Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 469
- 724
Nimeona taarifa za mtu anayesemekana ni Jasusi wa Kirusi alikuwa anakipiga pale arsenal miaka ya ya 2012 hivi;Andrey ArshavinMkuu kwa komenti hii naomba nimtetee mdau uliekua unamjibu kwa hoja yake ya uwezo wa Urusi kuifuta UK katika uso wa Dunia.
Naamini hata yeye sio maneno yake,nadhani ni kutokana na kusoma kutoka makala mbalimbali ambazo zinaelezea uwezo huo wa makombora ya Urusi yawezayo kuzifuta nchi Kam UK France na mji kama Texas.
Sasa kama wao walitudangaya sisi sio kosa letu.
Tumesoma maandiko Yao.
Kama kombora moja TU la Satan 2 linaweza kuifuta ufaransa na sehemu ya jiji la Texas,je UK inahitaji kupigwa kwa makombora mangapi?
Tunahisi Urusi anayo zaidi ya 100
The Economic Times
Satan 2: Russia unveils deadly nuclear missile that can wipe out an area the size of Texas and France
The missile has been designed with stealth technology, means that it can be fired at a target without being detected by enemy radars.
By Shaurya Karanbir Gurung, ET Online
Follow us
Last Updated: Oct 26, 2016, 07:02:00 PM IST34
NEW DELHI: Russia has unveiled the first image of its beast of a nuclear missile called the RS-28 Sarmat, also known as Satan-2.
It is Russia’s new super-heavy thermonuclear-armed intercontinental ballistic missile (ICBM), which can wipe out parts of the earth the size of Texas and France, according to Russia’s Zvezda TV channel. The missile is capable of targeting major cities of the UK and other European nations. It has an estimated range of 10,000 kilometres.
The Sarmat is set to replace the RS-36, a family of ICBMs and space launch vehicles that entered service in the 1970s, according to Sputnik. The replacement will happen by 2020, according to Russia Today. The multi warhead missile is expected to carry up to 10 heavy warheads or 16 lighter ones or a combination of both. It will also have counter-measures to overpower enemy missile defences
Kumbe alikuwa anaipeleleza serikali ya Uingereza,dah! na mzee Wenger Naye wanamuangalia kama alikuwa hajui kitu kuhusu huyo mwamba ama lah!
Ila Kwa mujibu wa niliposoma wanasema details zilivuja kuanzia Marekani kuhusu uwepo wa Jasusi huyo hapo Uingereza
Inaonekana Warusi walitoka kufanya project zao juzi juzi tu hapo.
Story inasimumua na kufundisha kitu Fulani hivi