Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah! Hii video hadi huruma, jameni aliyemuingiza Putin mkenge haitokuja siku asamehewe.....

 
Siii sio massage mkuu kutoka kwa putin?
 
Kwa huu upumbavu naona heshima imepungua twende kwenye WW3 tu maana Marekani anataka kujifanya bingwa wa Dunia. Wamchangie China na Urusi tuone kama kuna kitu kitabaki zaidi ya magofu tu.
 
🇸🇰NATO units began to arrive in Slovakia to deploy Patriot systems.

Earlier, the head of the country's defense ministry announced his readiness to transfer his S-300 to Ukraine, only after receiving other air defense systems.

The Russian Foreign Ministry called the possible transfer of the missile system to Kiev illegal and promised that Moscow would not allow this.
 
Russians are 10 times worse, my cousin can attest to that wakati akikua Saratov State Medical University. Jiulize mbona hakuna wafrika ama foreigners wengi huko.
Acha uongo wa kinyang'au
Kuna waafrika karibu 27000 wanachukua elimu ya juu nchini Urusi.

Halafu kwani Urusi ilihusika kwenye biashara ya utumwa kwa mtu mweusi?

Au ilihusika na ukoloni kwa bara la Afrika?
 
wikipedia na makamanda wa israel walisema walishindwa vita sasa wewe unabisha nini? Na mkatab wa kusalimu amli ulisainiwa pale UN

PUNGUZENI MAHABA ISRAEL HUWA INAKALISHWA MARA KIBAO TU
 
The Russian claim could not be independently verified and for that matter we treat it as a mere propaganda just like others.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…