LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The EU, G7 and other partners will soon remove the most favored nation treatment for Russia in the WTO, removing key trade advantages, the EC said.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Hawa wapuuzi wana tafuta kisingizio cha kuiunganisha dah ila Ukraine naiurumia sana wameiharibu sana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ukraine ingekaa kama majirani wengine wa Russia kina Finland au Sweden isingepungukiwa kitu. Vitu vingine ni kufanya analysis nzuri mkatoa national policy ya kudumu sio kila kitu mlazimishe kuwa katikati ya ugomvi mnaumia zaidi ya wanaogombana. Hapa NATO hawatapigana na Russia kabisa ila Ukraine anapigana kisa wao. Ingawa naona Finland wanataka kuanzisha mjadala kuzungumzia kujiunga ila Sweden imesisitiza haitaki kusogeza migogoro Kaskazini.

Switzerland yuko katikati ya Germany, Austria, France na Italy. Zote zilishiriki WW1 na WW2 na vita kabla ya hapo ila Switzerland hakushiriki wala hakuvamiwa. Yeye alijua akiwa upande wowote atakuwa target ya upande mwingine, akawa neutral. Switzerland iko vilevile na mipaka yake since 1800s na haijawahi pigana vita, chanzo cha Vatican kutumia Swiss guards tangu early 1500s ni kwakuwa wako neutral inachukua kamanda na wanajeshi waliotrained na ni wazawa wa Switzerland inawatumia kulinda Vatican ndani maana haina chuo cha ulinzi. Isingechukua labda Wafaransa alafu Ufaransa iingie vitani na Uingereza na mambo yachanganyikane pale Vatican.
 
Hii documentary inaelezea kwa kina namna mgogoro wa Ukraine tangu miaka ya nyuma na nani huwa ndio wapo nyuma yake. Humu wamehojiwa Maraisi na Viongozi wa juu ambao wamewahi kuiongoza serikali ya Ukraine na kupinduliwa. Hii video imekuwa-banned kwenye Social Media mbalimbali. Kwenye hii video kunaoneshwa mbinu mbalimbali zinazotumiwa na Westerners(USA) kupindua serikali.
 
“While military biological research in the United States was curtailed due to the danger to the American population, the Kiev authorities, in fact, gave the green light to turning their country into a testing ground and using the inhabitants of Ukraine as potential test subjects,” Nebenzya said. .
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The EU will propose a "big ban" on new European investments in the energy sector of Russia, the statement of the head of the EC.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom