Hahahahaha aisee..Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.
| Russian Leadership Disapproval in Eastern European NATO Countries, 2013 vs. 2021 ** | |||
| Do you approve or disapprove of the job performance of the leadership of Russia? | (kabla ya uvamizi wa 2014) | Baada ya uvamizi wa 2014 | |
| Disapprove - 2013 | Disapprove - 2021 | Change | |
| % | % | pct. pts. | |
| Albania | 20 | 49 | 29 |
| Poland | 51 | 79 | 28 |
| Hungary | 18 | 39 | 21 |
| Bulgaria | 12 | 33 | 21 |
| Slovakia | 34 | 51 | 17 |
| Croatia | 31 | 43 | 12 |
| Latvia | 38 | 49 | 11 |
| Estonia | 46 | 56 | 10 |
| Romania | 27 | 37 | 10 |
| Czech Republic | 45 | 53 | 8 |
| Lithuania | 42 | 44 | 2 |
| North Macedonia | 29 | 30 | 1 |
| Slovenia | 60 | 56 | -4 |
| Montenegro | 31 | * | - |
| *Data not available **Among countries that joined NATO in 1997 or later | |||
| Gallup |
Ona sasa,ww ndo wa kuita watu stupid kweli?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.
Mzee hebu nipishe please. Huna point yoyote. Comment zako kama za wakenya. Ngoja nikufuatilie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro Russia wa kwa Mpalange mahaba yamezidi mpaka unataka kurusha ngumi[emoji23][emoji23]DOH
umechanganya hapo mkuu.Fanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.
A Moon landing is the arrival of a spacecraft on the surface of the Moon. This includes both crewed and robotic missions. The first human-made object to touch the Moon was the Soviet Union's Luna 2, on 13 September 1959.
Google hiyo "GLONASS"Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.
Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani
Sijawahi kuona movie ambayo haikutengenezwa. Kwa kawaida hutengenezwa kwa kutumia kamera. Hasa mwaka 1969 /70. Baadaye zilikuja filamu zilizotengenezwa kwenye kompyuta.Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh we jamaaHahahahaha aisee..
Kwahiyo kwa US ilikuwa operation ila Russia hamtaki iwe operation??
Kwahiyo ISS ni kina nani? Amewamaliza hao ISS? Impact ya zile Tomahawk zaidi ya 50 haifikii Impact ya missile moja tu iliyoshushwa jana Ukraine. Huoni ni aibu hiyo??
Jana Assad alikuwa kwa maswaiba zenu wa zamani UAE. Pole pole mnaanza poteza ushawishi. India nae ametangaza kununua mafuta ya Russia. India ana uchumi mkubwa kuliko nchi zote za Ulaya
Mzee hebu fuatilia comment yangu nilikuwa naongelea nini mzee. Nilikuwa naongelea technology ya Russia ipo juu. Russia ndiyo ya kwanza kupeleka chombo mwezini.umechanganya hapo mkuu.
Mwanadamu wakwanza kwenda anga za mbali alikuwa msoviet Yuri Gagarin.
Mwanadam wa kwanza kutua mwezini alikuwa mmarekan Neil Armstrong.
Huyu jamaa haishiwi maneno
Hujui kitu kumbe urusi ndo ya kwanzaUSA ndo nchi ya Kwanza kupeleka binadamu mwezini.
Hapo atakwambia hizo ni propaganda za west. Halafu akileta habari zake anataka uzipokee Kama zilivyoSijawahi kuona movie ambayo haikutengenezwa. Kwa kawaida hutengenezwa kwa kutumia kamera. Hasa mwaka 1969 /70. Baadaye zilikuja filamu zilizotengenezwa kwenye kompyuta.
Hadi leo China na Urusi wanawekeza pesa waweza kufika pale NASA ya Marekani ilifika mwaka 1969. Umeona mfano mmoja ambako China au Urusi walipinga uhalisia wa NASA kufika mwezini???? Onyesha!
Wanaopinga ukweli ni watu huko Marekani wanaojua kwamba kukana mambo ambayo ni dhahiri inaleta pesa katika biashara ya kuuza vitabu na filamu.
na watu kama Q-Anon wanopenda nadharia za njama.