Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Mkuu hypersonic missiles sio tu kwamba Ukraine hawezi stahimili, ni kwamba hakuna nchi yeyote inaweza stamihili hypersonic weapons. Hata Israel yenye strongest na most active air defence system 24/7 haiwezi zuia hypersonic weapons ambazo Russia na China ndio wanazo tu, Marekani testing zake hazijawa successful. Unajua mwaka juzi nilipokuwa naona hizo Kinzhal zinafanyiwa testing na wakasema ziko tiyari sikuamini sana maana development period ilikukuwa ndogo na ambavyo Russia wana ugonjwa mkubwa wa delay kwenye development. Kwa sasa nasubiria kusikia Poseidon yao iko tiyari kwa matumizi ya underwater, mojawapo ya silaha game changer ila sio ya level za Ukraine.
Russia huwa wana uhaba wa precision guided munitions na hawapendi kuzitumia sana wanakwepa gharama. Wanategemea wanyanyue Tu-22 ibebe dumb bombs kibao idondoshe ila sasa bado hawana air dominance Ukraine na of course ni kweli wanakwepa kuua raia wengi kelele zisizidi. Strategically naamini watatumia hizo very high speed missiles kuharibu kama hizo shipments za NATO ila si lazima sana kuzitumia kwingine. Wakitumia na Kalibr pia.
Tatizo la Russia hajawa na attack drones za uhakika, hizo Orion alizotengeneza kwa msaada wa Israel hazijaonesha maajabu sana ila nina imani Sukhoi Su-79 Okhotnik ikikamilika miaka ijayo itakuwa on par na American drones. Kutumia missiles zinazosafiri umbali mrefu, zenye circular error probability (CEP) ya mita kadhaa za mraba, za gharama kubwa haiwezi zidi matumizi ya drones za size ya kati, zenye low radar cross section na secure communications, zinazokaa angani masaa 20 zikizurula strategic area kusubiria any possible target kisha zinadondosha smart bomb ambayo haina gharama sana na iko very accurate.
Nasubiria hizo silaha za Marekani alizotoa ikitokea akaleta kamikaze drones zinaitwa Switchblade hapo kazi ipo sana kwa Russia
Russia imekuwa yafaulu kufeli mara nyingi tu.Urusi imekiri kuwa Imetumia/imajaribu Makombora mapya ya Hypersonic , pia imeanza kutumia Kamikaze Drones (Single Use) au Drones zinazojitoa muhanga.
This is desperate move ya Russia, ina maana watu wake wengi wamekufa na imekuwa ni ngumu kwao kuyateka haya maeneo so wameauma kutumia nguvu kubwa sana.
The issue what if this strategy fails again
Vipi wew mbona hujaenda kupiganaJamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anayeuza silaha za Urusi ni consoltium ya Rosoboronexport. Ndio anatafuta wateja na mikataba yote alafu watengenezaji kina Almaz Antey, Ularvagonzavod na wengine wanaenda kutimiza matakwa ya mkataba.Nimekuuliza tena na tena. Anayetoa end user license ni nchi au company inayotengeneza silaha hizo!? Nakushauri jifunze kwanza mzee.
Wewe ndo umeelewa hivo au wamesema kwamba baada ya kufiwa watu,.......hizo missiles zimetumika kwa kupata precission target kamili na kupunguza vifo visio hitajika kwenye miji ya watu wengi, na hiyo missile nitishio kwa US na Nato kwasbb ni very dangerous haikosi target yake popoteUrusi imekiri kuwa Imetumia/imajaribu Makombora mapya ya Hypersonic , pia imeanza kutumia Kamikaze Drones (Single Use) au Drones zinazojitoa muhanga.
This is desperate move ya Russia, ina maana watu wake wengi wamekufa na imekuwa ni ngumu kwao kuyateka haya maeneo so wameauma kutumia nguvu kubwa sana.
The issue what if this strategy fails again
Sasa mzee mbona hao poland wamegoma kupeleka hizo silaha!?Anayeuza silaha za Urusi ni consoltium ya Rosoboronexport. Ndio anatafuta wateja na mikataba yote alafu watengenezaji kina Almaz Antey, Ularvagonzavod na wengine wanaenda kutimiza matakwa ya mkataba.
Hizo S-300 ziliuzwa enzi za Soviet Union. End user license inazuia nini kwenye hili, kwamba Russia itamuwekea vikwazo Poland kumpa Ukraine Mig-29, au anyone pale Europe atakayetoa S-300 atapata sanctions? Agreements hufanywa na nchi, sio kampuni husika
Mkuu, hii vita ni Proxy yaani Russia na Marekani wanapigana kwa kutumia Ukraine.Mkuu hypersonic missiles sio tu kwamba Ukraine hawezi stahimili, ni kwamba hakuna nchi yeyote inaweza stamihili hypersonic weapons. Hata Israel yenye strongest na most active air defence system 24/7 haiwezi zuia hypersonic weapons ambazo Russia na China ndio wanazo tu, Marekani testing zake hazijawa successful. Unajua mwaka juzi nilipokuwa naona hizo Kinzhal zinafanyiwa testing na wakasema ziko tiyari sikuamini sana maana development period ilikukuwa ndogo na ambavyo Russia wana ugonjwa mkubwa wa delay kwenye development. Kwa sasa nasubiria kusikia Poseidon yao iko tiyari kwa matumizi ya underwater, mojawapo ya silaha game changer ila sio ya level za Ukraine.
Russia huwa wana uhaba wa precision guided munitions na hawapendi kuzitumia sana wanakwepa gharama. Wanategemea wanyanyue Tu-22 ibebe dumb bombs kibao idondoshe ila sasa bado hawana air dominance Ukraine na of course ni kweli wanakwepa kuua raia wengi kelele zisizidi. Strategically naamini watatumia hizo very high speed missiles kuharibu kama hizo shipments za NATO ila si lazima sana kuzitumia kwingine. Wakitumia na Kalibr pia.
Tatizo la Russia hajawa na attack drones za uhakika, hizo Orion alizotengeneza kwa msaada wa Israel hazijaonesha maajabu sana ila nina imani Sukhoi Su-79 Okhotnik ikikamilika miaka ijayo itakuwa on par na American drones. Kutumia missiles zinazosafiri umbali mrefu, zenye circular error probability (CEP) ya mita kadhaa za mraba, za gharama kubwa haiwezi zidi matumizi ya drones za size ya kati, zenye low radar cross section na secure communications, zinazokaa angani masaa 20 zikizurula strategic area kusubiria any possible target kisha zinadondosha smart bomb ambayo haina gharama sana na iko very accurate.
Nasubiria hizo silaha za Marekani alizotoa ikitokea akaleta kamikaze drones zinaitwa Switchblade hapo kazi ipo sana kwa Russia
Wamegoma kwa maamuzi yao. Unawapangia wazipeleke kwani lazima, si ni za kwaoSasa mzee mbona hao poland wamegoma kupeleka hizo silaha!?
Sasa tulia dawa iwaingie Waukrene.Wamegoma kwa maamuzi yao. Unawapangia wazipeleke kwani lazima, si ni za kwao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanachukulia vita kama ugomvi wa mke na mume.Ulitaka waendelee kutumia nguvu ndogo huku Ukraine na nchi za NATO wakitumia nguvu kubwa? Desperate move?! How?! Hiyo ni lugha ya BBC, Aljezeera na Sky News na pia CNN...duh..
Kwa kiufupi limejichimbia mpka chini kwenye mahandaki na kufanya uharibifu wanato mwambieni masanja mkandamizaji aongee na field Marshall putin ili asitoe silaha mpya na hilo hypersonic linaitwa little boy inamaana Kuna makombora makubwa zaidi ya hilo mpka ya kufanya maneuvering ya kukwepa mabomu na kuhit target watu walikuwa wanaambiwa urusi alikuwa anatumia vijikombora na vifaa vya kizamani wanabishaHili kombola la hypasonic ni balaa, limebomoa magala ya silaha zilizohifadhiwa kwenye maandaki
Sasa km USA alichukua miezi miwili kuvimaliza ajabu ni nini wakati Russia ndio kwanza ana mwezikwanza vita anavyopigana USA kule Afghanistan na vita vya mrussi ni vitu viwili tofauti. Mrussi anapigana convential warfare ambayo muamerika ilimchukua miezi miwili kuvimaliza Afghanistan
Kabla kuondoka alikuaanapigana na wanamgambo wakuvizia vizia wasiokua na ubavu wakusimama uso kwa uso.
Sasa nashangaa super power kashindwa kumaliza conventional warfare wiki tatu sasa na nchi ambayo wamepakana.
lakini si tulikubaliana hiyo ni operation sio vita ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanachukulia vita kama ugomvi wa mke na mume.
IYaani muda siyo mrefu kuanzia Sasa hao Askari 70,000 wa Ukraine wote watasalimu amri...kwa baadhi tuliosoma historia ya Vita na hasa Vita vya pili vya dunia inatukumbusha namna Field Marshall Paulus aliposalimu amri kwa Warusi huku akiwa na askari 200,000 wa Hitler walipozingirwa kwenye jiji la StalingrandView attachment 2156640
We explain on the map of the Ministry of Defense of the Russian Federation what is happening in Ukraine:
The armed forces of the Russian Federation took control of more than a third of the territory of Ukraine in three weeks.
Completely liberated Kherson and many other cities, blockaded Kyiv, Chernihiv, Sumy, Kharkov.
▪️From Kherson, Russian troops moved to Voznesensk in order to block the regional centers of Nikolaev and Odessa from the north, where units of the Armed Forces of Ukraine and NGU have been waiting for the amphibious assault of the Black Sea Fleet of the Russian Federation for three weeks.
▪️The General Staff of the Armed Forces of Ukraine is unsuccessfully trying to restore the supply of the 70,000th group of troops that are in the "operational encirclement" in the east of the country. They are running out of fuel, artillery ammunition. Arsenals and storage facilities have been destroyed by Russian troops.
The Kiev regime will not have time to receive the weapons promised by the US and NATO. The defeat of the Armed Forces of Ukraine in the Donbass will allow the start of a large-scale liberation of Ukraine, will turn on the "domino principle", military expert Oleksandr Khrolenko is sure @akhrolenko