kwani Marekani alivyovamia Iraq na Syria ulipata faida gani?!!Unatumia nguvu kubwa utapata faida gani Russia akishafanikiwa lengo lake jumapili/jumamosi la kuvamia hizo nguvu ungeziwekeza kwenye mambo ambayo yanatija kwako
Putin alikua hvyo miaka 40 iliyopitaMchumba tu kwa hili njembaView attachment 2131529
Kwahiyo kwa idea yako wewe hayo mabomu yana ukubwa sawa na miji yote hiyo ina ukubwa sawa?
Kwamba kila bomu liko designed kuumaliza mji mmoja?
Hizi idea za kwamba bomu moja linamaliza mji wote mnazitoa wapi?
Lakini waliopo jikoni kabisa wanadai Putin alikasirika baada ya Ukraine kuvumisha uongo mitandoni kwamba Putin aliwahi kufika na kuishi Bagamoyo, Tanzania. Katika kueneza uongo huo waliambatanisha na picha inayomwonyesha marehemu Samora Machel rais wa zamani wa Msumbiji, rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na mtu anaefanana na Putin akiwa katika sare ya kijeshi na kudai kwamba huyo jamaa mwenye sare ya kijeshi ni Putin. Kwa hasira akaamua kuwacharaza Ukraine kwa makombora.Chanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.
Mkuu jaribu kupunguza povu .Kama ulimsikia Zelensky alikuwa clear kwamba the aim ya Ukranian amry ni defense sio offensive war maana wanajua hawana resource kupigana offensive war,Wanachokifanya ni kuwasubir Russia infantry wajae target then wanawashambulia,hadi sasa tactick yao ime work 100%,hayo mengine ya kushambulia Moscow unasema wewe,ila Generals wa Ukraine wameshachagua tactic yao 'defensive'.
Halafu punguza hasira Russia watashinda vita ila chamoto lazima wakipate,na pia wataonyesha ulimwengu kwamba russian infantry haipo kama tulivyoaminishwa mwanzo...Hakuna kitu ngumu kama kupigana na mtu mwenye spirit na yuko tiyari kufa kutetea alichonacho,hiki ndio kinawaua warusi
Weka source ya huu uongo wakoManina Russia wakutane na Poland ana kwa ana hiyo vita itakuwa sio ya kitoto,Poland wana hasira za kihistoria na Russia,Russian infantry ni wakawaida sana sio kama dunia inavyowapamba kabisa..
Kwanza hadi sasa ni siku ya 4 Russia imeshindwa kuweka No fly zone hapo Kyiv pamoja na Airforce power walionayo,ni kitu cha kushangaza sana.
Yule pilot wa Ukraine wanamuita nickname Ghost of Kyiv ameshaka kula jets 4-6 za Urusi hadi sasa,ikiwemo the most advanced Su-35 ila jamaa anda Mig-29...Jamaa ni mzee tu late 50s...
Nuzulati usilie bana.Jamaniii nimelia☹️😟😒😢😢😢
Hapa hakuna nchi ya kikomunist - Ukraine siyo communist na Urusi siyo communist! USSR ilikuwa communist.Uhasama wa nini wa kihistoria? Uhasama hauwezi kuisha? Mitizamo ya kikomunist ni ya kishamba sana.
Mbona unalamisha mbona marekani alitumia siku 20😂😂 kwa utulie kwanzaWako weak na hadi sasa Russia hawajafanikiwa kuiteka Kyiv???,
Kwan uyo NATO ndo Nini maana nasikia NATO NATO akitajwa