Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaweza kuuza madini kwa Tsh. Jifunze kuhusu Int Trade utaelewa kwann ni dolla na si Tsh.
Endapo urusi atafanikiwa kuuza gesi yake ulaya kwa ruble na saudia akafanikiwa kuuza mafuta yake kwa yuan ni hatari sana kwa usd na kwa america kwa ujumla.

Tuone muda utasemaje. Hizi mambo naona km wakubwa wanacheza chess vile. Kila move naiona kama 'Kete' zinazosukumwa kwa ustadi mkubwa na uangalifu. Putin akifanya move moja anasubiria kuona watareact vipi wakati huo kichwani anazo option kadhaa kama wakimove hivi atareact hivi taabu ni pale wanapomove vile asivyotarajia. US&Co Pia. Wakati wowote game inabadilika aliyekuwa anashinda anapoteza au vice versa. Kosa kidogo unaadhibiwa.

US/NATO vs RUSSIA mwisho wa siku lazima mmoja asande. Haina droo hii game

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acha waendelee na propaganda dhidi ya Russia, huku wanawategemea warusi hao hao😜
 
NATO/US wameanzisha hii vita, na hawataki iishe. Ingeshaisha.
 
Haijatumika inasubiri MTU ajiloge
 
Sasa hivi pro Russia mshakuwa psychologists,vita vimewashinda sasa.
 
Hizo ni jitihada za kujitutumua kwa Russia, hizo options zilishafanyika huko nyuma na zikagoma bila kusahau cha moto walichokutana nacho kutoka Marekani.
 
Ni mwezi mmoja sasa tangu uvamizi uanze,Russia amefedheheshwa sana na Ukraine katika hii vita.

Baada ya hii vita Russia atafutiwe nafasi yake inayomstahili ya kijeshi maana kaonyesha uwezo wa chini mno wa kimedani dhidi ya Ukraine tofauti na alivyodhaniwa na alivyotegemea.

Nawapongeza Wananchi wa Ukraine wakiongozwa na Rais wao Ndugu Zelensky kwa uzalendo na ujasiri wa kuifia nchi yao.

Mwisho nitoe pole kwa raia wa Ukraine wasio na hatia waliojeruhiwa na waliouawa na Jeshi la Putin.
 

Avangard (hypersonic glide vehicle)..kutoka google​

Ndio nyuklia yenyewe??
Sorry kwa sababu unataka kujifunza.
1. Kuweza kabisa unatakiwa ujue missile maana yake.
2. Unatakiwa ujue maana ya warhead.

Baada ya kujifunza hayo utakuja uelewe kwamba missile huwa inabeba warhead. Warheads zinaweza kuwa ni za mlipuko wa kawaida au nuclear.
Sasa avangard ni missile speed yake ni hypersonic. Yaani zaid mara 10 ya speed ya sauti. Au unaweza ukasema 10 mach.

Sasa avangard haiwezi kuwa treced na radar yoyote kutokana na speed yake.
Vilevile avangard inaweza kubeba nuclear warhead.
Kwa kifupi tu ni hivyo.
 
marekani na nato walipigana vita na talban zaid ya miaka na wakapigika kingese

Nayo marekani tuiweke wapi kwenye medani za kivita ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…