Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Raia wakiondoka na yeye ana jeshi dogo nani atapigana zaidi ya wanaume wa nchi?trust me, naipenda USA, nimeshafika USA na mimi nimefaidika sana na wamagaribi, lakini nawafahamu walivyo, namna wanavyopenda kuwatumia wengine ili wafaidike. na ukrain inatumiwa. huu ndio ukweli. na ukrain inaumia, raia wanaumia bila sababu za msingi. mtu anayekwambia upiganie vita nyumbani kwako atakusaidia, halafu akiona unapigwa anakuletea gari ati kimbia uache nyumba yako magofu, haji kukusaidia, huyo anakutumia. na anatesa familia yako bila sababu. naipenda sana ukrain, kwanza kwasababu mimi ni pro-israel, na kule mfano Odesa kuna wayahudi wengi sana, asilimia kubwa ya wayahudi ukrain wanaishi odesa. ukrain ndio eneo ambao wayahudi walikimbilia kama haven wakati wa holocost, pamoja na maeneo mengine ussr kipindi hicho. juzi pm wa israel aliomba wakati wa vita putin amruhusu kuwachukua wayahudi, na kweli wengi wamekimbilia israel tayari. ila wapo waliobaki wanaumia bila sababu na wanalazimishwa kupigana, fikiria rais anasimama anasema hata vijana kati ya 16 hadi 18 hakuna kutoroka nchi, wabaki wapigane? akili au matope unalazimishwa kupigana? hiki ndio kinanifanya nimwone comedian hana maana.
Wewe utachukua maamuzi gani unavamiwa upo na vijana wako watatu na walinzi wawili ambao unaona wanazidiwa? Utawaambia kajifungieni na mama yenu?