Funzo litakuwa limewaingia,marufuku kuleta adui NATO hapo Karibu!Hata kama ichukue 20,lakini wameweka heshima ya kulinda Nchi yao na mwisho wa siku Nchi itajengwa lvizuri tu akini wakati huo kuna Russia amerudishwa nyuma ki uchumi vile vile tena siyo kidogo.Ngoma droo.
Hostomel wataichukua. Basically Ukraine itashindwa hii vita, endapo Urusi ikiishindwa Ukraine kuna majenerali wanabidi watandikwe viboko mbele ya umati.Je waona Urusi ikidumu Hostomel?
yeah ndio maana nmesema athari zitakuwepo kwa pande zote tena sana, ila swala la nani ataathirika zaidi in long term hilo ni swali gumu may be time itaamuaUchumi kutik
Kwenye vikwazo vitamteteresha kiasi chake Russia ila wamshukuru Muumba wao kwa kuwajazia alot of natural resources kwenye ardhi yao... Nawaza wangekua kama nchi zingine ambazo zinategemea kujiendesha kwa resources hasa zile muhim nje ya mipaka yake hivi sasa tungekuwa tunazungumza mengine...
New York times😀😀😀,nenda na RT ukatuambie estimates zao!Hostomel wataichukua. Basically Ukraine itashindwa hii vita, endapo Urusi ikiishindwa Ukraine kuna majenerali wanabidi watandikwe viboko mbele ya umati.
Urusi ina tatizo la training ambalo linatatuliwa na professionalism na matumizi mazuri ya fedha zinazotengwa, jambo ambalo sijui kama lipo au halipo kwa Urusi. Kitu cha uhakika ni ukosefu wa fedha nyingi za training na training partner wa uhakika. Wakati Marekani inafanya training na Israel, UK, Germany, France, Canada, Poland, etc mwenzake Urusi ana kina Belarus eti wanafundishana mbinu.
Kutokuwa modernized bado ni kukosa hela nyingi kwenye bajeti.
Tangu tarehe 17 March Urusi ilikadiriwa ilikuwa ishapoteza wanajeshi wengi zaidi ya Marekani iliyopoteza Iraq na Afghanistan kwa miaka 20 yote. Hao ni US Intelligence wakiripotiwa na New York Times.
NB: Kuna watu mnatakiwa mjibu neno Propaganda, nimewasaidia msihangaikeView attachment 2161911
Jamaa yangu naomba kwa maelezo yako uniambie. Russia ilipeleka wanajeshi wangapi kuingia ndani ya Ukraine. Kwa jinsi navyojua mimi, hiyo idadi ya vifo unayotaja ni kama nusu ya wanajeshi wote waliotumwa kuingia ukraine.Hostomel wataichukua. Basically Ukraine itashindwa hii vita, endapo Urusi ikiishindwa Ukraine kuna majenerali wanabidi watandikwe viboko mbele ya umati.
Urusi ina tatizo la training ambalo linatatuliwa na professionalism na matumizi mazuri ya fedha zinazotengwa, jambo ambalo sijui kama lipo au halipo kwa Urusi. Kitu cha uhakika ni ukosefu wa fedha nyingi za training na training partner wa uhakika. Wakati Marekani inafanya training na Israel, UK, Germany, France, Canada, Poland, etc mwenzake Urusi ana kina Belarus eti wanafundishana mbinu.
Kutokuwa modernized bado ni kukosa hela nyingi kwenye bajeti.
Tangu tarehe 17 March Urusi ilikadiriwa ilikuwa ishapoteza wanajeshi wengi zaidi ya Marekani iliyopoteza Iraq na Afghanistan kwa miaka 20 yote. Hao ni US Intelligence wakiripotiwa na New York Times.
NB: Kuna watu mnatakiwa mjibu neno Propaganda, nimewasaidia msihangaikeView attachment 2161911
Eneo la kikurdi haikutengwa na Irak. Ni mkoa wa kujitawala mwenye msingi katika ibara ya 5 ya katiba ya nchi (linganisha na Zanzibar, hali halisi madaraka ni pana zaidi). Tena shambulio la juzi kutoka Iran lililenga jengo la konsuli wa Israel. Tafadhali soma habari.Umeshasahau kama kawapa wakurdi wa irak eneo wanajitawala kama nchi na anajenga military base ambayo juzi ilitwangwa missile na iran?
Labda hujafuatilia MAREKANI hawezi kupelekea Ndege zake asionekane Russia anauwezo wa kufanya chochote.Marekani ndio theoretically (not proved) wana uwezo wa kuingiza ndege anga la Urusi kwa vile wanadai wana stealth jets kama F-35, F-22 na bombers kama B-2 na hii mpya B-21 Raider.
Na historia inaonesha waliwahi fanya hivyo ile incidence ya U-2 Dragonlady spy plane ambayo ilikuwa ikatishe anga la Urusi kufanya uchunguzi ila ikadunguliwa angani. Marekani walizoea anga la Urusi ni uchochoro ukipita juu sana hawana interceptor wala radar za kukuona. Kumbe muda si mrefu Urusi ilikuwa imezindua ground to air missile mpya yenye uwezo ndio wakadondosha ile ndege. Hiyo ilikuwa miaka ya 1961 sijui 1960.
Baadae miaka ya 1980s kuna dogo kutoka nchi jirani hapo aliendesha ndege ndogo kama hizi Cesna akatua Urusi tena Red Square pale kupinga vita baridi.
Hakuna incidence ambayo ndege ya adui iliwahi ingia anga la Marekani, hakuna adui mwenye hizo ndoto za mchana. Ndio maana long range bomber ya Urusi Tu-160 Blackjack ina cruise missiles kama Raduga tangu zamani, wakati long range bombers za Marekani kina B-52, B2B Lancer na B-2 Spirit hazizingatii sana cruise missiles zenyewe zina mabomu zaidi.
Marekani inaweza ona ndege zote za Urusi zikiruka, in incidence of war. Airbases zinajulikana, ndege sio stealth, zenye range kubwa lazima zitoke airbase haziwezi toka kwenye airstrip, satellite za kijeshi za Marekani picha zake hatupati kiraia ni marufuku ila zina uwezo mkubwa wa kuona airbases za Urusi, kama picha za satellite za private companies tunaona na ndege zinaonekana sembuse za jeshi.
Mig-29 ni old plane ndugu yangu. Poland inaziona hazifai kwa matumizi sio tena level zake, inanunua F-35 ambazo iliagiza mwaka juzi sijui ila order inasema hazifiki hata mwaka huu. Poland inafanya modernization ya F-16. Hizo Mig-29 inampa Ukraine kwa kuwa marubani wake ndio wanajua kuzitumia, kujifunza kuendesha ndege ya kivita ili upigane ni suala la miaka sio miezi.endelea kubebwa na proganda unajua kwanini poland iliogopa kuipa ukraine ndege za mig 29 alafu .usiche na belarus wana taslim electronic war ambazo zinafungwa kwenye mig 29 ziliwatesa sana waturuki na f 15 zao pale idlib syria
Si nusu. KAma kadirio la 10,000 hivi waliouawa ni sahihi, inaelekea 10% za 150,000 waliokusanyika kabla ya uvamizi. Marekani walisema sasa kwamba wanakadiria nguvu ya Jeshi la Kirusi katika Ukraine limeshuka hadi 90% (bado ya kutisha!).Jamaa yangu naomba kwa maelezo yako uniambie. Russia ilipeleka wanajeshi wangapi kuingia ndani ya Ukraine. Kwa jinsi navyojua mimi, hiyo idadi ya vifo unayotaja ni kama nusu ya wanajeshi wote waliotumwa kuingia ukraine.
Mbona kuna gazeti lao linasema waliokufa ni zaidi ya 9000Hostomel wataichukua. Basically Ukraine itashindwa hii vita, endapo Urusi ikiishindwa Ukraine kuna majenerali wanabidi watandikwe viboko mbele ya umati.
Urusi ina tatizo la training ambalo linatatuliwa na professionalism na matumizi mazuri ya fedha zinazotengwa, jambo ambalo sijui kama lipo au halipo kwa Urusi. Kitu cha uhakika ni ukosefu wa fedha nyingi za training na training partner wa uhakika. Wakati Marekani inafanya training na Israel, UK, Germany, France, Canada, Poland, etc mwenzake Urusi ana kina Belarus eti wanafundishana mbinu.
Kutokuwa modernized bado ni kukosa hela nyingi kwenye bajeti.
Tangu tarehe 17 March Urusi ilikadiriwa ilikuwa ishapoteza wanajeshi wengi zaidi ya Marekani iliyopoteza Iraq na Afghanistan kwa miaka 20 yote. Hao ni US Intelligence wakiripotiwa na New York Times.
NB: Kuna watu mnatakiwa mjibu neno Propaganda, nimewasaidia msihangaikeView attachment 2161911
Sijakuelewa mkuuTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Kama ni hizo F-35, F-22 basi huo uwezo hawana, Kuna ile Russian Rezonans-NE Radar System ina uwezo wa kuzi'track vizuri tu. Na Iran wanazitumia toka 2020.Marekani ndio theoretically (not proved) wana uwezo wa kuingiza ndege anga la Urusi kwa vile wanadai wana stealth jets kama F-35, F-22 na bombers kama B-2 na hii mpya B-21 Raider.
Na historia inaonesha waliwahi fanya hivyo ile incidence ya U-2 Dragonlady spy plane ambayo ilikuwa ikatishe anga la Urusi kufanya uchunguzi ila ikadunguliwa angani. Marekani walizoea anga la Urusi ni uchochoro ukipita juu sana hawana interceptor wala radar za kukuona. Kumbe muda si mrefu Urusi ilikuwa imezindua ground to air missile mpya yenye uwezo ndio wakadondosha ile ndege. Hiyo ilikuwa miaka ya 1961 sijui 1960.
Baadae miaka ya 1980s kuna dogo kutoka nchi jirani hapo aliendesha ndege ndogo kama hizi Cesna akatua Urusi tena Red Square pale kupinga vita baridi.
Hakuna incidence ambayo ndege ya adui iliwahi ingia anga la Marekani, hakuna adui mwenye hizo ndoto za mchana. Ndio maana long range bomber ya Urusi Tu-160 Blackjack ina cruise missiles kama Raduga tangu zamani, wakati long range bombers za Marekani kina B-52, B2B Lancer na B-2 Spirit hazizingatii sana cruise missiles zenyewe zina mabomu zaidi.
Marekani inaweza ona ndege zote za Urusi zikiruka, in incidence of war. Airbases zinajulikana, ndege sio stealth, zenye range kubwa lazima zitoke airbase haziwezi toka kwenye airstrip, satellite za kijeshi za Marekani picha zake hatupati kiraia ni marufuku ila zina uwezo mkubwa wa kuona airbases za Urusi, kama picha za satellite za private companies tunaona na ndege zinaonekana sembuse za jeshi.
Wanajeshi zaidi ya 7000+ ndani ya mwezi mmoja? Huu ni uongo wa kiwango cha juu sana. Afu ulivyo unasema eti marekani wamesema nguvu ya jeshi la urusi limepungua 10%...Marekani amesema.😆😆😆Si nusu. KAma kadirio la 10,000 hivi waliouawa ni sahihi, inaelekea 10% za 150,000 waliokusanyika kabla ya uvamizi. Marekani walisema sasa kwamba wanakadiria nguvu ya Jeshi la Kirusi katika Ukraine limeshuka hadi 90% (bado ya kutisha!).
Shetty ni wew unaekubali ushoga au urusiUkichunguza sana wanaoshabikia ushetani wa putin ni wivu tu dhidi ya us wachunguze wengi hata wazo la kwenda Russia hawana[emoji23]
Sasa RT inamilikiwa na serikali ya Urusi unategemea nini?New York times[emoji3][emoji3][emoji3],nenda na RT ukatuambie estimates zao!