Kama ulimsikia Zelensky alikuwa clear kwamba the aim ya Ukranian amry ni defense sio offensive war maana wanajua hawana resource kupigana offensive war,Wanachokifanya ni kuwasubir Russia infantry wajae target then wanawashambulia,hadi sasa tactick yao ime work 100%,hayo mengine ya kushambulia Moscow unasema wewe,ila Generals wa Ukraine wameshachagua tactic yao 'defensive'.
Halafu punguza hasira Russia watashinda vita ila chamoto lazima wakipate,na pia wataonyesha ulimwengu kwamba russian infantry haipo kama tulivyoaminishwa mwanzo...Hakuna kitu ngumu kama kupigana na mtu mwenye spirit na yuko tiyari kufa kutetea alichonacho,hiki ndio kinawaua warusi