Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Wa kwetu, wamegeuka wazalendo wa CCM sio taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda iko juu kwa mbege!Ufaransa ipo juu sn
Kaenda kinyume na UN Charter kwa kufanya vamizi. UN Charter inasema sovereignity ya kila nchi iheshimiwe na ilindwe. Vamizi alofanya Putin ni kama lile alofanya Nyerere huku Zanzibar. Tofauti watu wa Ukraine wamepewa silaha kwa hiyo watalipinga vamizi. Zanzibar tulikuwa hatuna silaha kwa hiyo vamizi la Nyerere lilifanikiwa.Embu twende pole pole.
Putin kosa lake liko wapi?
Patriotic.He loved his country watu wanapenda nchi zao freedom ni worth fighting forView attachment 2131744![]()
Hero Ukrainian soldier 'blows himself up on bridge' to stop Russians crossing
A HERO Ukrainian soldier blew himself up to destroy a bridge and stop Russian forces from storming in from Crimea. Generals hailed the sacrifice of Vitaly Skakun Volodymyrovych for halting a column…www.thesun.co.uk
900 Russia soldiers walikufa alivyojilipuaView attachment 2131744![]()
Hero Ukrainian soldier 'blows himself up on bridge' to stop Russians crossing
A HERO Ukrainian soldier blew himself up to destroy a bridge and stop Russian forces from storming in from Crimea. Generals hailed the sacrifice of Vitaly Skakun Volodymyrovych for halting a column…www.thesun.co.uk
Wenzetu wakimaliza shule kabla ya kuingia chuo ni LAZIMA wapitie jeshini, hivyo kwa mwananchi was kawaida kukabidhiwa silaha ni sawa tu coz wana mafunzo ya kutosha kabisa.Kitendo Cha Raisi wa Ukraine kusambaza Siraha kwa Raia tayari hiyo nchi haitawaliki Tena. Hiyo ni Somalia Mpya kabisa,Marekani alikimbia Somalia baada ya Kuona nyomi ya Raia inakuja na AK-47. Kufanya Uchunguzi akagundua Kila Nyumba moja Mji wa Mogadishu ina RPG ya Kutungulia Ndege,hapo akaona hii Vita haiwezekani Tena.
Tatizo lililopo hapa media za West ndio zimedominate sana kwa hio mtu kama wewe ni ngumu sana kupata ukweli.Kaenda kinyume na UN Charter kwa kufanya vamizi. UN Charter inasema sovereignity ya kila nchi iheshimiwe na ilindwe. Vamizi alofanya Putin ni kama lile alofanya Nyerere huku Zanzibar. Tofauti watu wa Ukraine wamepewa silaha kwa hiyo watalipinga vamizi. Zanzibar tulikuwa hatuna silaha kwa hiyo vamizi la Nyerere lilifanikiwa.
mtu anazungumzia international affair utafikiri ubishi wa simba na yanga mwenye uwezo wa kuongea sauti kubwa ni mshindiAliye anzisha shule za kata amelisababishia taifa hili makanga makubwa yatakayo dumu kwa miaka mingi sana
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Bwasheee!😂😂 hawa vijana. wanashinda cnnLabda iko juu kwa mbege!
Inatoka Korona inaingia Masase....
Walikuwa na kampeni ya Asad out. Mrusi akatia timu wakachemsha, sasa unafikili wataweza Ukraine ambapo pale mrusi ni kama nyumbani kwake?Tayari macron ameamua kumsaidia Ukraine silaha za viata. Marekani nayo tayari imeingia mzigoni baadaya ya kumdhoofisha kiuchumi. Jamaa walikuwa wanasubili wanamwangalia Putin ana silaha gani Sansa wamemsoma tayri hapa Ni patamu Sana.
Mmarikani alivyo mjanja kahakikisha ana coordinate nchi marafiki wote na putini amejikuta yupo mtu katib china ameshamruka tayari. Sasa hapo ndo patamu
WalikimbiaWalikuwa na kampeni ya Asad out. Mrusi akatia timu wakachemsha, sasa unafikili wataweza Ukraine ambapo pale mrusi ni kama nyumbani kwake?
ICMB ndio kwanza lina vumbi, tunataka kutest kwenda bara jengineHuu mtambo umeonekana usiku huu huu katika jiji la moscow
View attachment 2131357
Wataalam wa kupiga ngumi matofali... afu wanakuja kudakwa na mapolisi wa divishen foo, wanateswa na kukubali kuwa mashahidi wa mchongoWa kwetu, wamegeuka wazalendo wa CCM sio taifa.