Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hata akiungwa mkono na mataifa yote Duniani bila uwepo wa USA na Nchi za Ulaya zenye nguvu kiuchumi ambazo anazitegemea zaidi kibiashara ni kazi bure kwake,hilo analijua vizuri sana Russia,huoni hadi rafiki yake kipenzi amemute kupiga kura kaishia ku abstain kama Tanzania,kwa nini hakupiga kura ya moja kwa moja kupinga pale UN?
Ni sawa ila russia ana resources nyingi ambazo ni muhimu kwa uchumi wao pia. Ukisema utachukua gas iran ni sawa ila cost itakua kubwa ukilinganisha na ukichukulia russia pia kumbuka dunia kwa sasa inakabiliwa na uhaba wa oil ndomana tunaona sahv kampuni nyingi za magari znakuja na teknolojia ya umeme.
Russia akiacha kuuza mafuta au gas kumbuka ndo nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta unategemea nini? Supply itashuka na demand itaongezeka sasa kwenye uchumi tunasema when dd>ss hapo lazma kuna inflation bei ya oil itapanda sana, nchi kama africa unafikir itakuaje?? Hii ishu italeta madhara sana kwenye uchumi na sio rahs kuicover kama mnavotegemea huku bongo.
Wataalam wa uchumi wamekaa na wameona impact yake ndomana wakasema they need russia kwenye uchumi furaha ya mmarekani auze mafuta yake store ili uchum wake uzid kukua ila watakaoumia ni nchi za ulaya na africa kwa ujumla .