supplies from Belarus and Russia.
 
Ungekua mjanja ungesoma hapo chini panasemaje, warabu Saudi/UAE wanataka USA awasaidie kivita kule Yemen ndo wapump mafuta. They don't give a Fck about Russia.
Matusi ya nini kaka wengine tunajifunza humu anbayo hatuyajui huko duniani ......em jenga hoja ili tujifunze kupitia nyie wenye uelewa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Nakwambia tena jifunze geopolitics,USA haina military pact na Saudi Arabia kwa hio akivamiwa na Iran pamoja na Russia yeye hataingilia. USA inawasaidia kujenga jeshi ambalo linaweza jilinda vyema kutokana na adui zake pamoja nakupitisha intelligence.

Issue ya Saudi/UAE coalition kugoma kushika simu ni kwa sababu wanataka USA awasaidie katika vita vyao na houthi rebels pale yemen, so wanatumia hio issue kama bargaining power ili wapump mafuta mengi ndiposa bei ishuke.

Mwisho kabisa utakuwa unajitoa ufahamu kudhania Saudi Arabia itakubali alipwe pesa ya madafu kama Yuan ambayo haina matumizi dunian. Hio pesa haitapokewa na nchi yeyote duniani isipokua China na hapo atakuwa mtumwa wa Beijing.
 
Usiiamini Wikipedia boss
Yah ila kwa upande wa Al-Jazeera sio ya Muingereza hiyo Al-Jazeera English ni kama BBC Swahili tu inarusha taarifa kwa kiswahil ila haina maana inamilikiwa na Mswahili...

Al-Jazeera iko chini ya Al-Jazeera Media Network ambayo ni state owned na Serikali ya Qatar chini ya Qatar Media Corporation... Ambayo kwa Tanzania unaeza ifananisha na TBC FM, TBC 1 au TBC 2 zinazomilikiwa na Serikali chini ya TBC "as Company"

Sema tu Al-Jazeera ya sasa sio ile Al-Jazeera ya nyuma tuliyoishuhudia ikianika madudu ya Israel Palestina. Sasa vyombo vya habari vingi vinaogopa kua ka RT na Sputnik kuhofia kunyanganywa Leseni zao za utangazaji kwe mataifa ya Ulaya. So wanaunga kamba tu kufata matakwa ya "wakubwa"...
 
Wakiingia kwenye compound yangu ndio yatanihusu, ila huko nje sina issue nao maana wanaweza kuwa mgambo wanalinda usalama.
Kama ni hivyo kwanini wanakataza nchi kutengeneza silaha za nyuklia wakati ni uhuru wake. Mfano Marekani waliivamia Iraq kwasababu ya shutuma za utengenezwaji wa silaha za nyuklia
 
Kwa sasa CGTN inakuja juu.
 
Eti haya 'matoi' yanayo feli na kuanguka anguka hovyo kwenye kupiga 'push-up's tu (mazoezini) ndio yapelekwe Ukraine yakapambane na mvua makombora ya Russia😂🤣🤣🤣😁😂

Ona hili 'toi' hapa chini limedondoka kwenye mazoezi na kuuwa watu 4 huko Norway



MV22B Osprey, 'toi' lililoanguka huko Norway​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…