Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Paratrooper Lyokha Dmitrichev, born in 1991 from Ivanovo died in Ukraine, left his family and a daughter 2 months old. Well, what the heck? #vsrf #will lose
 
#Kristoforovka , Mykolaiv region, just one shot from a grenade launcher
 
Commander of BMP #102msp foreman Kalyanov Ivan Borisovich, born in 1982 from the Altai Territory died in Ukraine, where he went from someone's anger and hatred
 
Kati ya marekani na Urusi nani ana air defences bora zaidi!? (Weka na evidence) hapo tutajua ni nani ambaye ndege zake zinaweza kuingia kwenye anga la mwenzake!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dmitry Burchik from Novokuznetsk climbed into a foreign country, heroically bled to death and died. That's why a mother will be happy for her only son

 
Mkuu kwa akili yako TZ inaweza fika wanajeshi 40000?. We jamaa watu 14000 unawachukuliaje??
Tafuta rekodi za vita ya Iddi Amin ujue Tanzania ilikuwa na wanajeshi wangapi uone kama hiyo 40,000 ni maajabu. Kuna hotuba Kikwete alikuwa anahutubia diaspora nadhani ni London wakauliza swali kuhusu jeshi tafuta majibu aliyoyatoa. Maana kuamini hutaki sasa nikupe assignment ukatafute majibu mwenyewe
 
Nimeomba kujuzwa kati ya US na RF yupi ana air defences bora zaidi.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well, the deputy head of the engineering troops of the Western Military District, Colonel Nikolai Ovcharenko, was also confirmed (of course, I would not give a “man” for such leadership of entrusted formations, but an “Order of a dumbass”, but the morphs know better)
 
A Ukrainian vulture tractor is trying to drag the corpse of defenseless prey to its nest, but it didn’t happen
 
Zawadi nyingine murua kwa Ukraine....

Video: Russia imetumia makombora ya kuangamizia meli (K-300P Bastion-P anti-ship missiles), kushambulia na kuangamiza bohari ya silaha za Ukraine na vifaa vya kijeshi, ambapo miongoni mwavyo ni silaha walizoletewa Ukraine na mabeberu.

Wachambuzi wa maswala ya silaha wanasema makombora haya matumizi yake hasa huwa ni kushambulia target zilizomo baharini (meli), lakini Russia kayatumia dhidi ya target za nchi kavu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…