Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kama huamini basi. Ila mwisho itajulikana. Ipi ni taarifa ya kweli na ipi ni ya uongo.😂😂😂😂😂 wataiteka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huamini basi. Ila mwisho itajulikana. Ipi ni taarifa ya kweli na ipi ni ya uongo.😂😂😂😂😂 wataiteka?
😂Achana na Facebook, mimi nashangaa wamepata wapi muda wa kuhesabu maiti?
Yule jamaa si alikuwaga comedian kama Kingwendu yule, na nyie mnamuamini[emoji28]Hakuna video. Hakuna picha ya kusapoti taarifa zao zinazoonyesha hayo yanayofanyika.
Mbona leo walivyowakamata wanajeshi wa Chechen 4 kuwatoa ndani ya gari na kuwapiga risasi na kuwaua wameonyesha video yao. Chechen walitoka jana jeshi la askari 1000. Leo 4 wameuuliwa tena muda huu. Iweje hizo za Urusi washindwe kuonyesha video hao askari waliyo waua kwa kiasi hicho wanachokisema?
Ukraine leo asubuhi wamesema Llyushin ndege ya Urusi yenye uwezo wa kubeba wanajeshi 200. Lakini mpaka sasa hivi hakuna picha, hakuna video.
Jana asubuhi ikatangazwa wamelipua ndege SU-27 ya Mrusi kumbe wametungua ndege ya kwao. Kucheki engine ni ndege ya kwao.
Zelensky sasa huko twitter anadai meli ya kivita ya Turkey imeizuia meli ya kivita ya Urusi kupita black sea. Lakini mamlaka ya Turkey kwa haraka imejibu muda huu yaani sasa hivi kuwa hiyo taarifa ni ya uongo.
View attachment 2132037
Ukraine kwa sasa hana airforce. Ukraine kwa sasa hana air defensive system. Ukraine hana drone. Ukraine hao hao wameua wanajeshi 3500 wa Urusi kwa siku 2. Amewaua kwa nini? Kwa vifaru?
Ukraine wanafanya propaganda nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii ila siwalaumu kwani ni jambo zuri hususani nyakati za vita. Unabusti morali ya raia na wapambanaji. Ni psychological warfare. Ni hizi habari Warusi wakizisoma zinawachanganya maandamano yanazidi Urusi na anapata pressure ndani ya nchi kutoka kwa raia. Hapa wamempiga bao Putin.
Plan ya kushughulikia kwa yeyote atakaye ingilia demilitarization na denazification operation huko Ukraine ipo tayari!!! Sidhani kama Russia alikuwa anafanya utani katika hilo. Sidhani.Kikao cha jana jioni cha NATO plus Finland na Norway kuna siri itakuwa pale imeamuliwa. Naanza kuona response ya kina Biden haikuwa mbaya sana kama nilivyoona mwanzo. Maybe ni tunakusubiri upige wee dunia ikuone, alafu tukija utakosa visingizio vya kwamba sisi ndio tulianza
😂😂😂 haya mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ujue humu kuna wapumbavu sana. Eti URUSI imedanganywa na wameshaingia kwenye Mtago. Yaan mtu anayejua haya anaishi kwa MTOGOLE hana hata Jeans ya 50k mwilini. Amesoma shule ya kata na hata hajawahi kuiona hata Beaker ikiwa maabara. URUSI wana kitengo cha usalama KGB na wanauwezo wa kuhack hata uchaguzi wa USA afu useme wameingia vitani bila ANALYSIS this is JOKE.
Data za kupikwa kumbe zipo mpaka Ulaya[emoji12][emoji23]
Hiyo bongo movie bado yamsumbua PutinPata pacha raisi joti gavana twaha kiduku. Hawa ukraine ni nchi au bongo movie.
Ndipo zilipoanziaData za kupikwa kumbe zipo mpaka Ulaya[emoji12]
Hawana haja ya kuingia Ukraine, wanatoa silaha tu na operation ya kiini macho ya denazification inakwama. Na anayeongoza kuiua ni Myahudi Zelensky ambaye mababu zake waliuwawa na hao NazisPlan ya kushughulikia kwa yeyote atakaye ingilia demilitarization na denazification operation huko Ukraine ipo tayari!!! Sidhani kama Russia alikuwa anafanya utani katika hilo. Sidhani.
Mbona hujaitaja north Korea?China,the United States, Russia, France, India na Israel
Nchi zinamiliki anti-ballistic missile
Yaani source ya info zako Ni kutoka kwa waNigeria ?Jamani hii ni kweli? Asee kama ni kweli russia hapana adhibiitiwe mapema hii ni htrView attachment 2131976
warusi wa mchambawima, mwembetogwa, matombo, mwembekiuno, kwa mpalange wana hasira hao na wanacomment kwa jazba kama babu yao Putin😂😂😂 haya mkuu.
Russia ilikuwa na sauti enzi za USSR sasa hivi hana loloteTuseme chanzo ni Marekani na washirika wake kutaka kuweka silaha zao za Nuke Ukraine kwa kupitia mgongo wa Ukraine kujiunga na NATO.
Mkataba wa Minsk uliosainiwa sijui miaka mingapi iliweka wazi kwamba NATO haitaendelea kujitanua kuelekea upande wa Urusi hivyo kitendo cha NATO kutaka kupokea Ukraine ni kuvunja mkataba huo.
Hii ndiyo maana Putin amezionya Finland na Sweden nao wakijifanya kutaka kujiunga na NATO watapigwa vibaya.
Noma sanaNdipo zilipoanzia