Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Inaanguka wapi ?Mimi sichambui kimahaba kama nyie. Tatizo lenu hamtaki mawazo yanayoshusha upande mnaoupenda.
Elewa tu kuwa Russia inaanguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaanguka wapi ?Mimi sichambui kimahaba kama nyie. Tatizo lenu hamtaki mawazo yanayoshusha upande mnaoupenda.
Elewa tu kuwa Russia inaanguka
Putin asimamie kauli zake!Maamuzi gani magumu unayotaka Russia afanye ?
Nitarejea baadae nikipata muda nitakushitua.Putin asimamie kauli zake!
Alionya juu ya hili kutotokea! Na alielezea utaratibu mzima wa jinsi hayo makombora yanavyofanya kazi! Kwa ufupi yatakuwa controlled na Nato.
Na aliweka wazi msimamo wa Russia utakuwa ni nini! Wenzake wamethubutu!
Asimamie kauli yake. Tunamsubiri!
Wewe nani kakupa kipimo Cha kujua huyu anachambua kimahaba na huyu hachambui kimahaba,?Mimi sichambui kimahaba kama nyie. Tatizo lenu hamtaki mawazo yanayoshusha upande mnaoupenda.
Elewa tu kuwa Russia inaanguka
Kufanya hivyo si kama walipenda!Hao Hao wazungu wenzake ndio waliowezesha zilaha za kiatomiki kutoka Ukraine kwenda Urusi.
Tafuta ripoti humu zipo kati kati ya hii SMO nchi ya UK ilitaka iwapatie kwa siri Ukraine TNW (tactical nuclear weapon) na mpango kabambe ulikuwa umeshaandalowa ila makachero wa Russia wakazipata hizo taarifa.Maamuzi ya Ukraine kupatiwa silaha za kiatomiki na taifa lolote litakalo chukua maamuzi hayo labda libahatike kupata kiongozi kichaa na idara nyingine za kitaifa ziwe zimeminywa na nguvu yake.
Wale jamaa Walitaka Huyu Kenge Auwawe mapema sana Ua wakina budanov wote wale halafu aje mtu mwingine akijua hali ni mbaya...Mbona hao USA walimuua Gadafi hata Sadmu huseni?? HUWEZI kujiita mkubwa huku huna lolote zaidi ya mikwara!! KUMBW WAMEMGUNDUA dhaifu watampiga.Russia ya Nikita Khrushchev au ya Stalin Putin kwa mwenendo wake unadhani angeiweza? Asingeiweza.
Nikita Khrushchev kipindi cha cold War alitungua ndege ya kivita ya US na US wakaufyata.
Baada ya Marekani kuizunguka Cuba na meli za kijeshi Nikita aliamuru meli ya kijeshi ya Russia ipite hivyo hivyo mpaka Marekani alikuwa aniajiuliza tufanyaje sasa?!
Heshima ambayo wenzake wameijinga dhidi ya Russia yeye anaibomoa kizembe sana! Si ajabu kesho kwa mikwara yake atawaambia kitengo cha nuclear kifanye mazoezi ya kujiandaa kwa vita.
Baada ya hapo atabadilisha doctrine yao kuhusu mambo ya nuclear atasaini nyengine. Baada ya hapo ndiyo kashamaliza.
Nilichogundua, Putin si kwamba ana huruma, bali Putin ni dhaifu.
Makamanda wake wengi wa kijeshi walitaka wamalize hii SMO mapema tu ila yeye anajifanya master mind.
Sana sana tunashangaa kwanini hajaachia Dude????Inauma sana kiukweli sisi ambao tupo upande wake
Hii ndiyo sifa yake kuu,utulivu! Jamaa amemuelezea Putin kwenye ule uasi kama ifuatavyo:Putin ni mtulivu anaweka hesabu zake sawa kama wao wanamdharau hayo ni matatizo yao japo sidhani sana kama wanamdharau Putin.
Basi maana alisema Ukraine haitumii haya Makombora, haina Uwezo wala Watalamu wa kuyatumia!!! Akasema pia Satellite za kusoma GPS za Location ni zao USA hivyo Kama Ukraine itahusika ni kubonyeza Button tu sasa kama ndio hivyo na bado kapigwa anasubiria nini??? Lakini mm naona Hajasema lolote tangu haya mambo yatokee nasubiria mpaka kesho nione!!! UKWELI ni kwamba hii ni dharau na kama Russia hatachukua maamuzi magumu sana hapa anapotea na atasambaratika!!Putin asimamie kauli zake!
Alionya juu ya hili kutotokea! Na alielezea utaratibu mzima wa jinsi hayo makombora yanavyofanya kazi! Kwa ufupi yatakuwa controlled na Nato.
Na aliweka wazi msimamo wa Russia utakuwa ni nini! Wenzake wamethubutu!
Asimamie kauli yake. Tunamsubiri!
Wachambuzi wengi wa masuala ya kivita walikuwa wanajiuliza Russia hii SMO yake ataimaliza vipi!Wale jamaa Walitaka Huyu Kenge Auwawe mapema sana Ua wakina budanov wote wale halafu aje mtu mwingine akijua hali ni mbaya...Mbona hao USA walimuua Gadafi hata Sadmu huseni?? HUWEZI kujiita mkubwa huku huna lolote zaidi ya mikwara!! KUMBW WAMEMGUNDUA dhaifu watampiga.
Ushabiki ukizidi sana..! Mwishowe hujengeka ujinga kwenye vicha hivyo!Uchumi wa Ujerumani umeyumba kutokana vita hii.
Kama yeye Taifa lenye nguvu za kiuchumi ameyumba?, vipi mataifa madogo na yenye Uchumi dhaifu kule Ulaya?
Democrats wameanguka kwenye uchaguzi wa Marekani kwa sababu ya Vita hii, Uchumi wa Marekani ulitingishika, fatilia
Hii ni vita waliyoingia kinyume nyume matokeo yake Mataifa ya magharibi yamedhalilika na kupungua influence yao duniani, huku Mrusi ikipaa kuanzia Ulaya, Amerika mpaka Afrika.
Tuendeleze mapigano Ili tujue mbivu na mbichi
Muda mwengine ukubwa lazima uwe katili, lazima uwe na maamuzi magumu ambayo yatakuwa faida kwa wengi!Wale jamaa Walitaka Huyu Kenge Auwawe mapema sana Ua wakina budanov wote wale halafu aje mtu mwingine akijua hali ni mbaya...Mbona hao USA walimuua Gadafi hata Sadmu huseni?? HUWEZI kujiita mkubwa huku huna lolote zaidi ya mikwara!! KUMBW WAMEMGUNDUA dhaifu watampiga.
Hakuna chochote Russia itakachokifanya zaidi:Basi maana alisema Ukraine haitumii haya Makombora, haina Uwezo wala Watalamu wa kuyatumia!!! Akasema pia Satellite za kusoma GPS za Location ni zao USA hivyo Kama Ukraine itahusika ni kubonyeza Button tu sasa kama ndio hivyo na bado kapigwa anasubiria nini??? Lakini mm naona Hajasema lolote tangu haya mambo yatokee nasubiria mpaka kesho nione!!! UKWELI ni kwamba hii ni dharau na kama Russia hatachukua maamuzi magumu sana hapa anapotea na atasambaratika!!
Tuone ila kama atakaa kimya pasi na kutuma dude japo moja la maana tutakuwa wanyonge hilo lipo wazi kabisa japo wenzetu wa upande huu wanaona kama hatuna subra lakin Dunia inaona kuwa Vladimir Putin anakuwa slow hata kwenye kuhatarisha usalama wa raia wakeSana sana tunashangaa kwanini hajaachia Dude????
Hammaz,Jawabu ni rahisi, Putin ni dhaifu na West kwa sasa wameshaligundua hili!
Na ndiyo maana wanazidi kuvuka mipaka kila kukicha.
Sidhani kama angelikuwa Dmitry Anatolyevich Medvedev au Ramdan Kadyrov West wangelikuwa wanaendelea na hilo zao za kuidhuru Russia.
Russia haina hata uthubutu anaouonyesha Iran kwa kuipiga Israel na kambi za US nchini Iraq. Russia ya Putin huo uthubutu hana!
Hamjui hii vita inapiganwa sehemu nyingi.Bado kuna asilimia kubwa ya raia wa Ukraine ni pro Russia na kwa usalama endelevu Russia anahitaji kundi hili kuwepo na ikiwezekan kuongoza Post war Ukraine.Hii ni sababu ni ngumu kufanya kwa Ukraine ayafanyayo Netanyahu kwa GAZA na LEBANON.Halafu mambo hayafanywi kwa mihemko,bila kuwa na strategy leo hii uchumi wa EU usingeyumba kiasi hiki ili ni somo ambalo wamepewa EU na NATO kuwa RUSSIA sio Sudan.Kuna response itakuja kuhusu matumizi ya hizi silaha alizojaribu kutumia Ukraine unsuccessfully so far.Kawaida ya PUTIN anajibu kwenye uwanja wa vita na pia atawajibu kwenye maeneo mengine ambayao US na NATO wana interest.Suburini watakavyokuja kulia na kulaani kuwa RUSSIA anahatarisha amani ya dunia.Be patient this is a game of chase.Tusimlaumu Putin kuwa hachukui maamuzi Mazito. Huenda nguvu na uwezo wa kijeshi tuliokuwa tunaamini kwa Russia, huenda ni tofauti kabisa. Russia inapigika kama Iran tu
Tukubali tukatae, Putin ni dhaifu.Inauma sana kiukweli sisi ambao tupo upande wake