LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Akome kuongozana na marafiki wanafiki huyo ukraine

Putin yupo sahihi na anaitendea haki nchi yake
Putin ameshindwa kuzivamia nchi jirani kama vile Lithuania, Latvia na Estonia ambazo tayari zishajiunga NATO miaka mingi na ni hatari zaidi kwa usalama wake maana nchi hizo zinapeana mpaka na nchi yake, tena zina majeshi na silaha za NATO, yeye anaenda kuivamia Ukraine ambayo bado haijajiunga rasmi NATO, haina jeshi wala silaha za NATO ambazo mtu ungesema ni hatari kwa usalama wa nchi yake. Lakini kinachofanya asiziguse nchi hizo ambazo tayari ni wanachama wa NATO kila mtu anakijua, kwamba anaweza kujikuta amekuwa mkimbizi katika nchi jirani ya China au Iran. Maana hao jamaa ukimgusa mwanachama wao kamili mmoja unakua umechokoza gunia la nyuki.
 
Vita ni Hatari sana

WhatsApp Image 2022-02-25 at 23.30.01.jpeg


WhatsApp Image 2022-02-25 at 13.31.25.jpeg


WhatsApp Image 2022-02-25 at 13.30.31.jpeg


Gari la kijeshi.jpeg
 
Haya sasa NATO hao wanaingia Astonia (NATO's member country) nchi inayopakana na Urusi. Mkuu wa NATO amesema Urusi ikiishambulia tu mwanachama yeyote basi wao hawatasita kuingia rasmi kwenye vita maana vikosi vyote viko standyby
Natamani askari mlevi wa Urusi arushe risasi kweye uelekeo wa majeshi ya Nato..
 
Vita Vikubwa sana na vyenye kuleta hasara na vifo vya watu wengi kutokea.
 

Attachments

  • MR PUTIN AND MR NIDEN.mp4
    743.3 KB
  • WhatsApp Video 2022-02-25 at 13.28.37.mp4
    461.9 KB
  • MAANDAMANO KUPINGA VITA UKRAINE.mp4
    10.1 MB
  • HATARI SANA.mp4
    613.4 KB
  • ANGA YA UKRAINE HIYO.mp4
    1.2 MB
Duh....Nadhani hujui uhusiano Kati ya Russia na Jews...nakushsuri usome Tena Mambo ya ndani kuhusu Jews...hivi unajua kuwa Roman Abramovich wa Chelsea ana asili ya Uyshudi?! Na inawezekana pia hujui kuwa Rais Zelensky wa Ukraine ana asili ya Uyahudi ...huko Russia wayahudi ni wengi Sana na wanna nafasi nyeti...na pia huko Ukraine...
Sema basi na Putin ni myahudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Russia hadi sasa siku ya 3 hajawa na clear dominance over Ukraine airspace.Kuna Ukranian pilot warusi wanamuita "The Ghost of Kyiv"hadi sasa ameshadungua jets 4 za Russia kwenye dogfight..
Unaweza ku google "the ghost of Kyiv"utaona habari zake.
 
Duh....Nadhani hujui uhusiano Kati ya Russia na Jews...nakushsuri usome Tena Mambo ya ndani kuhusu Jews...hivi unajua kuwa Roman Abramovich wa Chelsea ana asili ya Uyshudi?! Na inawezekana pia hujui kuwa Rais Zelensky wa Ukraine ana asili ya Uyahudi ...huko Russia wayahudi ni wengi Sana na wanna nafasi nyeti...na pia huko Ukraine...
Halafu hata vinasaba vyao vikichunguzwa havionyeshi branch ya pale Mashariki ya kati hao ni maslav tu.

Roman Abramovich aliomba uraia wa Israel na akapewa kwa sababu ya pesa zake.

Ashkenazi jews wengi wanaclaim Jews lakini myahudi hakuwahi kuwa Mzungu.
 
Hao NATO hawana cha kumfanya mrusi anasilaha Kali kushinda wao.mrusi shida yake hataki waje mpka Ukraine.Urusi anafanya yake na hao mabeberu hawana cha kufanya.
unaposema silaha kali unakusudia nini? kwamba NATO wana bunduki zisizoweza toboa ngozi ya askari wa Urusi? 😁😁
 
Mkuu mbona unaniangusha ?

Kwa uwelewa wako kwenye masuala ya kijeshi na kimataifa sikutegemea kama ungekuwa una toa hoja dhaifu namna hii.

Hivi mkuu linchi likubwa kama Ukraine kutekwa ndani ya siku mbili ww unaiona nika kazi ndogo?

Marekani na washirika wake walitumia miezi kuingusha Iraq lakini Urusi ni ndani ya masaa 48 wamesha ufikia mji mkuu wa Ukraine, bado tu mkuu hujaona nguvu ya Urusi.
Alafu kingine nilicho gundua kwenye vita hivi Urusi hautumii nguvu kubwa kivile hata makombora anayo tumia ni ya kiwango cha kati na ndio maana hata vifo vya raia sio vingi
Urusi ngekuwa inatumia nguvu zake kisawasawa sasa hivi tungekuwa tunaongelea vifo vya maelfu kwa maelfu ya watu.
Shabiki wa kirusi
 
wakati china akiendelea na initiative ya belt and road hasa kwe kuunganisha china na ulaya kupitia eneo la eurasia urusi yy anaimarisha udhibiti wake kwenye route muhimu, kuna mchezo ambao urusi inaucheza ukraine, belarus na kazakhstan ingawa inawatuhumu wamagharibi km ilivyokawaida ila kuna mlengwa mwingine....
 
Saa w
Yaani ukiangalia BBC, Al Jazeera na Sky News ni ujinga na upumbavu mtupu...yaani wao ni kuinesha mipicha ya kinachodaiwa ni majengo ya raia yaliyoharibiwa na makombora ya Russia..Mara waoneshe raia wanaokimbia na kuwahoji raia kuhusu kinachoitwa ubaya wa Putin...Raia wanaoiunga mkono Russia hawahojiwi...halafu mipicha mingi inarudiwa rudiwa ya tangu..
Ni propaganda za kijinga kabisa..
Very biased news reporting...
Stupid guys....ni propaganda tupu...news zote...
Kama ni propaganda kwanini na wewe usianZishe chombo chako cha habari ili ulete habari za kweli?! Au kama Vp waombe tbccm waende wakatuletee habari zenye mlengo wa kusupport Russia maana Putin na ccm hawana tofauti kwenye issue ya ukandamizaji
 
Vyombo mbalimbali vimeripori kuwa Majeshi ya Urusi yamekaribia mji Mkuu wa Ukraine
Russia hadi sasa siku ya 3 hajawa na clear dominance over Ukraine airspace.Kuna Ukranian pilot warusi wanamuita "The Ghost of Kyiv"hadi sasa ameshadungua jets 4 za Russia kwenye dogfight..
Unaweza ku google "the ghost of Kyiv"utaona habari zake.
 
So unatak tubebe propaganda za mrussi?cheki vijan wa putin wanavyo uwa huko Ukraine.View attachment 2131374
Vita ni vita mzee! Urusi nae atapoteza askari wengi tu kabla ya kufikia malengo yake ya kuiteka Ukraine.
Hii ni kawaida kwenye medani za kivita.
Hata Tz ilipoteza askari wengi tu kabla ya kuingia na kuteka Kampala kwenye vita ya Kagera
 
Back
Top Bottom