ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
AiseeChanzo ni madem
Yangu macho maana kwa jinsi upepo unavyo enda huwenda Putin akapakatwa.
Maana misaada inayo tolewa na yeye ana sua sua **** liza kazi ita mkost
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vipi Satan?Tsar bomb mnalijua nyie
Wewe jamaa umemeza kaneno kamoja TU. Nenda YouTube uangalie Siraha za Nyuklia alizokuwa Nazo Marekani wakati wa Vita baridi Kabla ya kuziharibu baada ya Mkataba wa Amani na USSR.Tsar bomb mnalijua nyie
😂😂😂😂😂 wataiteka?View attachment 2132020
Haya ndiyo yalikwa makubaliano kuwa leo mji mkuu wa Ukraine mapambano yasiendelee kwa ajili ya kufanya mazungumzo. Ukraine wamekataa. Operation inaanza muda huu kuanzia sasa.
Kwahiyo Hizo Jamming zifanyika wapi? Mapigano yapo Kievu ya Kuviziana,Sasa Hizo Jamming wana Hack RPG ana STINGER MISSILES zinazobebwa Begani?Urusi wamefikisha mitambo ya kujamm internet na electric shield. Mambo yanazidi kuchangamka
Kama hadi makombora yawekwe karibu ndo waogope maana yake ile zana na majigambo ya kua na makombora ya masafa marefu inakua haina maana.Kwa akili zako tu za kuzaliwa unadhani USA yuko tayari kuwekewa silaha nzito nzito na jeshi la kivita la URUSI kwenye nchi jirani kabisa na USA kama Canada na Mexico?
Ndivyo jinsi ilivyo kidunia kwa Urusi pia yuko sahihi kukataa na kujihami ni mojawapo ya kanuni bora sana za kiuongozi kwa nchi yoyote ile duniani.
Mfano USA kutengeneza silaha nzito za maangamizi kama hizo epersonics bombs ilihali anakataza mataifa mengine kutotengeneza hizo silaha, unadhani kwanini anakataza hayo mataifa mengine?
Jiulize na ujijibu mwenyewe.
Lakini mkuu nguvu iliyo tumika Iraq ni kubwa sana kwa sababu usiku wa kwanza wa uvamizi maelfu waliuwa.Haijatumia hata 20% ya nguvu zake. Na huwezi nitajia operation ambayo Marekani iliwahi kutumia 20% ya nguvu zake. Hata WW2 wakati wengine wametumia nguvu zote na wamepitiliza Marekani alikuwa hana hata mapigano kwake. Hapa nafanya comparison kwa sababu umeanzia kwenye kulinganisha Iraq na Ukraine
Tuseme chanzo ni Marekani na washirika wake kutaka kuweka silaha zao za Nuke Ukraine kwa kupitia mgongo wa Ukraine kujiunga na NATO.
Mkataba wa Minsk uliosainiwa sijui miaka mingapi iliweka wazi kwamba NATO haitaendelea kujitanua kuelekea upande wa Urusi hivyo kitendo cha NATO kutaka kupokea Ukraine ni kuvunja mkataba huo.
Hii ndiyo maana Putin amezionya Finland na Sweden nao wakijifanya kutaka kujiunga na NATO watapigwa vibaya.
Hii ikitokea wewe utapata faida gani..naona unaandika kwa bashasha..Mwamba kweli hatabiriki, hata USA amekwisha ingiwa na baridi kutokana intelijensia zake alizopata kuhusu mwamba na mikakati yake.
Muda wowote atamchapa kiherehere yoyote na "Inter Continental Ballistic Missile" yenye "Nuclear War Head". Ndio wajue jamaa yupo serious.
India, Russia, the United States, China, the United Kingdom and France are the only countries that have operational ICBMs.
Nchi zinamiliki ICBM
Achana na Facebook, mimi nashangaa wamepata wapi muda wa kuhesabu maiti?Wamepata wapi mda wa kuingia mpaka Facebook? Kweli hawako serious.
Uongo mtupuWamewaua Warusi 3500 dah[emoji28]
Hakuna video. Hakuna picha ya kusapoti taarifa zao zinazoonyesha hayo yanayofanyika.Wamewaua Warusi 3500 dah