abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 541
- 1,319
Saved postWarusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saved postWarusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
🤣🤣🤣 InatishaQmmk
Hicho ni kichaka tu Cha kuficha aibu ya kuchakazwa na Storm shadow na atacims 🏃🏃🏃Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!
Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says
KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.
November 22, 20245:33 PM GMT+3
🤣🤣🤣 Amka amka vita inaingia mwaka wa 3 huu wamesha piga Sana mikwara hakuna chochote walichofanya kwaajili ya kumnusuru Ukraine zaidi ya kumpa silaha kwanini wasiingie battlefield wao sindio waliomponza mwenzao Kwa kumkubalia kuwa akijiunga NATO watamlinda why wasimsaidie kumpiga mrusi!?Warusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
Yaani Kabla Mtu hujakaa sawa dude hilo hapoUnaambiwa kutoka Russia mpaka uingereza oreshnik linatumia dakika 17 Tu 🤣 🤣
Watu wanaenda kujadili huu mziki,angalia huo muda wa mlipuko, angalia mashahidi wanavyosema,wewe unahisi ni tukio la kawaida??ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26
Hilo hawataki kulizungumza 🤣🤣🤣🤣Afghanistani na Vietnam na somalia ilikuwaje?.kule Syria si walikuwa wanasema Assad must go, vipi ikawaje tena wakabadili kauli yao.
Nikitengo cha kujikuna tu kabla haujamaliza packing of your luggage Tayari umeshageuzwa majivu 🤣🤣🤣Yaani Kabla Mtu hujakaa sawa dude hilo hapo
Orban amewambia Kwamba Urusi huwa haitanii na Putin ni Kama Gari isiyokua na Break na Iko kwenye mteremko mkali hivyo itakumba chochote itachokutana nacho!!!Hilo hawataki kulizungumza 🤣🤣🤣🤣
Halafu eti Wana mu- underestimat mrusi wakati Venezuela Syria Taiwan zote zipo salama kwaajili ya mabavu ya Russia, kule Venezuela ilikuwa imebaki kidogo Tu maduro atolewe madakani Kwa sababu ya figisu za usa Russia alivyopeleka sub marine zake kule usa wakaufyata , Alifanya hivyo kule Syria pia Obama akaishia kuumbuka
Kuna wakati Unabaki unaniuliza hawa watu wanao ibeza Russia Wana Akili Sawa Sawa kweli !? Isije kuwa tuna jibizana na mandondocha humu
Halafu Russia wapo loyal Sana tena SanaMim
Orban amewambia Kwamba Urusi huwa haitanii na Putin ni Kama Gari isiyokua na Break na Iko kwenye mteremko mkali hivyo itakumba chochote itachokutana nacho!!!
Orban amewambia pia kwamba EU ni usanii, uongo na uzushi asilimia 80!!! can you imagine watu wanapanga uzushi na uongo for 80 percent hawa ni watu wajinga sana mara 1000!!! ×)wanataka sisi wote tufe tuiache hii Dunia kazi kama za Baltazary utaziona wapi huko kaburini???
Waache mchezo tunataka kuishi Urusi hawaiwezi!!!
Pata tangazo kidogo! Wanaenda kujadili hiki:hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26
Kwa wenye akili na wapenda haki kote duniani walishaelewa kwamba kwa kile wanacho fanya watu wa west na Allie's waoAisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn poa nilikua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hiki halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Mm bdo hajanifurahisha sana....ilitakiwa atupie mawili...lingine liende pale Kiev likatandike hata wizara yyte moja....halafu akae masaa 48 ndo aje kuhutubia ulimwengu🤠🤠🤠...hayo masaa angeacha kwanza wao West na mtoto wao Ukraine wawe wanajiuliza wamepigwa na kitu ganiAisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn poa nilikua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hiki halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Sikuwahi kua na wasiwasi hata siku Prigozin alipozingua,nilijua
haitoboi, nawajua Russia kwa sura mbili toka zama za USSR,nawajua kwa uungwna wao na nawajua kwa umafia wao.
Wenzako wenye akili wanaangalia yajayo!Hicho ni kichaka tu Cha kuficha aibu ya kuchakazwa na Storm shadow na atacims
Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!
Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says
KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.
November 22, 20245:33 PM GMT+3
Naaam naaam ndugu muandishi Agiza pepsi big Naja kulipaAisee!