Hostomel wataichukua. Basically Ukraine itashindwa hii vita, endapo Urusi ikiishindwa Ukraine kuna majenerali wanabidi watandikwe viboko mbele ya umati.
Urusi ina tatizo la training ambalo linatatuliwa na professionalism na matumizi mazuri ya fedha zinazotengwa, jambo ambalo sijui kama lipo au halipo kwa Urusi. Kitu cha uhakika ni ukosefu wa fedha nyingi za training na training partner wa uhakika. Wakati Marekani inafanya training na Israel, UK, Germany, France, Canada, Poland, etc mwenzake Urusi ana kina Belarus eti wanafundishana mbinu.
Kutokuwa modernized bado ni kukosa hela nyingi kwenye bajeti.
Tangu tarehe 17 March Urusi ilikadiriwa ilikuwa ishapoteza wanajeshi wengi zaidi ya Marekani iliyopoteza Iraq na Afghanistan kwa miaka 20 yote. Hao ni US Intelligence wakiripotiwa na New York Times.
NB: Kuna watu mnatakiwa mjibu neno Propaganda, nimewasaidia msihangaike
View attachment 2161911