NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Tayari watu wapo kyiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumie tuNaogopa wakianza kutumia Nuclear power
Duh hujapata taarifa kumbe.. mpAka Sasa 2 zimeenda na majiZile drone za uturuk zikiwashwa itakuwa kama Ethiopia, mrusi ataomba poo.muache aingize magari kwa pupa nahisi analiwa timing kama ilivyokuwa ethiopia, syria kwa jeneral khalifa, na armenia.
Nani aliwahi shinda vita Afghanistan isipokuwa Genghis KhanMrusi hajawahi pigana vita ya maana akashinda, alipigwa Afghanistan aka kimbia, WW2 alijificha kwenye barafu north lole. Ngoja tuone sasa
Hakuna vita ya tatu ya dunia.Rais Vladmir Putin ameufungua mlango wa vita ambayo itakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi katika siku za usoni. Vita hii hatapigana na Ukraine peke yake bali itaingiliwa na kila anaefungamana na serikali ya ukraine.
Vikwazo vya kiuchumi vinavyoendelea kuwekwa dhidi ya serikali ya Putin vitakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi na huu ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia na itasambaa ulaya yote ya mashariki mpaka mashariki ya kati.
Duh...niseme tu kwamba nadhani uko nyuma Sana na Mambo ya kijeshi na Vita...yaani bomber ibebwe kwenye Nimitz?!?!We jamaa zina beba bombers ambazo hata satellites za urusi haziwezi detect
Bwana asifiweTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Unadhani hawakujua kuwa hakutakuwa na vikwazo? Jamaa walijipanga na mipango yao imechukua zaidi ya miaka kumi...unashangaa nchi za magharibi ndizo zitaathirika na vikwazo...Rais Vladmir Putin ameufungua mlango wa vita ambayo itakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi katika siku za usoni. Vita hii hatapigana na Ukraine peke yake bali itaingiliwa na kila anaefungamana na serikali ya ukraine.
Vikwazo vya kiuchumi vinavyoendelea kuwekwa dhidi ya serikali ya Putin vitakwenda kuyagharimu maisha ya warusi wengi na huu ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia na itasambaa ulaya yote ya mashariki mpaka mashariki ya kati.
Zenji wanamabuyu matamuWe jamaa zina beba bombers ambazo hata satellites za urusi haziwezi detect
huwa ana uraia pacha russia/israel na tayari ameshaukana uraia wa urusi na hufanya hivi mara nyingi pale panakuwa na tafrani ya urusi na nchi za magharibi ila baadae hurudi kuwa mrusiHivi yule tajiri anae imiliki Clabu ya Chelsea Ibramovic yuko wapi na Je ile Club yake wata mnyang'anya au...???
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Watu washamaliza kazi......hizi picha mida yake ni ile asubuhi hadi mida ya mchana hivi.......kwa sasa watu wameshakamilisha kazi ......mwali kapata mumeVita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi hukoView attachment 2129917View attachment 2129916
Mrusi nae ana wayahudi wa kutosha.............abramovic anajua kucheza karata zake.........shida hapa labda ikatokea israel akizinguana na mrusi....japo ni ngumu sana.......huwa ana uraia pacha russia/israel na tayari ameshaukana uraia wa urusi na hufanya hivi mara nyingi pale panakuwa na tafrani ya urusi na nchi za magharibi ila baadae hurudi kuwa mrusi
Sie wa fox news na RT acha tukomae upande huoHii vita acha nikomae nayo kupitia BBC Swahili, Aljazeera bila Dictionary hautoboi