let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
hadi Taleban kulaan uvamizi wa Ukraine basi jua Putin kazingua sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanataka wamtolee MKUU sababu wanasusia mafuta na gesi za RUSSIA ila sioni VENEZUELA akiuza mafuta kwa US ila acha tuoneHakuna kitu kama hicho Venezuela aliwekewa vikwazo na marekani
Nimehisi nimo humu kwenye gari na vitoto vyangu vidogo najaribu kukimbilia Mbeya ili nikatokee Tunduma,nafika Chalinze nakutana kirambasi na majeshi ya Putin yanarusharusha tu makombora bila kujali wanamrushia Nani...Daah Vita inatosha sasaThe shooting of a car by unknown military near the village of Makarovo, Kharkiv region on February 28, 2022, was caught on a video surveillance camera. Possibly a provocation.
View attachment 2143440
Katika imports zote zinazoingia USA kutoka nje, zinazotoka urusi ni 8% na kati ya hizo 3% ni energy imports. Lakin nina uhakika kuwa yio 3% ni pesa ndefu sana kulinganisha na imports zote zinazoingia hapa bongoland kupitia bandari yetu.Shetani Kuu la Dunia Marekani kwanza mafuta ya Urusi linachukua Asilimia 5 sasa ndio nn hicho hayo tutanunua hata sisi
Mi huwa nashangaa, UKRAINE inapigwa ila kuna WAPUMBAVU humu mna kelele unaweza dhania hao Urusi wamezidiwa. How stupid is this.? Yaan bado mnaamini UKRAINE ana uwezo wa kupigana na URUSI? Nchi iko magofu maeneo mengi, afu unatokea mtu kutoka Kilolo huna hata elimu ya Ulinzi unatoa mchango hapa as if huu ni mpira.huwa nashangaa sana watu mnavyoiamini urusi.usipende kuanzisha ugomvi ukitegemea mwenzio ni dhaifu.angalia sasa wanaomba waombe poo.
Saudi Arabia sidhani kama ana vikwazo, ishu iliyoleta utata kati ya US na Saudi Arabia nadhani ni ile ya kuuawa kwa yule mwandishi ambapo US walisema wazi Saudi Arabia alihusika.waliliona lkn ,imewabidi wakajipendekeza kwa maadui zao Iran,Syria ,Saudi Arabia ,maana hao hao malekani waliwawekeaga vikwazo vya kiuchumi,Sasa huu ndo muda wa hawa jamaa nao kupiga double standard [emoji1],hata hivyo haitatosha ,kum supless Russia kwenye volume ya mafuta aliyokuwa aki supply duniani.tushudie mafuta kupanda Bei zaidi !!
Sio kweli,Russia sio mzalishaji namba moja wa mafuta duniani. Mzalishaji namba moja wa mafuta duniani ni USA ikifuatiwa na Saudi Arabia ndio Urusi na Iran zinafuatia.Hiyo ban hata yeye mwenyewe US itamuumiza tu,ndo maana ameenda kujipendeza venuela ,ili wamuuzie mafuta .na supplyer mkubwa wa hizo nishaati ni Russia ,Sasa kumpiga ban ,maana yake uwe na mtu mwngine anaye supply Mara 2 ya Russia ,na kimsingi hakuna!
iran mpango wakutengeza silaha zanyuklia upo chief,pia iran ni jeuri sana sidhani kama atakubali kuuza mafuta ulaya kama putin ataweka mkono wake, hofu yangu ni kwa venuzuela ambae yupo vibaya sana kiuchumi anaweza akamsaliti mrusi... Ila mda haudanganyi ngoja tuone nini kitatokeaIRAN hana mpango wakutengenza nyuklia na aliishalisema hili wewe ninani mpaka umlishie ama uwalishie maneno
all in all US anaanza kutapa tapa maana sasa yupo IRAN yupo VENEZUELA kutaka kuziba gape litaloachwa na RUSSIA
cjui kwa IRAN ila kwa VENEZUELA kule asahau nandio maana akataka kumpindua bwana yule kwaajili ya hii ishu imekula kwake kenge yule
Mkuu ni kanuni ya uumbaji kuwa hatuwezi kulingana. Lazima kuwe na mtawala na mtawaliwa, lazima siku zote kuwa na vertical communication/Relationship kila sehemu chini ya jua.Ndio maana wengine tunaiunga mkono Urusi sababu ya huu ubabe na uonevu wa Marekani.
Haya mnaosema Urussi kavamia nchi huru vipi na huyu Mmarekani anaezuia nchi huru kufanya biashara na Urussi
Tuombee Urussi afanikiwe hii operation ili dunia i balansi..
La sivyo Marekani atatushika tako sana tu.
Marekani amegundua anaenda kupoteza ushawishi duniani ameanza mikwara mapema tu.
Mkuu mabeberu ni hatari. Hivi hamjashtuka hawa njemba wako hired, wapo kazini😄😄😄😄😄.Hizi story huwa mnatoa kijiwe gani?
Hivi akizuia supply ya gas Ulaya watapata replacement kweli. Au ndo tutashuhudia wazungu wanakufa kwa baridiMbambe ni mbambe tu, hawana namna ya kukataa, hadi venezuela amekubali naye, kwa hili likitekelezwa ipasavyo Putin atakuwa amepata pigo kubwa sana, japo na yeye amesema ikipigwa ban kwenye mafuta na yeye anazuia gesi kwa nchi za ulaya!!
Na venezuela waondolewe vikwazoNchi za magharibi zataka Iran iondolewe vikwazo ili azibe gape la mafuta la russia ,russia yaweka masharti magumu ,mabeberu wamebaki wamekenua tu hawajui cha kufanya
wanataka wamtolee MKUU sababu wanasusia mafuta na gesi za RUSSIA ila sioni VENEZUELA akiuza mafuta kwa US ila acha tuone
Venuzuela na Iran wanashindwa kuuza mafuta sababu ya vikwazo vya marekaniwanataka wamtolee MKUU sababu wanasusia mafuta na gesi za RUSSIA ila sioni VENEZUELA akiuza mafuta kwa US ila acha tuone
Ubeberu uko katika pumzi zake za mwisho......Nchi za magharibi zataka Iran iondolewe vikwazo ili azibe gape la mafuta la russia ,russia yaweka masharti magumu ,mabeberu wamebaki wamekenua tu hawajui cha kufanya
Hakika...Na venezuela waondolewe vikwazo
Tanks zina umuhimu wake ingawa unapungua kadri ya muda unavyokwenda. Ukikutana na Israel hutokaa utumie hizo drones hata siku moja, wana nyingi za kuzuia zisifanye kazi kwao. Armoured brigades na tank batallions are nowhere to go, bado tutaziona sana.Nilishasema Cha muhimu.kwao sio hayo ma.APC bali ni missile za short range,anti aircraft missiles na wakiweza wapate drones plus mbinu zingine za medani.
Kwenye hii vita sijaona msaada mkubwa wa hayo ma tanks zaidi ya kuwa mzigo tuu.
Yes Azov battalion nilisahau jina. Hawa wanapiga sana kuliko hata baadhi ya vikosi vya serikali na wakati hawapewi large caliber weaponsAzov batallion nimewaona pia.....
Kwa sasa wapo Mauripol nadhani, ila kambi yao ni miongoni vya facility za mwanzo Russia kuzilipua.
Angalau hawa walikuwa wanabagua wanaongea kirussia, ila kama ni kweli hawa watu kutoka middle East wameingia. Basi sasa swala la amani lisahaulike.