LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa mkuu unacho pinga nn na unacho kubali ni kipi?
Maana kwa hoja yako tiyari umesha unga mkono mawazo yangu.
Na ndio maana nikataa hoja yake ya kwamba Urusi ina ogopa kuivamia Ukraine kwa sababu ina ogopa kupingwa na Marekani.

Nilicho taka kumaanisha ni kwamba Marekani hawezi kuweka mamilioni ya raia na uchumi wake rehani eti kwa ajili ya kuitetea Ukraine kwa sababu hana sababu na maslahi ya kufanya hivyo zaidi ya kupeteza.
Huyu[emoji115][emoji115] ndezi bado yupo [emoji1787][emoji1787] ni sawa sawa na kusema kiduku ana ogopa vita
 
Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
 
Back
Top Bottom