sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Urusi anaweza kwenda Cuba ambayo ni nchi huru na kuweka military base zake?Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
Do you think USA itakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi anaweza kwenda Cuba ambayo ni nchi huru na kuweka military base zake?Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
Tupe data zako za ukwel basiHata hazo ni propaganda hivi watu laki 6 unawajua kweli ww?
Mbona alishawekaga ,enzi ya vita baridiUrusi anaweza kwenda Cuba ambayo ni nchi huru na kuweka military base zake?
Do you think USA itakubali?
Si mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.Haya ni mawazo yako pia.
- Ukraine haijawahi kuwanyanyasa raia wake, anatafuta usalama wake dhidi ya urusi, chokochoko za Russia dhidi ya Ukraine ndo sababu. Russia hataki Ukraine inayofungamana na magharibi.
Hiyo ni tactic ya West kutaka dunia ione kwamba Russia hawezi kuwalinda nchi marafiki na pia kuwapa shida kushughulikia Ukraine na wakati huohuo Syria na Georgia.In Syria, the situation for Russians is deteriorating, with military contingent and diplomats urgently leaving Damascus and other cities due to armed unrest by opposition forces.
Binafsi naona Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli maana Majirani wengi tu wa Russia ni NATO members. Issue kubwa ni bandari na Mali zilizoko kwenye hayo majimbo yaliyotekwa na Russia. Hata US na Rafiki zake wanaitaka Ukraine ili wapate hizo rasilimali ili wapunguze kama siyo kuachana Rasilimali za Urusi maana wakifanikiwa kiuchumi Urusi itapoteana Kwenye Export tradeSi mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.
2. Imefunga maktaba zote na kubadili hata mitaala iwe ni ya Ukraine tu.
3. Ndo maana wanachi hao wazungumzao kirusi wakawa wakipigana na serikali ya Ukraine na mwisho wakaomba msaada kwa Urusi ambayo haukuona ni shida.
Russia wakatangaza kuyatambua kisheria majimbo hayo na baadae ifanye SMO ili kuondoa hao manazi wanoongoza Ukraine yaani Zelensky na kundi lake la Azov na ukoo wa Stepan Bandera wazuiwe kuingia NATO.
Russia haitaki Ukraine iingie NATO kwasababu NATO itaweka mitambo na vifaa vyote vya kijeshi hapo na itakuwa ni shida kiusalama kwa Russia.
Pili, Russia hawataki Ukraine wawe na nguvu yoyote ya kijeshi khasa vyuklia ili huko mbele wakaishambulia na kuingamiza Russia ambayo ndo malengo ya NATO huku Ukraine akiwa ni proxy wao.
Globalist waitaka Ukraine khasa huo upande ambao Russia ameishauchukua kwa kuwa una madini na rasilimali zote uzijuazo duniani na Russia kaziwahi na wapo tayari kuzilinda kwa gharama yoyote ile.
Leo Korea Kaskazini kaongeza mzigo wa silaha uende kuongeza nguvu na pia Raisi Putin kapitisha kasaini bajeti ya kijeshi kwa mwaka 2025 hiyo kuonyesha kuwa Russia hawatanii kwenye hili.
Kwenye hili ya strategy ya Russia na ushirikiano na Korea Kaskazini, ntaongeza madini zaidi baadae kidogo.
Lete Kursk, Syria,Georgia....ila kinachoendelea huko Mashariki mwa Ukraine ni hiki!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1863328089482113380
Hilo laweza kua moja na kubwa zaidi ila hilo la huyo mwamba hapo juu pia sio lakupuuzia nje ya Russia basi Ukraine lilikua ndio taifa kubwa zaidi pale Ulaya kama Ukraine ingepata miaka kama kumi kabla ya kuanza hii SMO halafu tuseme mwaka 2034 Ukraine wakaamua kuregesha Crimea kingeumana hata kama Ukraine angekaa ila Russia ingehisi machungu ya suala hilo na pia si ajabu ungekuta la ussr lingejirudia tena hivyo vitaifa vyengine vi Finland sijui sijui vinani kama vinatokea vita leo na Russia hata siku moja wasingeweza kutoa upinzani kama wanaoleta Ukraine hata kama wangeungwa mkono kama anavyo fanyiwa Ukraine alicho kifanya Russia sio kizuri ila kama asingekifanya basi angejutaBinafsi naona Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli maana Majirani wengi tu wa Russia ni NATO members. Issue kubwa ni bandari na Mali zilizoko kwenye hayo majimbo yaliyotekwa na Russia. Hata US na Rafiki zake wanaitaka Ukraine ili wapate hizo rasilimali ili wapunguze kama siyo kuachana Rasilimali za Urusi maana wakifanikiwa kiuchumi Urusi itapoteana Kwenye Export trade
Vita aina mchezo hiiWanatoka Nduki balaa
Hii ilielezwa siku nyingi na wataalamu wa uchumi.Huu mgogoro ni wa kiuchumi zaidi kuliko usalama.Ugunduzi wa haya madini pamoja na mengine ndiyo chanzo kikuu cha hii vita!Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli
Kwa RUSSIA issue ya Ukraine ni usalama zaidi kuliko chochote kile.Katika mipaka yote huu wa Ukraine ni wakimkakati zaidi kuliko yote.Binafsi naona Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli maana Majirani wengi tu wa Russia ni NATO members. Issue kubwa ni bandari na Mali zilizoko kwenye hayo majimbo yaliyotekwa na Russia. Hata US na Rafiki zake wanaitaka Ukraine ili wapate hizo rasilimali ili wapunguze kama siyo kuachana Rasilimali za Urusi maana wakifanikiwa kiuchumi Urusi itapoteana Kwenye Export trade
Usichokijua pengine ni kuwa ukraine ilikuwa inaandaliwa kuwa ngome ya nato ktk kuivuruga russia, hivyo ilipewa mafunzo na vifaa kabambeHilo laweza kua moja na kubwa zaidi ila hilo la huyo mwamba hapo juu pia sio lakupuuzia nje ya Russia basi Ukraine lilikua ndio taifa kubwa zaidi pale Ulaya kama Ukraine ingepata miaka kama kumi kabla ya kuanza hii SMO halafu tuseme mwaka 2034 Ukraine wakaamua kuregesha Crimea kingeumana hata kama Ukraine angekaa ila Russia ingehisi machungu ya suala hilo na pia si ajabu ungekuta la ussr lingejirudia tena hivyo vitaifa vyengine vi Finland sijui sijui vinani kama vinatokea vita leo na Russia hata siku moja wasingeweza kutoa upinzani kama wanaoleta Ukraine hata kama wangeungwa mkono kama anavyo fanyiwa Ukraine alicho kifanya Russia sio kizuri ila kama asingekifanya basi angejuta
Kumbe hadithi, nikadhani uhalisia.The US Reveals the Aftermath of a Nuclear Strike on Moscow
The American publication Newsweek has analyzed the potential consequences of a US nuclear strike on Moscow. Historian and nuclear technology expert Alex Wellerstein used modeling to demonstrate the extent of destruction caused by the detonation of the US's most powerful nuclear bomb, the B-83. The scenario assumes an airburst at 3.3 km, deemed the most likely attack method on a major city.
Key Consequences:
Fireball (radius 4.1 km): Complete vaporization due to temperatures reaching millions of degrees.
Blast Wave (175 km²): Building destruction and massive fires.
Thermal Radiation (546 km²): Severe burns causing disability.
Shockwave Damage (1385 km²): Broken windows and injuries even tens of kilometers away.
Casualties
The strike could result in 1.37 million fatalities and 3.75 million injuries, considering Moscow's population density (10.2 million).
Experts emphasize that such a scenario illustrates the catastrophic consequences of a nuclear conflict. Any nuclear blackmail by Russia could provoke a US response, potentially obliterating key cities and The regim itselfView attachment 3167121.View attachment 3167121
Na ndio maana Pro Russia tunaringa sana,tuko smart sana kuelezea kitu kiundani mtu akaelewa bila hasira wala mihemko ,big upSi mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.