LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!

Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says​

KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.

November 22, 20245:33 PM GMT+3

Hicho ni kichaka tu Cha kuficha aibu ya kuchakazwa na Storm shadow na atacims 🏃🏃🏃
 
Warusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
🤣🤣🤣 Amka amka vita inaingia mwaka wa 3 huu wamesha piga Sana mikwara hakuna chochote walichofanya kwaajili ya kumnusuru Ukraine zaidi ya kumpa silaha kwanini wasiingie battlefield wao sindio waliomponza mwenzao Kwa kumkubalia kuwa akijiunga NATO watamlinda why wasimsaidie kumpiga mrusi!?
 
ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26
Watu wanaenda kujadili huu mziki,angalia huo muda wa mlipuko, angalia mashahidi wanavyosema,wewe unahisi ni tukio la kawaida??

Halafu Urusi ianguke wewe mtanzania ufahamu halafu wenyewe hawajui!Wewe ndiyo mpanga mikakati yao??

What we know about Russia's Oreshnik missile​

On Thursday, the Ukrainian city of Dnipro was hit by a Russian air strike which eyewitnesses described as unusual, triggering explosions that went on for three hours.

Afghanistani na Vietnam na somalia ilikuwaje?.kule Syria si walikuwa wanasema Assad must go, vipi ikawaje tena wakabadili kauli yao.
Hilo hawataki kulizungumza 🤣🤣🤣🤣

Halafu eti Wana mu- underestimat mrusi wakati Venezuela Syria Taiwan zote zipo salama kwaajili ya mabavu ya Russia, kule Venezuela ilikuwa imebaki kidogo Tu maduro atolewe madakani Kwa sababu ya figisu za usa Russia alivyopeleka sub marine zake kule usa wakaufyata , Alifanya hivyo kule Syria pia Obama akaishia kuumbuka

Kuna wakati Unabaki unaniuliza hawa watu wanao ibeza Russia Wana Akili Sawa Sawa kweli !? Isije kuwa tuna jibizana na mandondocha humu ,
 
Mim
Hilo hawataki kulizungumza 🤣🤣🤣🤣

Halafu eti Wana mu- underestimat mrusi wakati Venezuela Syria Taiwan zote zipo salama kwaajili ya mabavu ya Russia, kule Venezuela ilikuwa imebaki kidogo Tu maduro atolewe madakani Kwa sababu ya figisu za usa Russia alivyopeleka sub marine zake kule usa wakaufyata , Alifanya hivyo kule Syria pia Obama akaishia kuumbuka

Kuna wakati Unabaki unaniuliza hawa watu wanao ibeza Russia Wana Akili Sawa Sawa kweli !? Isije kuwa tuna jibizana na mandondocha humu
Orban amewambia Kwamba Urusi huwa haitanii na Putin ni Kama Gari isiyokua na Break na Iko kwenye mteremko mkali hivyo itakumba chochote itachokutana nacho!!!

Orban amewambia pia kwamba EU ni usanii, uongo na uzushi asilimia 80!!! can you imagine watu wanapanga uzushi na uongo for 80 percent hawa ni watu wajinga sana mara 1000!!! ×)wanataka sisi wote tufe tuiache hii Dunia kazi kama za Baltazary utaziona wapi huko kaburini???

Waache mchezo tunataka kuishi Urusi hawaiwezi!!!
 
Halafu Russia wapo loyal Sana tena Sana
 
Aisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn pia nilijua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hili halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Sikuwahi kua na wasiwasi hata siku Prigozin alipozingua,nilijua
hatoboi, nawajua Russia kwa sura mbili toka zama za USSR,nawajua kwa uungwna wao na nawajua kwa umafia wao.
 
Aisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn poa nilikua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hiki halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Kwa wenye akili na wapenda haki kote duniani walishaelewa kwamba kwa kile wanacho fanya watu wa west na Allie's wao
Kwa kumchokoza bear,Putin akiamua kuliamsha kiroho mbaya
Hakuna Tena lawama kwa dubu
Japo tunaomba isitokee ila kwa hapo tu inatosha.wenye akili hawata mlaumu dubu
 
Aisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn poa nilikua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hiki halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Sikuwahi kua na wasiwasi hata siku Prigozin alipozingua,nilijua
haitoboi, nawajua Russia kwa sura mbili toka zama za USSR,nawajua kwa uungwna wao na nawajua kwa umafia wao.
Mm bdo hajanifurahisha sana....ilitakiwa atupie mawili...lingine liende pale Kiev likatandike hata wizara yyte moja....halafu akae masaa 48 ndo aje kuhutubia ulimwengu🤠🤠🤠...hayo masaa angeacha kwanza wao West na mtoto wao Ukraine wawe wanajiuliza wamepigwa na kitu gani
 
Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!

Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says​

KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.

November 22, 20245:33 PM GMT+3

IMG_20241123_102448_661.jpg

Angalia umbali na dakika za Hilo kombora kufika huko. Hapo ukreni litafika mji wowote kati ya dakika 5-8
 
Aisee!
Nawaona Pro Russia wenzangu furaha na Imani kwa Baba mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin imerudi ghafla.
Mimi sikua na wasiwasi hata kidogo baada ya vile vikombora alivyorusha Ukraine kwa Urusi ambavyo kwanza vilidakwa vyote,lkn poa nilikua Urusi atatoa jibu sahihi kabisa na Dunia itakaa kimya.hata hivyo bado hiki halikua jibu nililolitegemea Bali hilo lilikua ni onyo lenye adhabu ndani yake.
Leo hii upepo umebadilika ghafla na Pro Russia wenzangu wako na furaha.
Ndugu zangu Pro Russia,Urusi na Putin ni watu wastaaarabu sana na sio watu wa kujionesha,sio kama west na Allies wao kama Afanyavyo Israel mfano kuua halaiki ya watu.
Hilo lilikua onyo adhabu kali itakuja kadri watakavyozidi kumchokonoa bear🐻.
Sikuwahi kua na wasiwasi hata siku Prigozin alipozingua,nilijua
haitoboi, nawajua Russia kwa sura mbili toka zama za USSR,nawajua kwa uungwna wao na nawajua kwa umafia wao.
Naaam naaam ndugu muandishi Agiza pepsi big Naja kulipa
 
Back
Top Bottom