Yaani huku kuna watu vilaza sana ,Mtu anabishaaaa mpaka unacheka sasa,kuna mataifa makubwa yalinyamaza kimya yasome power full ya Russia lakini mrusi kawachezea shere,hawkuona vile walivyo tarajia, lakini hicho wanacho haha nacho Ukraine ni kitu kidogo sana ndio maana mchezo hausomeki.Wajuvi Wa vita wanaelewa,.Ukraine inatumia raia kama ngao yake , huo ni mtego Kwa Russia. Kurudi nyuma Kwa jeshi ni kumtoa adui alie jificha aje kweupe sasa mziki utakao amshwa hapo itakua ni balaa kwelkweli Kwa Ukraine.