Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Unaifahamu THAAD?Air defense kaidi zaidi ni za Russia S 300/S 400 na zimeonesha uwezo mkubwa kwenye field siyo Patriot ambazo zimeshindwa kuzuia mashambulizi ya waHouth kule saudia.Kuliko Patriot ambazo hata zilionekana kuwa kituko dhidi ya Scud kule Iraq bora kwa mbali Iron Dome za Israel
Russia kwa sasa wakijadili lolote pale Kremlin wanataja nuclear weapons. Wakisema lolote wanamalizia na nuclear, sasa NATO kupitia Secretary wake imewaambia waziwaziView attachment 2162264
Habarif 35 sijui zinamatatizo gani haipiti mwaka bila kuanguka
***** mpaka muda huu chakula kilichopnda urusi ni sukari tena sio sana
kwamujibu wa profesa musa mtanzania anaye fanya kazi kwenye chuo kimoja huko urusi ambapo jana alihojiwa na dw kiswahili anasem
a
nukuu: "warusi wengi wanaiunga mkono serikali mfano angalia tamasha la juzi pale crime maandamano yaliyo fanyika siku za mwanzo yale yalikuwa madogo ukilinganisha na jumla ya idadi ya warusi wote mimi naona kama hakukuwa na maandamano bali ni kelele"
alisema musa
nimeshaifuatilia na mpaka sechnde hii graph ya thaman ya ruble ipo hiv.Zimetumika njia za kihuni kuishusha thamani pesa ya Russia na Putin kaenda na uhuni huo huo
Kesho itakuwa inatimia mwezi mmoja Tangu Russia iivamie Ukraine na Tangu msafara wa KM 64 uanze safari ila bado haujafika
Ndio kisa cha kujiita TangoUnataka usisimuliwe..........oooh yale yale kwa msaada wa watu wa marekani........
China atakubali raia wake walishwe siasa za kimarekani.The US will allocate up to $150,000 to educate Chinese people on "understanding" American foreign policy.
Call for proposals for programs to strengthen ties between the Chinese and American peoples was announced by the public diplomacy departments of the US mission in the country. RT read the description of the grant.
Priority areas include "increasing diversity, equity, inclusion, and accessibility" and "strengthening understanding of American society and values through education, culture, and the arts."
Galip SV View attachment 2162382
wataalam.mtuelezee statement y jana ya putin kuwa sasa hatakubal kuuza mafuta yake ila alipwe kwa rubble.
huyu mwamba ana plan gan kichwan mana rube naona imeanguka ki exchage rate