LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Rais ana uhakika wa ulinzi. Mambo yakiwa magumu anaondokanani ya nchi na ndege muda wowote.

Pia labda matajiri hawajaiva kama vita vilikuwa na ulazima wakaona wawaachie nchi yao kea muda wanaoona vita fresh.
 
sudden, complete cutoff of Russian gas to Europe is unlikely — but if it were to happen, experts warn it would be painful. Another option available to Russia would be to cut off gas exports via pipelines in Ukraine — a move that would notably affect Germany. (Its reliance on Ukraine-based pipelines is part of the reason for its interest in Nord Stream 2.)
With supply drastically affected, Europe's already-high energy prices would likely skyrocket.
"If we will get additional volumes from Norway and from Azerbaijan and from Qatar and from the United States, then we can build up a scenario how to handle the situation that is theoretically possible if we have full disruption of gas flows from Russia," said European Commissioner for Energy Kadri Simson, speaking at a news conference on Tuesday.
One short-term solution is importing liquefied natural gas from countries like Qatar and the U.S. The U.S. has dramatically increased its exports of LNG to Europe in recent years. But experts say that LNG supplies would likely be unable to cover all needs in the case of a complete Russian cutoff.
 
Asante mkuu Kwa ufafanuzi,kwakweli watu wanaongea tu bila kujua historia.Hitler wakati anavamia urusi alikua anapigana vita nyingi sehemu mbalimbali ulay na pia alishaivamia Hadi ndani ya urusi ila tu masuala ya logistic na baridi yalimkwamisha ila urusi alikula kishasanda
 
Wewe huna akili kabisa sifa zote hapo ulichoandika hakifanani na mimi hata kidogo
 
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Hata jibu lako llinathibitisha hivyo. Mwenye akili ya kawaida tu, angesubiri mtu mwingine aseme. Wewe ni bohora mtu wangu.
Wewe huna akili kabisa sifa zote hapo ulichoandika hakifanani na mimi hata kidogo
 
Ni kweli mkuu hata mimi nashangaa,N.K hapo wapo around 20m na Israel around 8m lakini wako vizuri sasa hao mazuzu wanalia Lia kama wajinga.
 
Sio sawa kuwasema Ukraine yenye watu milioni 45 itunishiane msuli na Mrusi wakati nchi yako ina raia milioni 60 lakini wala haiwezi kuthubutu kutunishiana misuli na hata hiyo Ukraine!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]waache uoga, vita ikianza hakuna wa kupona hata wafanyajw, mybe kwa usalama zaid wakimbilie Afrika ambako hatuna bifu na hao mabwana

huku uswahilin tuwastiri kidogo japo madada zetu kina mwajuma watawafirisi zote wabaki mifuko mitupu
 
heheee sawa MKUU
 
kama German angekua nahela kama unavyosema angeagiza gas huko nje kama unavyosema akaachana na ya RUSSIA hvyo mpaka kujengwa hilo bomba maaa yake nikwamba hawezi kununua nje ya RUSSIA ndio maana akajenga bomba na punde anaanza kuuziwa gesi na RUSSIA
kama madai yake yamekataliwa mbna bado hatujaiona UKRAINE ndani ya NATO na kama majeshi yamerudishwa kama unavyodai tumuamini nani kati yako wewe ba US kuhusiana na hayo majeshi
US kwasasa anahio mipango ya kuuza gesi ndio maana anaufanyia figisu mradi wa bomba la NORD 2 ili usifanikiwe ila kwabahati mbaya PUTIN na RUSSIA kwaujumla wanawa out smart US nawatawauzia EU gesi licha yakelele za US zakutaka mpaka kuitia UKRAINE vitani ili tu kuuhujumu mradi wa bomba la gas
 
alikua[emoji23][emoji23][emoji23]
waswahili mnakwamia wapi nalugha yenu wenyewe
alikua lakini ndio hakua tena
 
Matajiri wamekimbia akina nyadundo tunahororoja humu. Kushadadia vita.
 
Madhara ya vita hua huwapata watu masikini wasioweza kukimbilia popote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…