Nakupa na data za nyongeza... Kuna kitu mashabiki Uchwara w USA hawakiangaliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mda tunawaambia USA atazuia kitu ambacho hakitumii kwa wingi au ambacho hakimuathiri kwa kiasi kikubwa...
View attachment 2160265
Sawa na Chakula ukipunguzie kachumbari... Kushiba utashiba kasoro radha tu...
Hiyo BRICS anayoidharau apo inachukua more than 75% ya Consumption ya dhahabu ndani ya Total Metric Tonnes za hao top ten... Apo Ni India, China, Russia 277.1 out 369.5 ya jumla za Metric Tonnes zinazotumiwa na Top ten ya Nchi wanaoongoza kwa utumiaji dhahab...
Katika hizo 10 direct ally wa USA ni UK na Italy kwa upande wa Europe ongezea na South korea mpambe wake inagota ka 62Tonnes hv... Ambao kwa pamoja hata ile nusu walau Nusu ya dhahab inayotumika India haijafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB: Hizo ni data za Single Quarter, yan 4 Months...
BRICS n just nchi 5 tu kwa sasa... Huu si muungano wa kivita ila n very "Strategic Alliance" kutoka kwenye 4 Continents ie. ASIA (China n India), AFRICA (South Africa) EUROPE (Russia) SOUTH AMERICA (Brazil)... mpk uwe na akili timam ndio utaweza kuuelewa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]