Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
HeheheeeeUsitegemee majibu mkuu kwa
huyo jamaa ndivyo alivyo akibanwa kwa hoja huwa ana kimbia.
Juzi alikuwa anasema eti anasema silaha za Urusi vimeonesha udhaifu mkubwa dhidi ya silaha za kimagharibi nchini Ukraine.
Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi ambazo zime shidwa kufua dafu mbele ya silaha za kiirani huko Yemen kwa miaka 8?
Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi kushindwa kufua dafu mbele ya silaha za Urusi na Iran nchini Syria kwa miaka 10 unaziongeleaje mpaka sasa amekimbia ajanijibu.
Wanakuwa wakali hao,huwa wanatamani hata tuonane live ili warushe ngumi kuthibitisha ubora wa Putin π€£Sasa hivi anasifiwa kwa mabomu ambayo hayajawahi kurushwa popite duniani. Kuna mtu ananiambia limerushwa bomu hatari sana hata marekani hana mfumo wa kulizuia. Akiulizwa kwa hiyo operation imemalizwa na hilo bomu anapandwa hasira.
ila kufreeze foreign reserve hii kitu ni too muchRussia's foreign minister called the freezing of Russia's currency reserves in light of its invasion of Ukraine "thievery" and said the country did not expect that level of sanctions.
Sergey Lavrov spoke to students in Moscow on Wednesday.
According to The New York Times, he said about the West's freezing of Russia's central bank reserves that "nobody who was predicting what sanctions the West would pass could have pictured that. It's just thievery."
~Russia has a foreign reserve of 640bn$
Ee bwana ee, huyu ndio anapandisha bei ya vilainishi. Tumtoeni humuUnadhani nahitaji maelezo yako!? Mimi huwa sijadiliani na wapiga punyeto. Huo ushetani baki nao. Usinitie unajisiView attachment 2160656
Thats the price for invading a country and killing its citizensila kufreeze foreign reserve hii kitu ni too much
Nyamizi naomba maoni yako hapoπππKudhaRiRika! ππππ
Hili neno ni gumu sana kwa baadhi ya watu kulipatia kwenye kuandikaπππππ