Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Hajafanya kitu mkuu. Ila kwanini NATO wasiingize tu tuwaswaga hao wavamizi huko eastern UkraineYeye kafanya nini baada ya redline alizoweka kuvukwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafanya kitu mkuu. Ila kwanini NATO wasiingize tu tuwaswaga hao wavamizi huko eastern UkraineYeye kafanya nini baada ya redline alizoweka kuvukwa
Nakala Kwa lipanya namba 44 , also known as kp kipanya44 .Nimescreenshoot twiti ya Rais wa Ukrein kuwa mpaka Sasa Kuna casuality ya watu 700000 kwa jeshi la Urusi huku 198000 ndo wamekufa kati Yao.
Ijapokuwa ni taarifa ya upande mmoja lakin ni kigezo kimojawapo Cha wale watu wanaotudanganya hum kuwa wanajeshi wa Urusi zaidi ya laki 7 wamekufa.
Muda ni mwalimu mzuri, ipo siku watatuelewa tu!kuna siku watatuelewa, subiri mpaka wajinga waondoke na roho ya gerasimov.
RUSSI wamepoteza mtu muhimu sana ila naamini hili litapita kama kawaida.
Watashambulia vyanzo vya nishati kwa siku moja then wanatulia.
Warusi nimewatoa thamani kwenye kulipa kisasi.
Ndugu anayekuletea adui karibu yako huyo ni shetani, putin apunguze utakatifu asiokuwa nao
View attachment 3178977
kama kuna mtu amenipa funzo kwa maisha ni RUSSIA under PUTIN. never be distracted or disrupted if you set your goals. ata Nato watumie long range, terrorism, ata waingie kursk and any other means dont kurupuka na retaliation usahau lengo kuu. be focused alwaysMkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha kuwa jeshi la UKRAINE linaelekea kusambaratika wakati wowote, na kwamba RUSSIA is winning.PUTIN hana haja ya kubadili mbinu yake kwa sababu inampa ushindi mkubwa na kupunguza sana idadi ya wanajeshi wake wanaoathirika vitani.Malengo yote ya SMO yanatimizwa kwa nini wapanick.
Huku ni kujifariji tu, Putin kawa mlenda haswakama kuna mtu amenipa funzo kwa maisha ni RUSSIA under PUTIN. never be distracted or disrupted if you set your goals. ata Nato watumie long range, terrorism, ata waingie kursk and any other means dont kurupuka na retaliation usahau lengo kuu. be focused always
DEMILITARISATION
DENATONIZATION
DENAZIFICATION
Mpaka sasahivi Ukraine kuwepo ndani ya sehemu ndogo ya urusi haijasaidia Russia kutokusonga mbele urusi wanaendelea kuchukua maeneo UkraineKama ambavyo wa magharibi walivyo ingia ndani ya ukraine kumsaidia zelensky kumuondoa adui nyumbani mwake, kwahiyo Putin aache kulalamika.
Nani aliyepinga?Mpaka sasahivi Ukraine kuwepo ndani ya sehemu ndogo ya urusi haijasaidia Russia kutokusonga mbele urusi wanaendelea kuchukua maeneo Ukraine
Urusi hawana jipya wanaloweza kufanya.kuna siku watatuelewa, subiri mpaka wajinga waondoke na roho ya gerasimov.
RUSSI wamepoteza mtu muhimu sana ila naamini hili litapita kama kawaida.
Watashambulia vyanzo vya nishati kwa siku moja then wanatulia.
Warusi nimewatoa thamani kwenye kulipa kisasi.
Ndugu anayekuletea adui karibu yako huyo ni shetani, putin apunguze utakatifu asiokuwa nao
View attachment 3178977
Yeye kama yeye, hana chakupoteza.Kazee kameshamaliza muda wake wa urais na muda wake wa kuishi hapa duniani kanataka watoto wetu wasione neema na tunu za Mwenyezi Mungu.