President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hii link imekatika jomba... Ka hutojali unaeza kurudia kuituma.
Nimekushauri hebu nenda kwanza shule uondoe ujinga.USA ndo nchi ya Kwanza kupeleka binadamu mwezini.
Duh picha Kama hizi za maiti tunaomba msizitume wakuu[emoji120]
Kombora moja tu, na hiyo ni message kwa vimbelembele wa NATO.Jamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.Russia ndiyo nchi ya kwanza kwenda mwezini. Technology ya Russia ipo mbele mno. Nadhani NATO na USA itawachukua miaka.
Tatizo lako ukipewa ukweli unapaniki Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Nimekushauri hebu nenda kwanza shule uondoe ujinga.
Atakwambia Propaganda za west au atakwambia hujui kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu jamaa hua anafurahisha[emoji23][emoji23][emoji23]Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.
Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani
Hii link imekatika jomba... Ka hutojali unaeza kurudia kuituma.
Kwamba USA alikua Yuko vitani na Syria?! Duh humu ndani kuna vichekesho[emoji23][emoji23][emoji23]Kombora moja tu, na hiyo ni message kwa vimbelembele wa NATO.
US alirusha Tomahawks ngapi Syria na bado akashindwa vita??
Boy huwa sijadiliani na stupid. Ukija na facts tutajadiliana. Kwenye thread hii wapo watu wanajifunza, bado unaleta vitu vya kijinga how can I tolerate you!?Tatizo lako ukipewa ukweli unapaniki Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ukiona hadi hawa wazee wa propaganda wamekiri jua huo moto ni balaa.Alafu unaambiwa Urusi imeishiwa silaha sasa hayo mashambulizi ametumia mawe.View attachment 2157034
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Facts za kwamba Russia ndo nchi ya Kwanza kufika mwezini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boy huwa sijadiliani na stupid. Ukija na facts tutajadiliana. Kwenye thread hii wapo watu wanajifunza, bado unaleta vitu vya kijinga how can I tolerate you!?
Kwani mrusi hana altenative ya GPS?Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.
Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani
A Moon landing is the arrival of a spacecraft on the surface of the Moon. This includes both crewed and robotic missions. The first human-made object to touch the Moon was the Soviet Union's Luna 2, on 13 September 1959.Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.
Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani