Huk Luk
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,291
- 15,947
Hata kwa upande wangu naona kwenye Historia iliyopo wazi kuna uongo mwingi sana. Yes katika wengi nikiwa mmoja wapo sikuepo enzi hizo lakini kile kilicho andikwa na kinachoendelea sasa kinatia mashaka.Ikumbukwe WWII kutoka mashariki Russia pekee ilikuwa nchi ya kwanza kuingia Germany, huku US , France na UK zikitoka magharibi wakamkuta Russia amepiga kambi tayari Berlin. Hivyo West kutengeneza NATO wanaifahamu siri na nguvu ya Russia kijeshi toka WWII.
Mfano ukiingia wikipedia, kuna hiki kitu kuhusu WWII,
Upande wa allies kuna USSR, USA, UK na CHINA ya enzi hizo. Upande wa axis kuna Germany, Japan na Italy. Imeandikwa kwamba "Allies" ndio walikua washindi baada ya miaka hiyo 6 ya vita.
Sasa ilikuaje allies kama UK, US kuungana na "axis" kama Germany na Italy kutengeneza umoja wa kujihami (NATO) against "allies" mwenzao kwa wakati huo ambae ni USSR?
Hapo hapo tena unajiuliza if really allies kama UK na US walikua wanapigana na Unazi, ikawaje sasa makamanda wa kinazi kukimbilia kwe nchi hizo kujificha baada ya vita?
Nachelea kusema history iliyopo na inayosomwa sana sio halisi tena imejaa pumba sana sio kidogo 🤣🤣🤣.