Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The number of Russian Facebook users has decreased by 40% in 10 days of blocking.

These are the data of a study by Mediascope, conducted at the request of RBC.

Instagram lost 16% of users in Russia in just 1 day of blocking.

The decrease in the audience of some social networks contributed to the increase in others: the Telegram audience has grown sharply. The social network "VKontakte" on February 24 had 46.5 million Russian users, and on March 15 - already 50.3 million.

P.S. We take this opportunity to remind you that Sputnik is available in all popular social networks.
 
Alafu utakuta huyo kuanzia viatu Hadi barabara analotembelea imeandikwa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Hakuna msaada au Jambo lolote la maana unaweza kupata kutoka Russia.

Russia ni wabinafsi sana kuhusiana na transfer of Technology.
 
Another loss for Russians who depended on Fb/IG for business and marketing.
 
Hakuna nchi zinazojiunga na vita

Sema kuna watu wanataka kujikinga na vita
 
Tangu day 1 analia na mpaka sasa analia. Watu wanaopiga ukunga huku wananyongwa hutumia muda mchache kutoa sauti kisha utasikia akikoroma halafu kimya, ila kuna wale wanaopiga ukunga huku wanapigana, hawa utasikia kelele za muda mrefu. Anapiga kelele za msaada huku na yeye anarusha ngumi.
 
Hii Ukraine inayopewa bure silaha na Sweden na Germany hapo Ulaya nchi kibao zinaiweza, tukianza na Poland na Finland tu hao majirani.
poland hata tz tunawamudu vizuri tu kupewa silaha sio sababu tatizo ukraine imeijulia kiundani kwenye huu mgogoro tu jamaa wameuza silaha nyingi mpaka ufaransa
 
Matokeo ya uvamizi wa Russia

1.Uvamizi wa Russia ukifanikwa utachochea baadhi ya mataifa mengine kuvamia jirani zao ambao wanaamini walipaswa kuwa sehemu zao.Tunaweza kuiona China ikivamia Taiwan, Sudan Kaskazini ikiivamia Kusini, Ethiopia ikiivamia Djibouti au Somalia n.k

2.Mataifa yote duniani hasa Marekani na Ulaya yataongeza kiasi cha bajeti kwa ajili ya sekta ya ulinzi, majeshi, silaha na kujiandaa na vita wakati wowote. Sekta nyingine zote na nchi tegemezi kama nyingi za Afrika zitaathiriwa kibajeti kwa njia hasi.

3. Mataifa mengine makubwa ya Ulaya yanayopakana na Russia, Finland na Sweden yanaweza kujiunga na NATO kwa mchakato wa haraka ili yajihakikishie usalama dhidi ya uvamizi wa Russia.

4.Viwanda vya silaha vitashamiri, teknolojia mpya za silaha zitaundwa kwa kasi.

5.Ukali wa maisha utaongezeka kwa mataifa mengine duniani, Russia na Ukraine wanatoa takribani ya theluthi ya ngano inayouzwa duniani, uzalishaji utapungua.


Pia tufahamu

1.Hakuna maslahi yoyote ya Urusi yaliyotishwa na Ukraine hadi kumfanya Putin kuivamia hiyo nchi.Tayari kuna nchi tano zinazopakana na Urusi ambazo ziko NATO hizo ndizo zingekuwa zinatishia zaidi maslahi yake. Ndio maana unaona maandamano ya kuipinga hiyo vita ndani ya Urusi. Sio rai wengi wa Urusi wala jeshi lao wanaolewa kwa nini Putin ameivamia Ukraine.

2.Russia haijaanza kuivamia Ukraine leo, imeanza zamani sana hata kabla haijawa superpower na mara zote Ukraine imekataa kuwa chini ya Himaya ya Russia. Putin anajaribu tena kutengeneza hiyo Himaya.Nchi nyingine zilizowahi kuvamiwa na Putin ni Chechnya 1999 na Georgia 2008.

3.Hakuna Eastern block, Eastern block ilianguka mwaka 1990 na nchi 14 zilijitoa kwenye hiyo block kwa maandamano na mwishowe kura za kuikataa USSR na Russia. Nyingi ya hizo nchi zilipiga hatua kuwa za kidemokrasia na kuungana na Ulaya Magharibi katika EU na NATO. Imebaki Belarus tu ambayo dikteta wake anaharibu uchaguzi kwa usaidizi wa Russia kuendeleza utawala kidikteta uliokataliwa na raia.

4.Hii sio vita Russia kulinda maslahi yake yanayotishiwa na Ukraine, ni vita ya kutanua Himaya kama vita za Empires za kale karne ya 19 kurudi nyuma. Putin ana ndoto Ukraine sio nchi kamili kwamba ni sehemu ya Russia tu. Akiwa na Ukraine na Belarus kwapani kwake anaona kutimia kwa ndoto yake ya kuifanya Russia ya sasa kama aina fulani Umoja wa Kisoviet wa kale.
 
Hao DRC ukiwauliza why wanapigana wao kwa wao wana jibu kweli?yaani JF imekua na wachambuzi wa vita hii na waoga mno kuongelea yanayotokea hapa hapa puani kwetu, mpaka wetu na Mozambique..vita sio jambo la kushabikia
DRC ule Ni mchongo wa watu wengi, Rwanda,tz,ug,Burundi na nyingine zinahusika.kuja kutulia wale sio leo
 
Ha ha haa aisee naona lugha hiyo ndio wataielewa.
 
israel inakalishwa na hezbullah kila battle
 
Lazima itafikia mahala watazungumza ukweli tu...

Taarifa zasema shambulio la Russia kwenye ngome ya kijeshi iliyokuwa na wapiganaji wa kigeni takribani 600 huko magharibi mwa Ukraine, lilifanywa baada ya Russia kudukua simu za waingereza. Yazungumzwa kuwa waliokuwa wanajeshi wa Uingereza pia wamo ktk watu waliouawa na waliojeruhiwa

 

Jamaa saivi anaingia studio wanaunda ka video Kama yupo Kiev kumbe poland. Taburalasa sana huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…