LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
trust me, naipenda USA, nimeshafika USA na mimi nimefaidika sana na wamagaribi, lakini nawafahamu walivyo, namna wanavyopenda kuwatumia wengine ili wafaidike. na ukrain inatumiwa. huu ndio ukweli. na ukrain inaumia, raia wanaumia bila sababu za msingi. mtu anayekwambia upiganie vita nyumbani kwako atakusaidia, halafu akiona unapigwa anakuletea gari ati kimbia uache nyumba yako magofu, haji kukusaidia, huyo anakutumia. na anatesa familia yako bila sababu. naipenda sana ukrain, kwanza kwasababu mimi ni pro-israel, na kule mfano Odesa kuna wayahudi wengi sana, asilimia kubwa ya wayahudi ukrain wanaishi odesa. ukrain ndio eneo ambao wayahudi walikimbilia kama haven wakati wa holocost, pamoja na maeneo mengine ussr kipindi hicho. juzi pm wa israel aliomba wakati wa vita putin amruhusu kuwachukua wayahudi, na kweli wengi wamekimbilia israel tayari. ila wapo waliobaki wanaumia bila sababu na wanalazimishwa kupigana, fikiria rais anasimama anasema hata vijana kati ya 16 hadi 18 hakuna kutoroka nchi, wabaki wapigane? akili au matope unalazimishwa kupigana? hiki ndio kinanifanya nimwone comedian hana maana.
Raia wakiondoka na yeye ana jeshi dogo nani atapigana zaidi ya wanaume wa nchi?
Wewe utachukua maamuzi gani unavamiwa upo na vijana wako watatu na walinzi wawili ambao unaona wanazidiwa? Utawaambia kajifungieni na mama yenu?
 
ati atasaidiwa kuinuka? umejenga nyumba yako, umejenga madaraja, umejiimarisha kiuchumi, alafu jirani anakushauri pigana na mtu akiharibu nyumba yako nitakusaidia ujenge nyingine? kumbe anajua nitapigwa, anachotaka kwangu nini sasa? raia watakaokufa watafufuka? wamagaribi wanajua fika kuwa at the end of the day ukrain itashindwa na itakuwa magofu na watampa hela aanze kujenga. raia na wanajeshi waliokufa watafufuka? hadi ujenge miundombinu ni leo? wawekezaji watakaokuwa wamekimbia utawarudisha? watakuwa wana uhakika kuwa russia hatarudi tena soon? unaona namna wamagaribi wanavyomtumia kama condom ukrain ili kutest uwezo wa russia kwa faida yao? do you think this is fair?
Kumbuka hajashauriwa kupigana, ila kaahidiwa atasaidiwa akipigana. Yeye ana msimamo wake kama nchi. Hata Russia ana nchi zinazompa ahadi anapoamua kupigana.

Kwani Eukraine si ni nchi yenye misimamo yake? Au ni nchi inayotakiwa kufuata matakwa ya Russia?
 
Wakishamdaka huyo kibaraka rais mwizi wa Ukraine wamsafirishe hadi Moscow wakamuhukumu huko ikiwezekana anyongwe hadharani kwa makosa ya

Kuwageuza raia ngao za vita kinyume na sheria za kimataifa

Kuibia nchi yake zaidi ya dola bilioni 5

Kusababisha vita vya Ukraine kwasababu ya ushenzi wake

Kutaka kuiuza Ukraine kwa mabeberu kwa kisingizio cha Nato

Kuipaka matope Russia na kuuchafua ujamaa kimataifa

Mimi naona hata wakimtia viboko live itakua ni fundisho kwa wanazi wengine
Breaking news North Korea warusha makombora .usimshabikie Huyo shetani putin ,ona Sasa wanaanza vita ya dunia .
 
Kumbuka hajashauriwa kupigana, ila kaahidiwa atasaidiwa akipigana. Yeye ana msimamo wake kama nchi. Hata Russia ana nchi zinazompa ahadi kuhusu hii vita.

Kwani Eukraine si ni nchi yenye misimamo yake? Au ni nchi inayotakiwa kufuata matakwa ya Russia?
point ni kwamba, wamagharibi wanajua kabisa ukrain mwisho wa siku atapigwa na wamejiandaa kumsaidia kujenga upya nchi. sasa, kama wanajua ukrain hatashinda kwanini wanamtumia kupigana na urusi? raia wake wanakufa wakati raia wa wamagaribi hawafi, wanajeshi wake wanakufa wakati wanajeshi wa magharibi hawafi, kinu cha nuklia kimeshatwaliwa na urusi wakati vinu vya nuke vya wamagharibi vipo salama. lengo la urusi ni kusambaratisha uwezo wa kijeshi na tayari ameharibu zaidi ya vituo vya jesho 200 hadi sasa. ungekuwa wewe ni ukrain ungekubali huu uchizi? au kwasababu unajua at the end of the day utashindwa tu vita bora ufupishe maelezo kwa kukaa mezani mjadili kwa faida ya raia wako na miundombinu yako? sasaivi kuna mwekezaji gani atawekeza ukrain ambako man power imekimbilia nchi zingine, na hana uhakika kama urusi itarudi tena anytime soon? uchumi wao labda tuseme walijikita zaidi kwenye kilimio cha ngano, wanalima nini sasa? au wanapokimbia wamekimbia pamoja na magunia ya ngano? na wamagaribi watakaposaidia kuijenga baada ya kuwa magofu, je? watakuwa wanagawa pesa mifukoni? au mtu hadi apate kazi za kuwa kibarua wa ujenzi ndio azipate izo pesa wakati pengine alikuwa msomi wa white colour job na alikuwa na biashara zake zinaenda vizuri. biashara za watu zitasimamaje? watapewa mitaji? ukrain wameshaumia sana, hata kama kuna ahadi ya kuijenga ni kujenga tu ila raia wanaanza chini kabisa, na wengine wengi wameshakufa ambao hawatafufua. na urusi ameshakalia vituo vyao vya kijeshi walichobaki wao ni kuhamia mitaani kurushiana risasi, jambo ambalo hatawapa tena nafasi kujijenga kijeshi. why all this wakati kulikuwa na nafasi kuyaepuka?
 
MIMI NIMEFURAHI KUGUNDUA KWAMBA WA ISRAEL WAPO KATIKA KILA NCHI ZA KIZUNGU NIKAJIRIDHISHA KWAMBA WAISRAEL KUMBE NI WAZUNGU WA KAWAIDA HAWA TUWAONAO KOTE. NA KUMBE NI WAZUNGU WANAOJIKUSANYA KUPORA ENEO SEHEMU WANAITWA WAISRAEL KAMA KIVULI. MAANA KILA NKITIRIRIKA WAPO TU TU TU . VITA IKIISHA NTAJITAHIDI KUWATAFUTA ORIGINAL. KUMBE WAISRAEL NI WAZUNGUUUUUU.
 
Jamani jamani!! Nikikumbuka hapa tulivyowapa kichwa maulamaa wa sijui panaitwa pashnjir dhidi ya wanamigambo hatari wa taleban nachoka kabisa mwisho wa siku kila mtu akatafuta uchochoro wake anywe uji wa mtama, naona kabisa yatajirudia kwa hao waukraine basi tu tunajitoa betri
 
Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.

Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.

Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.

Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.

Vita sio lelemama aisee
....bado naendelea kukusikiliza Mkuu.
 
MIMI NIMEFURAHI KUGUNDUA KWAMBA WA ISRAEL WAPO KATIKA KILA NCHI ZA KIZUNGU NIKAJIRIDHISHA KWAMBA WAISRAEL KUMBE NI WAZUNGU WA KAWAIDA HAWA TUWAONAO KOTE. NA KUMBE NI WAZUNGU WANAOJIKUSANYA KUPORA ENEO SEHEMU WANAITWA WAISRAEL KAMA KIVULI. MAANA KILA NKITIRIRIKA WAPO TU TU TU . VITA IKIISHA NTAJITAHIDI KUWATAFUTA ORIGINAL. KUMBE WAISRAEL NI WAZUNGUUUUUU.
my friend, historia ya wayahudi ni kwamba, baada ya kumuasi Mungu, aliwafukuzia babel utumwani, walipata mateso miaka 400, wengi wakasambaa hadi ulaya. walikuwepo ujerumani wengi sana, polan na na nchi zingine za magharibi. wakati wa holocost, wengi sana walikimbilia USSR ndio wakaseto ukraine na nchi zingine za USSR ya zamani. wengi zaidi waliona safe haven ni marekani, na hadi sasa kuna wayahudi karibia 10m marekani, na huwa wanakuja kabisa kusev kwenye jeshi la israel miezi sita, na ni raia wa marekani. wengi pia wapo canada, australia, south africa kidogo, na nchi za ulaya kila nchi ukienda kuna masinagogi ya kiyahudi kabisa.

kwa lineage yao, Wayahudi huwa wanamtambua myahudi mzawa kama amezaliwa na Mwanamke wa kiyahudi, pamoja na kwamba hata wale waliozaliwa na wanaume wa kiyahudi huwa wayahudi. nimefanikiwa kufika kwenye masinagogi yao nchi kadhaa, na kwa historia yao hawa jamaa wanaishi kijamaa kama walivyo wahindi, wanapenda kujitenga na kusaidiana wao kwa wao. maeneo ya masinagogi yao huwa pia ni kituo cha kusaidiana kibiashar ana kuhamasishana maendeleo, ndio maana tangu kipindi cha hitler walikuwa ndio wameshika uchumi wa ujerumani, sasaivi wameshika uchumi wa dunia, uchumi wa marekani, na watu ambao hata kifamilia huwa wanahamasisha sana watoto wao wasome na hawasomi masomo ya kijinga bali yale yanayowafanya wawe na power. wayahudi wengi utawakuta wamesoma biashara, udaktari na uinjinia. huwezi kuta wanasomea siasa na ujinga ujinga mwingine huo, jambo linalowafanya washike kila sekta kwasababu wanakuwa na pesa na wanainuana wao kwa wao.

ukiwaangalia, wengine wamechanganya na uzungu blond sana, ni kwasababu wameinterbreed na wazungu wa ulaya. kuna wengine walisetle Yeman wamechanganya na wayemen, kuna wayahudi wengine walikimbilia India, wamechanganya na wahindi, wapo hadi leo india. wachache wale wa sheba walizaliana na malkia wa sheba na suleman, walikuwepo ethiopia. hivyo usiangalie myahudi ukaona mweupe ukasema ni mzungu, hapana, ni myahudi na wameshapima hadi DNA zinaendana na huwa wanapima mara kwa mara. pia, wapo wayahudi ambao ni coverts, waliconvert tangu enzi hizo toka kwa wagiriki, wakapewa hadhi ya kuwa Jews kwasababu wanaprofess dini ya judism, wote hawa ni wayahudi.

usichukulie kigezo kwamba unawaone wengine kama blond ukasema hao wamevamia nchi za watu na wale waliopo israel kwamba sio wayahudi halisi, hapana, ni wayahudi halisi mbegu ya ibrahim isaka na yakobo. ila hata wewe mkurya ukichanganya damu na mrangi au mnyaturu usishangae watoto wako wakatoka na sura za kinyaturu au kirangi, lakini huwezi sema sio kabila lako kwa muonekano.

worse enough, hao unaowatetea wapalestina, ukipima wote utakutana na damu za wajordan, wamisri na walebanon. wafilist wengi walishakufaga.
 
Baada ya Urusi kuchezea intaneti huko Ukraine sasa Elon Musk ameruhusu huduma yake ya intaneti kupitia satellite(starling) Kwa wananchi WA Ukraine.

US,EU, Canada na UK wamekubaliana kuziondoa baadhi ya bank za Russia kwenye huduma ya SWIFT. Pia wamefreeze assets za bank kuku ya Urusi.
Screenshot_2022-02-27-03-10-03-597_com.android.chrome.jpg
 
my friend, historia ya wayahudi ni kwamba, baada ya kumuasi Mungu, aliwafukuzia babel utumwani, walipata mateso miaka 400, wengi wakasambaa hadi ulaya. walikuwepo ujerumani wengi sana, polan na na nchi zingine za magharibi. wakati wa holocost, wengi sana walikimbilia USSR ndio wakaseto ukraine na nchi zingine za USSR ya zamani. wengi zaidi waliona safe haven ni marekani, na hadi sasa kuna wayahudi karibia 10m marekani, na huwa wanakuja kabisa kusev kwenye jeshi la israel miezi sita, na ni raia wa marekani. wengi pia wapo canada, australia, south africa kidogo, na nchi za ulaya kila nchi ukienda kuna masinagogi ya kiyahudi kabisa.

kwa lineage yao, Wayahudi huwa wanamtambua myahudi mzawa kama amezaliwa na Mwanamke wa kiyahudi, pamoja na kwamba hata wale waliozaliwa na wanaume wa kiyahudi huwa wayahudi. nimefanikiwa kufika kwenye masinagogi yao nchi kadhaa, na kwa historia yao hawa jamaa wanaishi kijamaa kama walivyo wahindi, wanapenda kujitenga na kusaidiana wao kwa wao. maeneo ya masinagogi yao huwa pia ni kituo cha kusaidiana kibiashar ana kuhamasishana maendeleo, ndio maana tangu kipindi cha hitler walikuwa ndio wameshika uchumi wa ujerumani, sasaivi wameshika uchumi wa dunia, uchumi wa marekani, na watu ambao hata kifamilia huwa wanahamasisha sana watoto wao wasome na hawasomi masomo ya kijinga bali yale yanayowafanya wawe na power. wayahudi wengi utawakuta wamesoma biashara, udaktari na uinjinia. huwezi kuta wanasomea siasa na ujinga ujinga mwingine huo, jambo linalowafanya washike kila sekta kwasababu wanakuwa na pesa na wanainuana wao kwa wao.

ukiwaangalia, wengine wamechanganya na uzungu blond sana, ni kwasababu wameinterbreed na wazungu wa ulaya. kuna wengine walisetle Yeman wamechanganya na wayemen, kuna wayahudi wengine walikimbilia India, wamechanganya na wahindi, wapo hadi leo india. wachache wale wa sheba walizaliana na malkia wa sheba na suleman, walikuwepo ethiopia. hivyo usiangalie myahudi ukaona mweupe ukasema ni mzungu, hapana, ni myahudi na wameshapima hadi DNA zinaendana na huwa wanapima mara kwa mara. pia, wapo wayahudi ambao ni coverts, waliconvert tangu enzi hizo toka kwa wagiriki, wakapewa hadhi ya kuwa Jews kwasababu wanaprofess dini ya judism, wote hawa ni wayahudi.

usichukulie kigezo kwamba unawaone wengine kama blond ukasema hao wamevamia nchi za watu na wale waliopo israel kwamba sio wayahudi halisi, hapana, ni wayahudi halisi mbegu ya ibrahim isaka na yakobo. ila hata wewe mkurya ukichanganya damu na mrangi au mnyaturu usishangae watoto wako wakatoka na sura za kinyaturu au kirangi, lakini huwezi sema sio kabila lako kwa muonekano.
Nakuelewa sana mkuu ila nahisi kuna watu wanasafiria hii nyota ya uyahudi.
 
wapo ila ni wachache, na akigundulika huwa anatengwa. trust me, kati ya watu wanaofuatilia lieaneage yao kiuhakika hata wakikaa miaka nenda rudi, wayahudi ni namba moja. hadi leo wengi wanajijua kuwa wametokea kabila gani, la Benjamin, Yuda, Dani au wengine. hii ni kwasababu kwao kuwa myahudi ni ufahari mkubwa sana, hasa ukiwa myahudi mwanaume. ninao marafiki wengi tu wayahudi wa kimarekani, na nimeshaingia hadi kwenye sinagogi. nawajua mno. na hakuna myahudi masikini, wanajua sana kupambana na kusaidiana.
 
point ni kwamba, wamagharibi wanajua kabisa ukrain mwisho wa siku atapigwa na wamejiandaa kumsaidia kujenga upya nchi. sasa, kama wanajua ukrain hatashinda kwanini wanamtumia kupigana na urusi? raia wake wanakufa wakati raia wa wamagaribi hawafi, wanajeshi wake wanakufa wakati wanajeshi wa magharibi hawafi, kinu cha nuklia kimeshatwaliwa na urusi wakati vinu vya nuke vya wamagharibi vipo salama. lengo la urusi ni kusambaratisha uwezo wa kijeshi na tayari ameharibu zaidi ya vituo vya jesho 200 hadi sasa. ungekuwa wewe ni ukrain ungekubali huu uchizi? au kwasababu unajua at the end of the day utashindwa tu vita bora ufupishe maelezo kwa kukaa mezani mjadili kwa faida ya raia wako na miundombinu yako? sasaivi kuna mwekezaji gani atawekeza ukrain ambako man power imekimbilia nchi zingine, na hana uhakika kama urusi itarudi tena anytime soon? uchumi wao labda tuseme walijikita zaidi kwenye kilimio cha ngano, wanalima nini sasa? au wanapokimbia wamekimbia pamoja na magunia ya ngano? na wamagaribi watakaposaidia kuijenga baada ya kuwa magofu, je? watakuwa wanagawa pesa mifukoni? au mtu hadi apate kazi za kuwa kibarua wa ujenzi ndio azipate izo pesa wakati pengine alikuwa msomi wa white colour job na alikuwa na biashara zake zinaenda vizuri. biashara za watu zitasimamaje? watapewa mitaji? ukrain wameshaumia sana, hata kama kuna ahadi ya kuijenga ni kujenga tu ila raia wanaanza chini kabisa, na wengine wengi wameshakufa ambao hawatafufua. na urusi ameshakalia vituo vyao vya kijeshi walichobaki wao ni kuhamia mitaani kurushiana risasi, jambo ambalo hatawapa tena nafasi kujijenga kijeshi. why all this wakati kulikuwa na nafasi kuyaepuka?
why all this wakati kulikuwa na nafasi kuyaepuka?
Kuyaepuka kwa kufuata matakwa ya Russia ambayo si matakwa ya Eukraine? Hapa swali linakuja, Eukraine ni nchi inayotakiwa kufuata matakwa ya Russia tu? Au ina misimamo yake?
 
kama rais, msimamo wowote unaouchukua unatakiwa kuupima kuona kama utaumiza raia wako au la. kujifanya yeye ni mjasiri wakati raia wanaumia kwasababu ya maamuzi yake sio busara. Ukrain ni nchi huru yenye maamuzi yake lakini kwenye kuamua ni busara kuamua kwa kupima mizani watoto wako wasiume au kufa. wakifa huwezi kuwafufua. na wanaweza kufa pasi na sababu ya msingi, unaingia vitani ukijua utashindwa tu, na unayo nafasi kuzuia, kwanini usichukue hatua mahsusi?
 
Eukraine imekataa kufuata matakwa ya Russia. Raia wake wapo na raisi wao. Jeshi lipo na raisi wake. Hujasikia maandamano ya raia kupinga kutokumsikiliza Russia kuepusha vita, badala yake umesikia wakijiandaa kwa lolote. Russia imeamua kuivamia nchi huru. Wameamua kulinda nchi yao. Hawana makosa.
 
Eukraine imekataa kufuata matakwa ya Russia. Raia wake wapo na raisi wao. Jeshi lipo na raisi wake. Hujasikia maandamano ya raia kupinga kutokumsikiliza Russia. Russia imeamua kuivamia. Wameamua kulinda nchi yao. Hawana makosa.
makosa hawana, ila wanajua watashindwa, watakufa na haitawasaidia kitu. sema ndio jeuri ya masikini tu. hapo ungekkuwa wewe busara ingekuwa nini?
 
Umekuja nchini kwangu, unanipa matakwa yako ambayo si matakwa ya nchi yangu. Ntasimama na nchi yangu.

Nikiogopa usiniue leo, kesho tena utakuja na takwa jingine. Bora tumalizane kuliko niwe mtumwa wa maamuzi yako.

Mkeo akitaka ujiandalie maji ya kuoga asubuhi, ataanza kidogo kidogo. Atakupelekea maji ataacha sabuni. Ukiuliza atakuambia nimesahau ipo hapo stoo. Kesho anasahau tena mwishowe unazoea sabuni ilipo, anahamia kwenye taulo mpaka ukija kushtuka huwa unaamka unachemsha maji unafuata taulo na sabuni na unaoga bila yeye kufanya lolote. Kumzuia ni pale mwanzoni, umwambie nenda kaandae kila kitu ndo niambie nikaoge.
 
Umekuja nchini kwangu, unanipa matakwa yako ambayo si matakwa ya nchi yangu. Ntasimama na nchi yangu.
wakati unasimama na nchi yako, mimi nina silaha bora, wewe una mkuki au kisu tu, najua hunifanyi chochote hata ukinidunga nitakimbia hospitali kutibiwa wakati wewe nikikudungua unatoka ubongo unakufa, nani yupe kwenye disadvantaged side? Kiukweli, Ukrain ni faida sana kwake kuwa upande wa NATO kwasababu angepata faida kiiulinzi, angejiunga na EU na kutumia euro na kufanya biashara na movement ya labour kirahisi etc, kuliko kuwa na urusi. shida ni kwamba, hata damu itoke urusi hawezi kukubali ukrain awe na nuklia au ajiunge na NATO kwasababu atakuwa ameruhusu adui kukaa mlangoni kwake. ukrain analijua hilo, na NATO wanalijua hilo lakini wanataka kuitumia ukrain kama chambo au ndomu za kuitest urusi, huku wakijua fika urusi hawezi kukubali.

NATO wanachotegemea hapo ni kwamba, wao hawana uwezo kuipiga urusi kivita, ila wanaweza kuanza kuinyongónyeza kiuchumi ili uchumi wake ukidorora pengine miaka ya mbeleni iwe rahisi kuisambaratisha na wanatumia ukrain kama chambo kwa ahadi kwamba ukraini ijilipue wataisaidia kuijenga. this is not fair. na mbaya zaidi ni kwamba urusi haitasambaratika, na kinabii kwenye vitabu vya Mungu, itasimama kwasababu ndio nchi ya mashariki itakayoshuka kuipiga israel hapo mbeleni (pengine baada ya kuungana na nchi za kiarabu kama iran na zingine zenye moyo wa kuifuta israel) na Mungu atashuka kuipiga russia. hawasomi maandiko, urusi haidondoki, mark my words.
 
Na sasa msela mavi anawarudisha wananchi wa Russia kwenye batter trade...nipe kuku nikupe maharage.....Aiseee
Halafu bado mkazi wa buza anashangilia msela mavi aendelee kujinyea....
 
umesahau kwamba china, india na nchi zingine za america kusini bado wapo na russia. pia, russia pia anavyo vitu ambavyo akiona anaumia kiukweli, anaweza kuwapiga navyo wamagaribi wakaomba poo. muda bado sana, tusubiri kwanza siku ziende. raia ni kweli wataumia, kama wanavoumia waukrain, ila cha muhimu ni kwamba wataumia kwa muda gani? na kuumia ni part ya maisha ili utafute solution ya kudumu siku ingine usiumie tena. kuna uwezekano tukarudi kwenye cold war muda si mrefu, na russia atatumia technolojia na silaha kukomba maadui wa marekani/wamagaribi na block itasimama tena, na yote haya yanatokana na kichwa ngumu ya wamagaribi kumtia kidole kwenye macho wakati alikuwa ametulia.
 
wakati unasimama na nchi yako, mimi nina silaha bora, wewe una mkuki au kisu tu, najua hunifanyi chochote hata ukinidunga nitakimbia hospitali kutibiwa wakati wewe nikikudungua unatoka ubongo unakufa, nani yupe kwenye disadvantaged side? Kiukweli, Ukrain ni faida sana kwake kuwa upande wa NATO kwasababu angepata faida kiiulinzi, angejiunga na EU na kutumia euro na kufanya biashara na movement ya labour kirahisi etc, kuliko kuwa na urusi. shida ni kwamba, hata damu itoke urusi hawezi kukubali ukrain awe na nuklia au ajiunge na NATO kwasababu atakuwa ameruhusu adui kukaa mlangoni kwake. ukrain analijua hilo, na NATO wanalijua hilo lakini wanataka kuitumia ukrain kama chambo au ndomu za kuitest urusi, huku wakijua fika urusi hawezi kukubali.

NATO wanachotegemea hapo ni kwamba, wao hawana uwezo kuipiga urusi kivita, ila wanaweza kuanza kuinyongónyeza kiuchumi ili uchumi wake ukidorora pengine miaka ya mbeleni iwe rahisi kuisambaratisha na wanatumia ukrain kama chambo kwa ahadi kwamba ukraini ijilipue wataisaidia kuijenga. this is not fair. na mbaya zaidi ni kwamba urusi haitasambaratika, na kinabii kwenye vitabu vya Mungu, itasimama kwasababu ndio nchi ya mashariki itakayoshuka kuipiga israel hapo mbeleni (pengine baada ya kuungana na nchi za kiarabu kama iran na zingine zenye moyo wa kuifuta israel) na Mungu atashuka kuipiga russia. hawasomi maandiko, urusi haidondoki, mark my words.
Mkuu. Suala si matokeo ya vita. Suala ni kukomesha tabia ya kupangiana nn cha kufanya. Ukituua wote utakaa na ardhi ufanye utakalo. Ukitushindwa utatueshimu hutatupangia. Either way sisi ni washindi sababu tupo huru. Hatupangiwi.
 
Back
Top Bottom