Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
wataalam.mtuelezee statement y jana ya putin kuwa sasa hatakubal kuuza mafuta yake ila alipwe kwa rubble.
huyu mwamba ana plan gan kichwan mana rube naona imeanguka ki exchage rate
Huyu jamaa siku hizi kawa mshabiki badala ya kuchambua mambo,yaani kuna muda anaenda nje ya point kisa ushabiki.Kumbe Wamarekani wanna ndege za kupitisha Russia na zikarudi salama?
Unaandika kama umeetolewa ubongo hua nikikaa nikikusoma unavyojiona unaijua Russia ambayo hujawahi hata kufika nasema hiiiiii
nimeshaifuatilia na mpaka sechnde hii graph ya thaman ya ruble ipo hiv.
leo imeanza kupanda na wenye reserve ya ruble leo wameamka na utajiri.
nafikir US atakuja na jibu kali sana kuhusu hii View attachment 2162350