Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo unacomment kinyonge,ile speed ya ma screen shot imepungua kabisa au ndiyo bado uko kwa denial baada ya kipigo kitakatifu cha jana cha ndugu zako 🙂
We nae sijui huwa wazungumza vitu gani...hivi huwa huwezi kuleta habari za maana na kuweka vyanzo vyake (watu wakajifunza kitu) badala ya kuongea porojo kavu kavu?
 
Mkuu huwa nachekaga sana nikiona hizi highlight zako,ni kama huwa huamini kama mtu atasoma screen shot uliyoattach kwa hiyo unaweka na msisitizo kabisa.Back to topic,Russia hawezi thubutu kufanya chochote kwa ardhi ya Poland.Hapa tuendelee tu na mastory ya town
 
Huyo mshikaji alikuja kama mchambuzi siku zinapozidi kwenda ndio mahaba yanaoneka yako upande gani
 
AZOV DENAZIFICATION IS COMPLETING

The militants of the terrorist group "Azov" take away apartments (turning them into ruins), food, and clothes from the civilians of Mariupol in order to escape from the city under the onslaught of military units of the Russian Federation and the DPR.

That's all there is to know about the "patriotism" and "stamina" of the Ukrainian National Guard.
 
Kama ni rahisi jaribu kuiga kama utaweza...

Sio kila simu yaweza kufanya namna hiyo kwa ufanisi..

Usikute watumia ki-tecno ambacho hakiwezi kufanya jambo hilo kwa ufanisi
 
Ukichunguza sana wanaoshabikia ushetani wa putin ni wivu tu dhidi ya us wachunguze wengi hata wazo la kwenda Russia hawana[emoji23]
Hapa nimekuelewa, ndoto zao wengi ni kwenda UK na US lakini wanawachukia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukichunguza sana wanaoshabikia ushetani wa putin ni wivu tu dhidi ya us wachunguze wengi hata wazo la kwenda Russia hawana[emoji23]
Wako hapa wanabwabwaja lakini kila siku wanajipanga mstari pale Ubalozi wa Marekani na Nchi za Magharibi kuomba viza za kwenda huko.Waulize kama hata wanaufahamu ubalozi wa Russia ulipo sasa kama watakujibu😀
 
Watu wanachapika kule mpaka wanakimbia na magauni alafu watu wanaleta story za alfu lela ulela.

Ukraine hawareport wanajeshi wao wanavyochapwa wako busy kureport watoto na wanawake ndio wanauwawa..
Embu ona walichufanyiwa wa ukrein halafu kuna mtu anashupaza shingo kwamba ukrein wanashinda
 
We nae sijui huwa wazungumza vitu gani...hivi huwa huwezi kuleta habari za maana na kuweka vyanzo vyake (watu wakajifunza kitu) badala ya kuongea porojo kavu kavu?
Ushaanza kupanic kama kawaida yako.Wewe kuna cha maana unachopost hapa cha kujifunza? Hayo mascreen shot yako unayotujazia hapa ukiwa umeyahighliht ndiyo unaona unatuletea cha kujifunza,unadhani huwa hatusomi huko moja kwa moja😀
 
Watakupinga
 
The Ministry of Defense showed footage of the destruction of the Ukrainian S-300 air defense system, which the Armed Forces of Ukraine located in an urban industrial building on the northern outskirts of Kyiv.

It was discovered by a Russian drone, after which the Russian Armed Forces hit the car with a high-precision missile weapon.
Galip SV
Your browser is not able to display this video.
 
Kama ni rahisi jaribu kuiga kama utaweza...

Sio kila simu yaweza kufanya namna hiyo kwa ufanisi..

Usikute watumia ki-tecno ambacho hakiwezi kufanya jambo hilo kwa ufanisi
Ushapanic tayari,eeh kuna nini kingine unamiliki? IST,SIENTA,AU Harrier? Fanya na ununue kiwanja walau pale Mbweni ili uonekane mjanja,siyo kuja na mbwembwe za kudharau Tecno.
 
Ushaanza kupanic kama kawaida yako.Wewe kuna cha maana unachopost hapa cha kujifunza? Hayo mascreen shot yako unayotujazia hapa ukiwa umeyahighliht ndiyo unaona unatuletea cha kujifunza,unadhani huwa hatusomi huko moja kwa moja😀
Wewe huna ujuacho...komenti zako zote ni porojo zisizokuwa na vyanzo 'source'.

Yaani bora nisome comments za Mwanamkiwi , T14 Armata na permanides naweza pasta jambo jipya la kujifunza. Ila wewe...duh, nachelea kusema huna lolote ujualo ktk mambo haya zaidi ya kukomenti 'kibubusa' kwenye hoja walizokutafutia hao niliowataja.

Jifunze kujitegemea, sio kubebwabebwa kwenye mbeleko za hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…