LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
"Raise your words not your voice. It is rain that grows flowers not thunder."

Unaonekana haufuatilii wala kutizama taarifa za habari!

Putin kwenye hotuba yake aliyolihutubia Taifa lake na dunia kwa ujumla alisema kitakachofanyika Ukraine ni ".......special military operation"

Akasema "....it is not our plan to occupy the Ukrainian territory"

Kuliweka wazi zaidi lengo akasema "...to this end, we will seek to demilitarise and denazify Ukraine"

Hivyo brother, wewe unaandika na kujenga hoja kwa mizuka ya fikra yako na wala si kwa uhalisia wa kilichowekwa. Na huu ni mojawapo ya uraibu wa kutotaka kujishughulisha.

Kabla ya kunikosoa au kunijia na hoja jishughulishe kwanza. Mbali na hilo samahani kama lugha iliyotumika ni kali.

Zaidi ya special operation in Ukrain kutaka kuiondolea uwezo wa kijeshi na unazi mambo leo. ankai jua wamefika hapa pia

20220307_184820.jpg
 

Ukrainian forces have retaken Mykolayiv regional airport, local official says​

Ukrainian forces have recaptured the regional airport in Mykolayiv, southern Ukraine, from Russian troops, according to the region’s governor.

“The roads are open, we control the bridges, you can safely leave Mykolayiv [city] and other towns,” Vitaliy Kim said in a televised statement.

Hii vita hadi Russia waanze kupigana wenyewe kwa wenyewe
ha ha ha umechemka leo ni siku ya mazungumzo na kuokoa raia leo hakukuwa na mapigano ha ha ha mapigano yataanza usiku
 
Analyst: Baada ya hii vita kuna NEW ORDER itaanza

1. Hungary kakaataa kupitisha majeshi ya NATO kwenye ardhi na kusema haiusikii na hii vita

2. Brazil amepingana na EU kuhusu swala la vikwazo, na kusema itaendeleza mahusiano ya kibiashara na Russia.

3. India wapo kwenye trial ya kuanzisha mfumo mpya usiotegemea Dollar na kutumia Rupee na Ruble ili kuendeleza biashara na Russia.

4. Israel wamegoma kuonesha umoja wao na Ukrain maana Russia anashikiria maslahi ya Israel kule Syria

5. China wapo kwenye ku update mfumo wa union pay uanze kutumika kote Dunia kwa yyte atakayetaka kufanya biashara na Russia

6. France anapingana na US na NATO na kusema mawazo ya NATO yanaendeshwa na US na hii inapelekea vita kuwa kubwa hivyo ikaamua kutumia njia zake za kidiplomasia kuwasiliana na Russia bila baraka za US.

7. Russia kuanzisha mfumo wake wa malipo ya oil na gas hata kma vikwazo vikiondolewa.

8.Russia na washirika wake kuanzisha mashirika na idara za kimataifa kama ilivyo umoja wa mataifa baada ya China na Russia kuilalamikia baadhi ya mashirika hayo kuwa ni baraka wa marekani na yapo kutimiza matakwa ya marekani.

9.Uturuki kugoma kufunga bahari yke na kusema hawezi kuharibu mahusiano yake na Russia

10.Russia kuongeza uzalishaji wa silaha za juu na kuuzia washirika wake ikiwa ni njia ya kuwapatia nguvu washirika wake ili watengeneze umoja wenye nguvu
Hizi ni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa, kuna mfumo wa ulipaji pesa ulioanzishwa na Russia lkn una changamoto kubwa kwamba ukijisajili kuitumia basi moja kwa moja unakuwa umejiondoa kwenye SWIFT na ndio maana hata China ameshindwa kujiunga nayo.

Sasa wewe unafikiri China akijiondoa SWIFT nani atakuwa amepoteza. Hakuna nchi hata moja duniani anayoweza kukubali kuacha kufanya biashara na nchi za magharibi ndio eti ifanye biashara na Russia ambaye hana chochote cha maana. Hivyo hizo ni porojo za vijiweni tu.
 
Wanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yao
Sasa pakipigwa wasianze kulalamika
 
Acheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.
Daaa wee acha hawa warusi wa samvi la chole wana vituko sana aisee yaani wanajifanya kuwa wao pekee ndo wanzipata habari za vita na wao pekee ndo wana acces ya kupata taarifa za front line wakati sisi tunazo

Nimemuuliza anitajie ni mipaka mingapi ya Ukrain iliyo chini ya majeshi ya warusi kakimbia mita mpaka sasa ivi sijamuona kuja kukilijibu swali langu

Yaani anajiokotea tu vitaarifa uchwara uko porini anakuja kuvibwaga apa akidhani wote ni mambumbu kama yeye
 
Tupo njiani kwenda kuchukua kinu chetu cha 3View attachment 2142333
Hao wavamizi wa Russia wanaambaa ambaa tu pembezoni na mpaka wao ikionyesha walivyo waoga. Hatuna sababu ya kuiogopa tena Russia.

Wamekuwa kumbe ni watu wa propaganda tu kumbe hamna lolote, wanabaki kurusha makombora hovyo kubomoa majengo na kuua tu raia wasio na hatia. Hopeless kabisa.
 
Tuanze kwanza kwenye mipaka ya ukraine na warusi, ipo kwenye imaya ya nani?.ili tujue story za kwenye kahawa zinatoka wapi
Jamaa reasoning capacity yako ni ndogo mno ivi unajua kati ya mrusi na mukrain nani kamvamia mwenzie tuanzie apo kwanza alafu uko mbele utapata jibu lako ukishajua kuwa kati ya hawa wawili ni nani kamvamia mwenzie basi hutokaa uulize tena swali la kijinga na kipumbavu namna hii
 
Hii ishu wanaigiza sahizi eti wanapumzika kupigana ili waendelee baada ya kuwatoa wananchi.... ukraine ilishasema wananchi wachue silaha sahizi inaonekana jeshi linajificha nyuma ya raia.. waondoke waende wapi wapo kwenye nchi yao....
Ili wakianza kuwatwanga kusiwe na yeyote atakaye sema anaua raia
 
Haya ni maneno ya kwenye kanga ila ukija uwanjani warusi wanasonga mbele, wala hakuna hata dalili ya kurudi nyuma.muda sio mrefu tutatangaza umiliki wa kinu cha 3.na kufanya tuwe tuna miliki 75% ya umeme wa ukraine.
Duuh we jamaa ado hujaaamka usingizin emu stuka basi acha kuwa kama umenyweshwa methadon
 
Putin inatakiwa ampeleke mtoto wake kwenye hivi vita, aache kuswaga watoto wa wengine kuwapeleka kwenye hivi vita vya kipumbavu alivyoviasisi ona sasa watoto wa watu wanavyouwawa kinyama. Hovyo kabisa huyu dikteta.
 
Back
Top Bottom