LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwahiyo kwa idea yako wewe hayo mabomu yana ukubwa sawa na miji yote hiyo ina ukubwa sawa?

Kwamba kila bomu liko designed kuumaliza mji mmoja?

Hizi idea za kwamba bomu moja linamaliza mji wote mnazitoa wapi?

Chanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.
Lakini waliopo jikoni kabisa wanadai Putin alikasirika baada ya Ukraine kuvumisha uongo mitandoni kwamba Putin aliwahi kufika na kuishi Bagamoyo, Tanzania. Katika kueneza uongo huo waliambatanisha na picha inayomwonyesha marehemu Samora Machel rais wa zamani wa Msumbiji, rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na mtu anaefanana na Putin akiwa katika sare ya kijeshi na kudai kwamba huyo jamaa mwenye sare ya kijeshi ni Putin. Kwa hasira akaamua kuwacharaza Ukraine kwa makombora.
 
Jeshi nchini Ukraine limechapisha taarifa kwenye ukurasa wake wa Faceebook wakieleza kuwa zaidi ya wanajeshi 3,500 wa Urusi waliohusika katika uvamizi nchini humo wameuawa. na kwamba mpaka sasa urusi imeshapoteza ndege 14, helikopta 8, na mizinga 102.
 
Kama ulimsikia Zelensky alikuwa clear kwamba the aim ya Ukranian amry ni defense sio offensive war maana wanajua hawana resource kupigana offensive war,Wanachokifanya ni kuwasubir Russia infantry wajae target then wanawashambulia,hadi sasa tactick yao ime work 100%,hayo mengine ya kushambulia Moscow unasema wewe,ila Generals wa Ukraine wameshachagua tactic yao 'defensive'.
Halafu punguza hasira Russia watashinda vita ila chamoto lazima wakipate,na pia wataonyesha ulimwengu kwamba russian infantry haipo kama tulivyoaminishwa mwanzo...Hakuna kitu ngumu kama kupigana na mtu mwenye spirit na yuko tiyari kufa kutetea alichonacho,hiki ndio kinawaua warusi
Mkuu jaribu kupunguza povu .

Nilikwambia Urusi akiamua ataivamia Ukraine na USA hatofanya chochote zaidi ya vikwazo ila ikakomaza kichwa.

Alafu kingine vita sio kitu rahisi kama unavyo fikiria USA alitumia zaidi ya mwezi na wiki kadhaa kuingia baghidadi akiwa amesha poteza maelfu ya wanajeshi wake na vifaa vingi vya kijeshi ,lakini Urusi katumia masaa 48 kuingia kiyve bado hujaona nguvu ya Urusi.
 
Manina Russia wakutane na Poland ana kwa ana hiyo vita itakuwa sio ya kitoto,Poland wana hasira za kihistoria na Russia,Russian infantry ni wakawaida sana sio kama dunia inavyowapamba kabisa..
Kwanza hadi sasa ni siku ya 4 Russia imeshindwa kuweka No fly zone hapo Kyiv pamoja na Airforce power walionayo,ni kitu cha kushangaza sana.
Yule pilot wa Ukraine wanamuita nickname Ghost of Kyiv ameshaka kula jets 4-6 za Urusi hadi sasa,ikiwemo the most advanced Su-35 ila jamaa anda Mig-29...Jamaa ni mzee tu late 50s...
Weka source ya huu uongo wako
 
There is currently no major Russian military presence in Kyiv, although saboteur groups are active in the capital, mayor Vitali Klitschko said. #Kyiv | #UkraineRussiaWar
 
Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706]
20220226_114025.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom