LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Things look bad for Ukraine, says ex-foreign minister - and NATO membership might not protect it from Russia after Trump win
Ukraine does not have the means to "turn the tables" in the war and will lose if it carries on like it is now, former Ukrainian foreign minister Dmytro Kuleba has said.

Kuleba acknowledged in an interview with the Financial Times that things "look bad" on the battlefield.

"Do we today have the means and tools to turn the tables and change the trajectory of how things are happening? No, we don't. And if it continues like this, we will lose the war," he said.

But the former minister, who resigned in September amid a wide-ranging reshuffle of the Ukrainian cabinet, noted that things "looked worse" on the battlefield in the first few months of the conflict.

"Everyone is asking what Ukraine is ready to do, what Ukraine is ready to accept. And I say, guys, first find the answer to the question [of] what Putin is ready to accept. Because this is the place where the war comes from."

Dmytro Kuleba
Dmytro Kuleba
Reuters

Volodymyr Zelenskyy said in an exclusive interview with Sky News' Stuart Ramsay on Friday that an offer of NATO membership to territory under Kyiv's control could end "the hot stage of the war" in Ukraine.

But Kuleba said he believes NATO no longer provides the security guarantees it once did - and added that it essentially relies on a willingness from the US to act to defend it.

He pointed to Article 5, which sees members agree that an armed attack against one or more nations be considered an attack against them all.

"In reality it is based on one sentence - 'the United States will defend every inch of the territory of our allies'. And this sentence belongs to Biden. What if you have a president who says he's not going to defend every inch of your territory?... If Trump says anything like that, the NATO shield is gone and Putin will feel free to do whatever he wants," he said.
 
In Syria, the situation for Russians is deteriorating, with military contingent and diplomats urgently leaving Damascus and other cities due to armed unrest by opposition forces.
 
🦅🇺🇦 "Ukraine has strike drones with a 1,800 km long-range capabilities, and in 2025 we will see the first applications of drone swarms, - Fedorov

💥 Work is also underway to create drones to destroy long-range drones, such as the Shahed, he added.
 
Haya ni mawazo yako pia.
- Ukraine haijawahi kuwanyanyasa raia wake, anatafuta usalama wake dhidi ya urusi, chokochoko za Russia dhidi ya Ukraine ndo sababu. Russia hataki Ukraine inayofungamana na magharibi.
Si mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.
2. Imefunga maktaba zote na kubadili hata mitaala iwe ni ya Ukraine tu.
3. Ndo maana wanachi hao wazungumzao kirusi wakawa wakipigana na serikali ya Ukraine na mwisho wakaomba msaada kwa Urusi ambayo haukuona ni shida.

Russia wakatangaza kuyatambua kisheria majimbo hayo na baadae ifanye SMO ili kuondoa hao manazi wanoongoza Ukraine yaani Zelensky na kundi lake la Azov na ukoo wa Stepan Bandera wazuiwe kuingia NATO.

Russia haitaki Ukraine iingie NATO kwasababu NATO itaweka mitambo na vifaa vyote vya kijeshi hapo na itakuwa ni shida kiusalama kwa Russia.

Pili, Russia hawataki Ukraine wawe na nguvu yoyote ya kijeshi khasa vyuklia ili huko mbele wakaishambulia na kuingamiza Russia ambayo ndo malengo ya NATO huku Ukraine akiwa ni proxy wao.

Globalist waitaka Ukraine khasa huo upande ambao Russia ameishauchukua kwa kuwa una madini na rasilimali zote uzijuazo duniani na Russia kaziwahi na wapo tayari kuzilinda kwa gharama yoyote ile.

Leo Korea Kaskazini kaongeza mzigo wa silaha uende kuongeza nguvu na pia Raisi Putin kapitisha kasaini bajeti ya kijeshi kwa mwaka 2025 hiyo kuonyesha kuwa Russia hawatanii kwenye hili.

Kwenye hili ya strategy ya Russia na ushirikiano na Korea Kaskazini, ntaongeza madini zaidi baadae kidogo.
 
In Syria, the situation for Russians is deteriorating, with military contingent and diplomats urgently leaving Damascus and other cities due to armed unrest by opposition forces.
Hiyo ni tactic ya West kutaka dunia ione kwamba Russia hawezi kuwalinda nchi marafiki na pia kuwapa shida kushughulikia Ukraine na wakati huohuo Syria na Georgia.

Warusi wamesoma mchezo mzima na juzi SVR wametoa ripoti ya hiki kinoendelea huko Aleppo na Tbilisi.
 
Si mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.
2. Imefunga maktaba zote na kubadili hata mitaala iwe ni ya Ukraine tu.
3. Ndo maana wanachi hao wazungumzao kirusi wakawa wakipigana na serikali ya Ukraine na mwisho wakaomba msaada kwa Urusi ambayo haukuona ni shida.

Russia wakatangaza kuyatambua kisheria majimbo hayo na baadae ifanye SMO ili kuondoa hao manazi wanoongoza Ukraine yaani Zelensky na kundi lake la Azov na ukoo wa Stepan Bandera wazuiwe kuingia NATO.

Russia haitaki Ukraine iingie NATO kwasababu NATO itaweka mitambo na vifaa vyote vya kijeshi hapo na itakuwa ni shida kiusalama kwa Russia.

Pili, Russia hawataki Ukraine wawe na nguvu yoyote ya kijeshi khasa vyuklia ili huko mbele wakaishambulia na kuingamiza Russia ambayo ndo malengo ya NATO huku Ukraine akiwa ni proxy wao.

Globalist waitaka Ukraine khasa huo upande ambao Russia ameishauchukua kwa kuwa una madini na rasilimali zote uzijuazo duniani na Russia kaziwahi na wapo tayari kuzilinda kwa gharama yoyote ile.

Leo Korea Kaskazini kaongeza mzigo wa silaha uende kuongeza nguvu na pia Raisi Putin kapitisha kasaini bajeti ya kijeshi kwa mwaka 2025 hiyo kuonyesha kuwa Russia hawatanii kwenye hili.

Kwenye hili ya strategy ya Russia na ushirikiano na Korea Kaskazini, ntaongeza madini zaidi baadae kidogo.
Binafsi naona Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli maana Majirani wengi tu wa Russia ni NATO members. Issue kubwa ni bandari na Mali zilizoko kwenye hayo majimbo yaliyotekwa na Russia. Hata US na Rafiki zake wanaitaka Ukraine ili wapate hizo rasilimali ili wapunguze kama siyo kuachana Rasilimali za Urusi maana wakifanikiwa kiuchumi Urusi itapoteana Kwenye Export trade
 
Hilo laweza kua moja na kubwa zaidi ila hilo la huyo mwamba hapo juu pia sio lakupuuzia nje ya Russia basi Ukraine lilikua ndio taifa kubwa zaidi pale Ulaya kama Ukraine ingepata miaka kama kumi kabla ya kuanza hii SMO halafu tuseme mwaka 2034 Ukraine wakaamua kuregesha Crimea kingeumana hata kama Ukraine angekaa ila Russia ingehisi machungu ya suala hilo na pia si ajabu ungekuta la ussr lingejirudia tena hivyo vitaifa vyengine vi Finland sijui sijui vinani kama vinatokea vita leo na Russia hata siku moja wasingeweza kutoa upinzani kama wanaoleta Ukraine hata kama wangeungwa mkono kama anavyo fanyiwa Ukraine alicho kifanya Russia sio kizuri ila kama asingekifanya basi angejuta
 
Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli
Hii ilielezwa siku nyingi na wataalamu wa uchumi.Huu mgogoro ni wa kiuchumi zaidi kuliko usalama.Ugunduzi wa haya madini pamoja na mengine ndiyo chanzo kikuu cha hii vita!

Ushahidi ni haya maeneo aliyoyateka Urusi na anayo pambana kuyateka!Angalia ndani yana nini??

Ukraine: all lithium reserves and mineral resources in war zones​

Geologists call it the Ukrainian shield. That land in the middle which starts from the northern border with Belarus up to the shores of the Azov Sea, in the south of Donbass.

According to the studies of the Ukrainian geological service, in the ancient rocks of this shield are hidden lithium deposits with great potential.

Findings that have been identified mainly around the area of Mariupol, the port city of Donbass torn apart by Russian bombing.

Binafsi naona Russia kuizuia Ukraine isijiunge NATO Kisa issue za usalama si kweli maana Majirani wengi tu wa Russia ni NATO members. Issue kubwa ni bandari na Mali zilizoko kwenye hayo majimbo yaliyotekwa na Russia. Hata US na Rafiki zake wanaitaka Ukraine ili wapate hizo rasilimali ili wapunguze kama siyo kuachana Rasilimali za Urusi maana wakifanikiwa kiuchumi Urusi itapoteana Kwenye Export trade
Kwa RUSSIA issue ya Ukraine ni usalama zaidi kuliko chochote kile.Katika mipaka yote huu wa Ukraine ni wakimkakati zaidi kuliko yote.
 
Hilo laweza kua moja na kubwa zaidi ila hilo la huyo mwamba hapo juu pia sio lakupuuzia nje ya Russia basi Ukraine lilikua ndio taifa kubwa zaidi pale Ulaya kama Ukraine ingepata miaka kama kumi kabla ya kuanza hii SMO halafu tuseme mwaka 2034 Ukraine wakaamua kuregesha Crimea kingeumana hata kama Ukraine angekaa ila Russia ingehisi machungu ya suala hilo na pia si ajabu ungekuta la ussr lingejirudia tena hivyo vitaifa vyengine vi Finland sijui sijui vinani kama vinatokea vita leo na Russia hata siku moja wasingeweza kutoa upinzani kama wanaoleta Ukraine hata kama wangeungwa mkono kama anavyo fanyiwa Ukraine alicho kifanya Russia sio kizuri ila kama asingekifanya basi angejuta
Usichokijua pengine ni kuwa ukraine ilikuwa inaandaliwa kuwa ngome ya nato ktk kuivuruga russia, hivyo ilipewa mafunzo na vifaa kabambe
 
The US Reveals the Aftermath of a Nuclear Strike on Moscow

The American publication Newsweek has analyzed the potential consequences of a US nuclear strike on Moscow. Historian and nuclear technology expert Alex Wellerstein used modeling to demonstrate the extent of destruction caused by the detonation of the US's most powerful nuclear bomb, the B-83. The scenario assumes an airburst at 3.3 km, deemed the most likely attack method on a major city.

Key Consequences:

Fireball (radius 4.1 km): Complete vaporization due to temperatures reaching millions of degrees.

Blast Wave (175 km²): Building destruction and massive fires.

Thermal Radiation (546 km²): Severe burns causing disability.

Shockwave Damage (1385 km²): Broken windows and injuries even tens of kilometers away.

Casualties

The strike could result in 1.37 million fatalities and 3.75 million injuries, considering Moscow's population density (10.2 million).

Experts emphasize that such a scenario illustrates the catastrophic consequences of a nuclear conflict. Any nuclear blackmail by Russia could provoke a US response, potentially obliterating key cities and The regim itselfView attachment 3167121.View attachment 3167121
Kumbe hadithi, nikadhani uhalisia.
 
Si mawazo yake Ukraine mekuwa ikizuia lugha ya kirusi isitumike mashuleni.
2. Imefunga maktaba zote na kubadili hata mitaala iwe ni ya Ukraine tu.
3. Ndo maana wanachi hao wazungumzao kirusi wakawa wakipigana na serikali ya Ukraine na mwisho wakaomba msaada kwa Urusi ambayo haukuona ni shida.

Russia wakatangaza kuyatambua kisheria majimbo hayo na baadae ifanye SMO ili kuondoa hao manazi wanoongoza Ukraine yaani Zelensky na kundi lake la Azov na ukoo wa Stepan Bandera wazuiwe kuingia NATO.

Russia haitaki Ukraine iingie NATO kwasababu NATO itaweka mitambo na vifaa vyote vya kijeshi hapo na itakuwa ni shida kiusalama kwa Russia.

Pili, Russia hawataki Ukraine wawe na nguvu yoyote ya kijeshi khasa vyuklia ili huko mbele wakaishambulia na kuingamiza Russia ambayo ndo malengo ya NATO huku Ukraine akiwa ni proxy wao.

Globalist waitaka Ukraine khasa huo upande ambao Russia ameishauchukua kwa kuwa una madini na rasilimali zote uzijuazo duniani na Russia kaziwahi na wapo tayari kuzilinda kwa gharama yoyote ile.

Leo Korea Kaskazini kaongeza mzigo wa silaha uende kuongeza nguvu na pia Raisi Putin kapitisha kasaini bajeti ya kijeshi kwa mwaka 2025 hiyo kuonyesha kuwa Russia hawatanii kwenye hili.

Kwenye hili ya strategy ya Russia na ushirikiano na Korea Kaskazini, ntaongeza madini zaidi baadae kidogo.
Na ndio maana Pro Russia tunaringa sana,tuko smart sana kuelezea kitu kiundani mtu akaelewa bila hasira wala mihemko ,big up
 
Back
Top Bottom