Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iran ilivyotrack F-35 ikafanyaje tena. Hii Iran si makamanda wake huwa wanauwawa wakiwa Syria na ndege za Israel zile F-16 ambazo hata sio stealth. Sasa hizo radar zinakuwa wapi. Kwahiyo umechukua maneno ya Deputy CEO kama credible source, basi nami natumia maneno ya Lockheed Martin kwamba F-35 ni stealth
 
Kati ya marekani na Urusi nani ana air defences bora zaidi!? (Weka na evidence) hapo tutajua ni nani ambaye ndege zake zinaweza kuingia kwenye anga la mwenzake!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Urusi ina air defence systems nzuri zaidi dhidi ya jets. Marekani ina missile defense systems nzuri zaidi kina THAAD na Aegis ships za Ticonderoga class na Arleigh Burke. Ukileta chokochoko Marekani analeta hizo meli zake kukuzunguka nje ya maji yako, anaacha THAAD kwake. Hizo MIM Patriot ni basically kwa ajili ya ndege.

Urusi inalazimika iwe na air defence system kwa vile ina ndege kidogo na sio advanced. Marekani ina ndege nyingi zaidi and more powerful. Nimesema hakuna ndege ya Urusi inaweza tia mguu anga la Marekani, kama ipo muitaje na itapita wapi uko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] no wonder kuona unavoambiwa size yako ni nyeto tu... Najikubali binafsi sifaham mengi kuhusu issue za vifaa vya kivita ila kwa hilo hujanidanganya...

Kwanza nikujudge tu kwa kauli au neno moja tu katika maelezo yako... Stealth maana ake "difficult to trace" haina maana ya kua ni "untraceable"...

Hiyo ni F-35 Stealth haijaandikwa F-35 Untraceable... So unakili mwenyewe kua ni "Stealth" yes ni "Difficult to trace" and yet it is "traceable"...
 
JWTZ hadi leo hii hawafiki idadi ya askari 40000.
Kuna sehemu nimesema wako 40,000? Aya ushauliza, vipi umeambiwa wako 14,000 kama ulivyodhani. Je umeambiwa vita ya Iddi Amin tulikuwa na wanajeshi wangapi. Assignment umepata 2/10 rudi ukaulize umalizie
 
Kuna sehemu nimesema wako 40,000? Aya ushauliza, vipi umeambiwa wako 14,000 kama ulivyodhani. Je umeambiwa vita ya Iddi Amin tulikuwa na wanajeshi wangapi. Assignment umepata 2/10 rudi ukaulize umalizie
Ndio maana nimekutoa akili, ulisema hapo kuwa sisi hata tukiishambulia RWANDA kupeleka wanajeshi 14000 ni kidogo ukataka niulizie kuhusu vita ya UGANDA, mzee wewe kilaza, wakati ule wa VITA YA KAGERA, TZ wanajeshi wake walikuwa hawafiki hata 15000, ikalazimika kutumia watoto wa JKT, POLISI, MAGEREZA nk.
Huna unalojua pimbi wewe.
 
Patriot haikutengenezwa kuzuia drones ndogo hizo za Houthi, hata S-300 au S-400 haifanyi kazi hiyo. Unajua hilo kombora la S-400 lina gharama gani na hizo makeshift drones za Houthi zina gharama gani. Kwenye jeshi hutumii silaha ya milioni 200 kuharibu ya milioni 5, bali unatumia kama NLAW au Javelin kupiga kifaru cha thamani maradufu kuzidi hiyo anti tank missile.

Kuna mifumo tofauti ya anti drone, Saudi Arabia hakuwa nayo that time. Baada ya kushambuliwa akainunua na sasa inatokea hivi
 
Wewe ndio pimbi tena jike lenye mimba. Hao JKT na polisi walienda na sare za JKT na polisi vitani?
Kwahiyo kwa uzezeta wako na matope uliyonayo kichwani unaona wanajeshi 15,000 waliokuwepo kabla ya vita, ni wachache kuliko 14,000 uliokuwa unang'ang'ania ni wengi. Wewe ni nguruwe kabisa, soma hapo gongowazi wewe
 
Huna akili, kwako wewe, mtu wa JKT akivaa KOMBATI ya JWTZ ni MWANAJESHI WA JWTZ?? Kama jibu lako ni ndio mbona walipomaliza ile vita hawakuandikishwa JESHINI??
Naendelea kukwambia huna akili kichwani, hivyo kwa akili zako ndogo nchi ikiingia vitani inapelekea wanajeshi wote huko VITANI?? Yaan TZ walipeleka wanajeshi wote huko UGANDA??
Huna akili masta.
 
Kumbe Wamarekani wanna ndege za kupitisha Russia na zikarudi salama?
 
Hakuna mfumo uko 100% kufanya interception. Japo warusi na Wamarekani hujinadi hivyo kuhusu silaha hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…